Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kazi ipo aisee 😂😂😂 bado nyumba lazma ukapange na sio rum 1 ina maana ni chumba na sebule na hapo inategemea binti kwao papojeMaziwa ya 30000 hayakai hata week
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ipo aisee 😂😂😂 bado nyumba lazma ukapange na sio rum 1 ina maana ni chumba na sebule na hapo inategemea binti kwao papojeMaziwa ya 30000 hayakai hata week
i second this. Hakuna kosa kabisa waambie wazee na maisha yataendelea cha msigni concentrate na binti huyo huyo sio ujione yako inasimama sana umtelekeze.Nani aliyekwambia umefanya kosa? Kumpa mimba binti ukiwa chuo wala sio kosa. Kuna faida nyingi sana kama ukija kumuoa huyo binti na mkaendeleza familia yenu. Mimi nilimpa mimba mke wangu nikiwa second year chuo na nilikuwa na wasiwasi ila nikapiga moyo konde akazaa mtoto na baada ya miaka mitatu nikamuoa. Kwa sasa nina miaka 43 mtoto wangu yuko chuo kikuu nje ya nchi mwaka wa pili (umri kama wako). Nasubiri amalize apate kazi. Wenzangu ambao tuko umri sawa vitoto vyao ndio viko la saba kwa sasa. Nakaribia kuitwa babu kama mwanangu nae akitembelea nyota yangu ya ngono zembe
So dogo lea mimba waambie wazazi na uje kumuoa huyo binti faida utaziona baadae. Watu wengi wanaanza kusomesha watoto chuo wakati wanakaribia kustaafu. Wewe utamaliza kusomesha mtoto ukiwa 45 kisha una-concentrate na maendeleo mengine. Na asikwambie mtu kusomesha kazi sana ukilifanya mapema kutokana na kupata watoto mapema utatoboa kimaisha
Mapenzi na shule hayajawahi kuchanganyika kama mafuta na maji.
Pole sana kijana, wevuna ulicho panda tu maana wazee walikupeleka shule ukasome na badala yake ukaenda kufanya mapenzi.
Hahahah point takenMi nakupa ushauri wa jina la mtoto atakaezaliwa,mwite Degree Kalovha!! Hilo ndiyo Bonge la kumbukumbu lako hilo litakua!!
Hatari sana ,,itafahamikaNdio uzae sasa Ila mkiendelea hivo kuzaa bila plan mtatesa tu watoto
Peleka ujinga wako huko
Wakati unaenda kuto....mbn. ulituambia
Pambana na hali yako mzee
Hivi hii tabia ya wanafunzi kufanya ngono mtaacha lini?
Sawa mkuu,Ukiwa chuo kikuu wewe tayari ni mtu mzima na unaruhusiwa kuwa na familia. Huwezi kukimbia majukumu siku zote kwasababu yapo tu
Watu wanasoma chuo wana wake zao, wanafunga ndoa hapo hapo chuo na hata ukiwa na miaka 60 bado utasoma chuo.
Watu ambao hawaruhusiwi kujiingiza kwenye mapenzi ni kuanzia elimu ya msingi, secondary na diploma
Mi for now narudi chamani sio kwa stress hizi najuta kukimbia chama,chaputai second this. Hakuna kosa kabisa waambie wazee na maisha yataendelea cha msigni concentrate na binti huyo huyo sio ujione yako inasimama sana umtelekeze.
Sawa mkuu hizi ni nimejitakia mwenyeweKazi ipo aisee 😂😂😂 bado nyumba lazma ukapange na sio rum 1 ina maana ni chumba na sebule na hapo inategemea binti kwao papoje
Ya kufanya mzeee
Utavuna ulichopanda
Daaa mkuu hio id yako kichwa kichafu haiendani na point ulizozimwaga hapa ,,,ni kweli maana naona dalili za kutopata mtoto mbeleni,Kila kitu kipo wazi hapo mkuu.
Usiogope majukumu.
Ndio wakati wako sasa kuwa baba pambana mkuu.
Hakikisha mama na mtoto wana furaha usiwe chanzo cha tabu kisa wewe.
Hapa tuzungumze kuhusu jina la mtoto.
Me ---> Brighton/Salim
Ke ----> Anna/ Miriam
Hahaha sure huwezi panda sperm ukavuna mahindiHakuna namna[emoji23][emoji23]
Alipanda sperm.
Wanaachaga kukaa kutulia wanashinda kupiga exile halafu waje kulialia humuHakuna namna[emoji23][emoji23]
Alipanda sperm.
Mkuu mi nipo maghetoni sipigi watu exile mkuu...Wanaachaga kukaa kutulia wanashinda kupiga exile halafu waje kulialia humu
Sawa mkuu,
Asante kwa ushauri mzuriUsimkatae mtoto, usitoe mimba na wala usimkatae mama kijacho. Tumia hilo hilo bumu vizuri utaona faida yake
Lea mtoto na mama yake huenda ndiyo mtoto wako wa kwanza na wa mwisho maana huwezi jua. Angalia biahara gani unaweza fanya ukiwa chuo na baada ya kutoka chuo ili uweze kulea familia yako.
Usimwambie ndugu yako yoyote maana unaweza kuwa ndiyo mwisho wa kusaidiwa kwako, siku ukiona mambo yamekuwa mazuri waambie. Hongera sana Baba kijacho
Sawa mkuuMimi pia yalinikuta haya lakini sio mbaya ukiitunza masuala ya itakuwaje huna pesa itafahamika mbele kwa mbelee...!! Cha muhimu upate back up ya wazazi tu..
Wanaachaga kukaa kutulia wanashinda kupiga exile halafu waje kulialia humu