Katika kumshauri mtu usipende kumwambia jinsi unavyotaka kufanya wewe, mpambanulie na mwachie aamue mwenyewe. Ndivyo nilivyojifunza kwenye counselling. Actually, mtu anapoomba ushauri hataki umwambie aamue vipi, uamuzi anao mwenyewe. Anachotaka ni kupambanuliwa (kama kuweka kalata mezani) ili aweze kuchagua afanye nini.Hivi kweli,ikiwa ni wewe. Namba 4 hapo. Unaweza? Hiyo ni zaidi ya dhalau. Bora achepuke tu utasamehe,japo kauli kupenda,haipo. Huko ni kujitia uzuzu bure tu. Mpaka anamzalia mtu,ni ile unaambiwa,nipo kwake kimwili tu. Sasa,huyo wa nini?
Hii simpo. Mpaka anajifungua,bado siku chache sana. Hizo zivumilie. Kikubwa tunza hiyo namba.
Kwao,ikifika siku,mpeleke tu. Nauli toa,lakini usimuache na chochote. Na hapo hapo,kama wazazi wapo,ongea nao,na ushahidi uliopo wape. Akizaa poa. Akijifungua,sawa. Kadi ya kliniki haipo mbali,ukitaka ipige kopi,uende nayo ukweni. Mwambie atoe origino. Akigoma,toa kopi.
Mahakama ina uwezo wa kuziomba kampuni za mitandao kutoa mawasiliano ya mtu na mtu. Wambie hilo wasiwe na wasiwasi,utaghalamia. Ye mwenyewe ataamua.
Akikataa,thibitisha. Akikubali,achana nae. Ukute ulikuwa unaogea taulo alilojifutia mwenzio.
Kwamba wasambaa wana nin au wanaweza kumsaidiajeTafuta msambaa unayemuamini halafu muambie hilo tatizo.
Katika kumshauri mtu usipende kumwambia jinsi unavyotaka kufanya wewe, mpambanulie na mwachie aamue mwenyewe. Ndivyo nilivyojifunza kwenye counselling. Actually, mtu anapoomba ushauri hataki umwambie aamue vipi, uamuzi anao mwenyewe. Anachotaka ni kupambanuliwa (kama kuweka kalata mezani) ili aweze kuchagua afanye nini.
Kuanzia hapo no 4 na 5 umepuyanga aisee,hivi unaanzaje kuishi na mwanamke wa hivyo?,hata kama unampenda1. Mimi ningeshauri kwa sasa ungekaa kimya na umpeleke kwao kama anavyodai.
2. Baada ya kujifungua, akishapata nguvu, ongea naye na onyesha kwamba una mashaka na uhusiano wenu, hasa kwamba una hakika anachepuka na mtu unayemfahamu.
3. Ona mwenyewe kama unaweza kuvumilia hali hiyo (mtu mwingine asikuingizie mawazo yake).
4. Kama unampenda, samehe na endelea kuishi naye kama mkeo.
5. Katika masuala kama haya, kama hatua ya kwanza, usimhusishe mtu mwingine/ndugu/wazazi - kufanya vikao etc - jadilini mkiwa wawili tu.
5. Pole sana kwa yote.
Ingekua ni mimi mpaka huyo first born ningemkana aisee,ningesema hata huyu siamini kama ni wa kwanguPole sana kiongozi, hakika Una busara na hekima ya Hali ya juu. Tafuta ushahidi wa kutosha. Mpeleke akajifungue, baada ya wiki nenda kwao na ushahidi wote Kisha mchakato wa talaka uanze. Huyu huwezi kuishi nae kama mke tena kwenye ulimwengu huu.
Nyie wawili ni wanaume wa aina gani?,sorry hapo kwenye no 4 wewe unaweza?Umemshauri vizuri Sana hakika
Nimetoa ushauri. Wewe ungetaka nimwambie ambavyo ningeamua. Kushauri ni tofauti na kumwambia mtu uamuzi wako kwa suala ambalo si lako. Mimi nimefuata principles za counselling, wewe unasema from the point of view of a layperson. Hivyo, lazima uone kwamba nimepunyanga maana siyo area yako hii.Kuanzia hapo no 4 na 5 umepuyanga aisee,hivi unaanzaje kuishi na mwanamke wa hivyo?,hata kama unampenda
timueke du achipute🤣🤣Imi ntamuonea du mbazi. Hembu uyo Zumbe ushe n'dashi!! Ushe nnga'atendezeze!! Hana!!! 🤗