Niko njia panda yenye maumivu moyoni: Biashara yangu imelala sana je, niende kwa mganga?

MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI.

INTRODUCTION:

Mimi ni mtumishi wa umma Ila pia nina ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa sanaa...

Na nikiri NAPENDA HELA SAA.
Yaani ukitaka niwe na Amani basi laki kadhaa ziwe kwenye wallet yangu.

Katika kukimbiza ndoto zangu niliamua kufungua biashara ya vinywaji ya Jumla na rejareja (jina la mtaani tunaita Depo).

Nilikusanya mtaji nikiwa tayari nina idea na ilipofika mil 9 nikafungua depo.
Mil 6 bidhaa na mil 3 sunk cost kama kodi, Matengenezo frame na mengine yale ya maandalizi ya biashara.

Nauza vinywaji vyotee vikali na baridi, kwa jumla na reja reja, na kwasasa biashara yangu ina mtaji wa mil 25.

SCENARIO
Biashara ilianza vizurii mpaka nikawa nadata, yaani wateja walikuwa wengii.

Hawa wakani-force kukuza mtaji fasta mpaka kufika hizo mil 25.

Pia nikawa na vijana wa3 wa dukani, yaani ni fast delivery. Yaani mteja akikata tu simu basi bidhaa ipo mlangoni mwake.

Aisee nilipata jina fasta na kubwaa sanaa.

Mauzo yangu yalikuwa makubwa ya mil 3 Kwa siku na siku nisipouza yalikuwa hayashuki mil 1.

Kwasasa Nina Miaka kadhaa kwenye biashara (from July 2020).

Ila ndugu sasa biashara sielewi..

PROBLEM
Tokea January 2023 BIASHARA IMEKUWA NGUMU mnooo.

Mauzo mil 1 Tena jana ndio Majanga, nimefunga na laki 5..!!!

Pia hapa Nina miamala ya simu, na juzi (01/02) nililipwa commission ya 150k kwa mitandao yotee mi 4.

Wakati nilifika commison ya laki 5 kwa mitandao yote mi4.

Wateja simu sizioni, wakati Kuna kipindi walikua wanapiga simu mpaka saa 7 usiku kuniomba niwauzie bidhaa.

Hiyo saa 7 usiku watakukodia boda utakuja kufungua store utawauzia, wanakulipa na boda inakurudisha gheto kwa gharama zao.

Nina masters na bachelor ya mambo ya biashara, hivyo nimejaribu marketing skills kibao kama za kutuma sms kila asubuhi kuomba order kwa wateja, kupost status za WhatsApp ila 2023 bado ngumu kwenye biashara.

Sasa nimeshauriwa na raia NIENDE KWA MTAALAMU NIKAPIKWE.

Naambiwa, nilikua na nyota kalii hivyo competitor wameona waizime ili wao wauze.

DILEMA
Nimedata mwenzenu, ukicheki hii biashara ndio naitegemea kuwa ndio tobo la kunifanya nije kuachana na ajira za serikali ya CCM ila MBELE NAONA GIZA.

Nina mengi aisee siwezi kuandika yote, mfano: siku hizi nafungua saa 1 kamili asubuhi na kufunga saa 5 usiku.
Na hata kazini (halmashauri) nimepasusa naona pananichanganya tu (wiki yotee hii (Tokea 30/01)SIJAFIKA KAZINI.

KUHUSU VITABU-
Hivi vitabu sijui vya Robert koyasaki na wengine NIMESOMA SANAAA.
Tokea 2020 nishasoma vitabu kama 30 hivi vya mambo ya biashara na fedha na Robert Koyasaki pekee yake ni vitabu vi5 kuanzaia Rich Dad mpaka Money Quadrant.

Vingi vinazungumzia "Kwenye financial world Usikate tamaa, pambana"" ila nahisi Kuna kamba ipo nyuma ya mapambano yangu inanivuta nyuma.

NAPAMBANA NYIE...
1. Muda wote duka nalifanya safi
2. Rangi zinavutia (mashelf na ukuta)
3. Kama elimu, Nina degree mbili za biashara (bachelor + masters)
4. Kama ni experince, nishauza sanaa biashara za watu Tena bila mshahara (kipindi najifunza biashara)
5. Kama ni ukarimu, basi ni mkarimu sanaa. Humu Kuna watu wawili tulishaongea sanaa Japo kwa simu (kama wako comfortable wanaweza thibitisha hapa).

Kifupi nafanya mengii ila 2023 imekua ngumu.
Imefikia mpaka kupunguza wafanyakazi dukani kutoka 3 mpaka 1..!!!

Na kilichonifanya nipost ni baada ya commision kushuka kutoka 500k mpak 150k kwa Jauary/2023.

Huwezi amini:-
Jumapili ya wiki hii sikufungua, ili tu nione upepo wa wateja, ila chakusangaza mpaka unaingia usiku sijapokea simu hata ya mteja mmoja kulalamika "Mbona nimefunga"

Kwasasa sijui si-exist kwenye phone book zao..!! Niko kudata balaaa yaani waliokuwa wakinipigia simu usiku nao hawapigi hata mchana..!!!

Kazini sijaenda wiki maana kichwa ni cha moto balaaa.

Nipeni mawazo wajasiliamali wenzangu.
Nipeni mawazo wafanyabiashara wenzangu.

Nishapitia msoto mkubwa sanaa kwenye maisha ya uyatima, kazini, kwenye ujana wangu ila Jambo gumu linapogusa biashara NADATA KABISAAAA.

Nahitaji kuacha Kazi na hili ndio TOBO LANGU.

MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI?

#YNWA

Pole sana kaka. Biashara january na february ilikuwa ngumu sana. Hela ni ngumu sana kwasasa cha muhimu ni wewe sasa kuanza kuzitembelea hizo biashara zilizokuwa zinachukua mzigo. Kama ni bar basi tembelea muda wa usiku kaa mpaka mida mibovu uone mzunguko wao pia.

Tengeneza mazingira mazuri ya kuwapa mzigo na kukulipa baada ya mauzo

Kuwa na urafiki nao nje ya biashara utajua kama kuna changamoto
 
MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI.

INTRODUCTION:

Mimi ni mtumishi wa umma Ila pia nina ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa sanaa...

#YNWA
Angalia nyuma kama utaona ulipoteleza. Am sure kuna shida pahala. Ila pia skuizi competition iko jui sana and specially kea biahara za kitanzania za kuigana. Tafuta competitive advantage over the market mambo ya ndumba yapo ila mostly hayasaidii labda kwenye kijikinga tu
 
Wakati biashara imeboom-up ulikuwa unatoa sadaka(shukrani) kwa Mungu? kama bado basi nakustua siku nyingine ukiona mambo yako yameenda poa toa sadaka kwa makaundi maalumu i.e wasiojiweza, wazee, yatima, wajane n.k sadaka ni akiba inayomkumbusha Mungu kipindi mambo yakiendaga ndivyo sivyooo.. hata sasa ua nafasi ya kurekebisha.. toa sadaka kwa hayo makundi baada ya mwezi hivi njoo utoe mrejesho.. utanishukuru
 
Na kuna wasioupande wowote na mambo yanaenda tu.
Ipo hivi utajiri ni [emoji817]%
40% wapo KWA MUNGU
40% wapo kwa shetani
20% none believers hawaamini kwa Mungu wala shetani.
All in all ili ufanikiwe cheza na ulimwengu wa ROHO
Nachezaje na ulimwengu Wa roho ndugu? Naomba elimu tafadhali
 
😳😳😳 Nimuombe msamaha Allah, NIMEFANYA KOSA GANI?

#YNWA
Kaka kama ni mkristo nadhani utakuwa ushaisikia sana hii kauli ya petro "Tukisema hatuna dhambi twajidanganya na wala kweli haipo ndani yetu hivyo yatupasa kutubu kila wakati" sina hakika kama nimequote vyema ila huo mstari upo hivyo hakuna mtu asiye na dhambi hata mchungaji mwenyew hali ya kuwa yupo katika hali ya ubinadamu anapaswa kutubu na kuomba msamaha wa Mungu.
Turudi kwenye mada husika kuhusu biashara yako kaka kwanza hongera kwa mafanikio hayo ni imani yangu kuwa kila kijana anaitafuta hiyo level uliyopo Sasa kaka kwa jinsi ulivyoelezea hapo inaonekana kabisa maybe hakuna sheria ya biashara uliyowahi kuivunja kama customer care na kila kitu maybe sijajua kwa upande wa vijana wako maana ni hatar sana ukiwa na mfanyakaz kwenye biashara asiyekuwa na customercare nzuri maana atapukutisha wateja wateja na baadhi ya wateja hushindwa kujua kuwa huyu sio mwenye biashara hivyo anatakiwa kuripot kwa mwenye biashara ili akomeshe hiyo tabia hivyo utaona wateja wakipukutika bila feedback yoyote anyway kikubwa ninachokiona kwako kaka ni Spiritual problem biashara yoyote hujengwa kiroho na kimwili pia ukianzisha biashara ukasema namtegemea Mungu huku Mungu mwenyewe hatambui kama biashara yako inamtegemea bro hiyo ni hatari ya kwanza kabisa kibiashara na kiuchumi pia mimi ni mfanyabiashara bro katika kipindi nilichokaa kwenye biashara nimejifunza vingi usione watu wanalipia mafrem ya bei watu wanamabiashara makubwa hapa mjini hakuna biashara inayofanikiwa kimwili ikiwa kiroho haina misingi haina ulinzi ukiona biashara haipigwi vita jua kabisa hapo sio potential location na wanajua ni swala la kuamua tu wanaizima mpaka unakuja hapa kutaka ushauri wa kwenda kwa mganga means haukuwahi kwenda kwa mganga ingekuwa unaye tayari ingekuwa ni simu moja ushaenda kwa babu au babu kaja saiti ila automatic wewe pia humjui Mungu yani wewe ni Vuguvugu shetani humjui na Mungu pia humjui sasa kinachotokea kwa sasa ni shetani anaanza kukutia viboko ili ujae upande wake akumiliki mazima na nisikufiche ukienda kwa mganga hata sasa utaona trend ya biashara inarudi kwa kasi ila kumbuka safari ya kwa mganga wa kwanza huzaa safari nyingi za kwa waganga na mwisho wa siku utakuwa kama mchawi kama nilivyokuambia mwanzo kwenye kila biashara iliyosimama vizuri kuna siri ndani yake hata kumtegemea Mungu ni siri pia na hiyo ndo siri nzuri zaidi sababu haina mashart wewe timiza maagizo yake tu fanya ibada toa sadaka ila kikubwa zaidi sehemu ya kumi ya faida unayopata kutoka kwenye biashara yako au hata mshahara wako usione hasara toa dhaka kwa uaminifu zaidi tena usitoe kama unamsusia Mungu au kama unamtupia toa dhaka huku ukisemea neno ambalo unahitaji Mungu akatende nakuambia fanya hayo acha pia anasa zisizo na msingi tunza familia ukiweza kwenye hayo utakuja na uzi wa furaha hapa ukifurahia yale ambayo Mungu ametenda kwako hauna haja ya kwenda kwa waganga kuuza nafsi kaka wala hauna haja ya kwenda kukanyaga mafuta wala nini fanya hayo nimekuambia huo ndo ushauri wangu huwez kuendesha biashara ya 25m halafu unaendesha kienyeji binadamu hatupendani kaka mimi ninafanya biashara ya mtaji wa laki 4-5 lakini ninaitolea dhaka sadaka sababu naona vita ni kubwa bro na maeneo hayo Mungu anapenyeza zile ahadi alizotuahidi kuhusu matoleo.
Nb:
Nimezungumzia dhaka na sadaka sababu kila dini inatusihi kutoa sijazungumzia mafuta wala kwenda Tanganyika packers kila mtu humuomba Mungu kwa dini yake ila ukitaka kumjaribu Mungu mjaribu kwa dhaka na sadaka ila katika maeneo mengine Mungu kasema hajaribiwi.
Over.
 
Ila mbona hali n ngumu mkuu, Au kuna mwenzako unaona amekupokea wateja jiulze maswala haya

Ulikuw unawauzia bidhaa hali zao za biashara zpoje ukipat jibu kuwa wanafanya biashara zao kam zamn nend kaloge na wewe
 
Nashukuru kuwepo kwa uzi huu.
Hapo haina haja ya sangoma. Fanya kitu kimoja, tembelea wateja wako mmoja baada ya mwingine hukohuko walipo kwenye pub, bar au grocery zao ama dukani. Ukienda kama ni sehemu ya vinywaji Keti pale anagalau Masaa mawili agiza kinywaji chunguza vizur mienendo ya wateja bila kuwaongelesha chochote. Angalia bidhaa wanachukua kwa nani na kwanini. Je huyo wanakonunua ana nini ambacho we huna. Ukipata majibu hayo tu itakusaidia uanzie wapi.
 
Boss biashara ilikua ngumu toka januar to march
Mm ofis yang nmejitahid kuweka mizigo mpiya ila waaap
Jikaze hujalogwa wala nini
Angalia kama factor nyingne ziko constant
Pambana
 
Bahati nzuri uko educated.
1.Ulifanikiwa kujua wateja wako vizuri hususan wa mzigo mkubwa na wa kujirudia rudia au unatuma vijana tu ku deliver? Kama hapana fanya zoezi hili kawatembelee ujue wanaendeleaje huenda nao wameshuka kibiashara, jadiliana nao ujue kwa nini hawaji tena kwako, na muone namna ya kurudi ktk biashara pamoja. Ndio maana mtu anakuwa na meneja mahusiano katika biashara kubwa, kwa yako wewe ndio wewe.
Mteja mkubwa unalazimika kushiriki baadhi ya issues zake mkuu, hata kujua familia yake na baadhi ya shida zake but ki pro zaidi, asije kukugeuza mshikaji sana ukampa mikopo ambayo hataweza kuilipa.
2.Biashara ina muda gani? Umeweza kujua katika siku,wiki na mwezi wakati gani biashara inakuwa inatoka zaidi na wakati gani inakuwa chini.Kama biashara ina umri wa chini ya miaka mitano bado hata haujakutana na changamoto mkuu, makubwa mengi yanakuja au yatakuja... Na mganga anaweza kuwa na asiwe soln, wewe ndio mganga mkuu ktk hili.
3.Biashara ni vita, launch vita kweli ya kibiashara kwa mfano ulivyo anza ku take over, ulitakiwa kuongeza hata store nyingine ndogo karibia na sehemu unazoona zinaweza kuchukuliwa na wengine kwa biashara hiyo hiyo.
Wengine inabidi uwameze wakati unatanuka kwa kufanya partnership(hii ngumu bongo),au umuondoe kabisa katika biashara hiyo[emoji847].
KWA KIFUPI TU BIASHARA NI WIZI NA UKATILI HALALI
AJIRA NI UTUMWA WA KUTIMIZA MALENGO YA WATU WENGINE(individual, private sector,government)MALENGO YAKO YAKIWA BAADA YA KIPAUMBELE CHA ALIEKUAJIRI KUTIMIZWA.
 
wanaoamini ucHawi hawakosekanagi.

kuchinja maana yake kuikabidhi biashara yako kwa miungu (mashetani) rasmi,
watakuendeshaaaaaaaaa

utachinja mpk utatoa damu ya thaMani sio ya kuku tena wala mbuzi

hao wapendwa wako watafikiwa.
si unataka hela!!
utakataaje ukifikiria kurudi kny ukata!

km ushauri wa waganga uliuona sahihi ukautendea kazi simama usiendelee.

you need higher grace mtoa maada,

pia usisite kutupa mrejesho
 
Sijaelewa....

Hayo uliyoandika Yana uhusiano gani na Biashara yangu?
NB:- Madhambi yangu anaihukumu biashara, "Business is separate legal entity" Kwani Allah halijui hili?

#YNWA

Una matatizo ww sio bure. Na kwa style hii unaelekea kufa kbs kibiashara. Juzi Elon Musk alipata hasara ambayo hakuna bilionea alipata hasara km yy tokea Dunia imeumbwa sembuse ww. Still akatulia na Sasa amerejea rasmi. Kinachotakiwa tulia endelea kupiga Kazi, kufata ushauri wa watu na kumuomba mungu. Achana na uchawi, hua una mwisho mbaya utakuja kuua hata damu yako na kufilisika. Huu mwaka kila mtu analia hata World bank walishatabiri haya
 
umezidiwa kete..

chunguza waliokuwa wateja wako siku hizi wananunua wapi mzigo.

ukishajua wanaponunua anza kufatilia ulipozidiwa, yawezekana huko walikohamia kuna bei rahisi.

biashara ni kuchunguzana, ulipokuwa unapiga hizo pesa tayari kuna wazee wa fursa walishaanza kukuchunguza wametumia mwanya, yawezekana wafanyabiashara baada ya kukuchunguza wao wanauza bei ya chini kuzidi wewe, wanafanya delivery mpaka usiku, wapo location inayofikika kirahisi, n.k. na pia inawezekana ni vijana wako wa hapo hapo dukani nao wamejiongeza wamefungua vistoo vyao bubu wateja wakija wanawapeleka huko.

ukichunguzwa na wewe wachunguze, tit for tat !! tatizo wengi wanapokosea huwa wanaacha uchunguzi biashara ikianza kumeremeta, mda huo umerelax kuna watu wanapanga mikakati, kuja skustuka chali wateja washahama.

Kiukweli hata mimi niliyeishia form 4 unanipa mashaka hio elimu yako uliyosomea mpaka masters unashindwaje kuitumia.

Kuna kitu watu wanamis ambacho ni ujasusi wa biashara. Huyu anaonekana halijui hili
 
MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI.

INTRODUCTION:

Mimi ni mtumishi wa umma Ila pia nina ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa sanaa...

Na nikiri NAPENDA HELA SAA.
Yaani ukitaka niwe na Amani basi laki kadhaa ziwe kwenye wallet yangu.

Katika kukimbiza ndoto zangu niliamua kufungua biashara ya vinywaji ya Jumla na rejareja (jina la mtaani tunaita Depo).

Nilikusanya mtaji nikiwa tayari nina idea na ilipofika mil 9 nikafungua depo.
Mil 6 bidhaa na mil 3 sunk cost kama kodi, Matengenezo frame na mengine yale ya maandalizi ya biashara.

Nauza vinywaji vyotee vikali na baridi, kwa jumla na reja reja, na kwasasa biashara yangu ina mtaji wa mil 25.

SCENARIO
Biashara ilianza vizurii mpaka nikawa nadata, yaani wateja walikuwa wengii.

Hawa wakani-force kukuza mtaji fasta mpaka kufika hizo mil 25.

Pia nikawa na vijana wa3 wa dukani, yaani ni fast delivery. Yaani mteja akikata tu simu basi bidhaa ipo mlangoni mwake.

Aisee nilipata jina fasta na kubwaa sanaa.

Mauzo yangu yalikuwa makubwa ya mil 3 Kwa siku na siku nisipouza yalikuwa hayashuki mil 1.

Kwasasa Nina Miaka kadhaa kwenye biashara (from July 2020).

Ila ndugu sasa biashara sielewi..

PROBLEM
Tokea January 2023 BIASHARA IMEKUWA NGUMU mnooo.

Mauzo mil 1 Tena jana ndio Majanga, nimefunga na laki 5..!!!

Pia hapa Nina miamala ya simu, na juzi (01/02) nililipwa commission ya 150k kwa mitandao yotee mi 4.

Wakati nilifika commison ya laki 5 kwa mitandao yote mi4.

Wateja simu sizioni, wakati Kuna kipindi walikua wanapiga simu mpaka saa 7 usiku kuniomba niwauzie bidhaa.

Hiyo saa 7 usiku watakukodia boda utakuja kufungua store utawauzia, wanakulipa na boda inakurudisha gheto kwa gharama zao.

Nina masters na bachelor ya mambo ya biashara, hivyo nimejaribu marketing skills kibao kama za kutuma sms kila asubuhi kuomba order kwa wateja, kupost status za WhatsApp ila 2023 bado ngumu kwenye biashara.

Sasa nimeshauriwa na raia NIENDE KWA MTAALAMU NIKAPIKWE.

Naambiwa, nilikua na nyota kalii hivyo competitor wameona waizime ili wao wauze.

DILEMA
Nimedata mwenzenu, ukicheki hii biashara ndio naitegemea kuwa ndio tobo la kunifanya nije kuachana na ajira za serikali ya CCM ila MBELE NAONA GIZA.

Nina mengi aisee siwezi kuandika yote, mfano: siku hizi nafungua saa 1 kamili asubuhi na kufunga saa 5 usiku.
Na hata kazini (halmashauri) nimepasusa naona pananichanganya tu (wiki yotee hii (Tokea 30/01)SIJAFIKA KAZINI.

KUHUSU VITABU-
Hivi vitabu sijui vya Robert koyasaki na wengine NIMESOMA SANAAA.
Tokea 2020 nishasoma vitabu kama 30 hivi vya mambo ya biashara na fedha na Robert Koyasaki pekee yake ni vitabu vi5 kuanzaia Rich Dad mpaka Money Quadrant.

Vingi vinazungumzia "Kwenye financial world Usikate tamaa, pambana"" ila nahisi Kuna kamba ipo nyuma ya mapambano yangu inanivuta nyuma.

NAPAMBANA NYIE...
1. Muda wote duka nalifanya safi
2. Rangi zinavutia (mashelf na ukuta)
3. Kama elimu, Nina degree mbili za biashara (bachelor + masters)
4. Kama ni experince, nishauza sanaa biashara za watu Tena bila mshahara (kipindi najifunza biashara)
5. Kama ni ukarimu, basi ni mkarimu sanaa. Humu Kuna watu wawili tulishaongea sanaa Japo kwa simu (kama wako comfortable wanaweza thibitisha hapa).

Kifupi nafanya mengii ila 2023 imekua ngumu.
Imefikia mpaka kupunguza wafanyakazi dukani kutoka 3 mpaka 1..!!!

Na kilichonifanya nipost ni baada ya commision kushuka kutoka 500k mpak 150k kwa Jauary/2023.

Huwezi amini:-
Jumapili ya wiki hii sikufungua, ili tu nione upepo wa wateja, ila chakusangaza mpaka unaingia usiku sijapokea simu hata ya mteja mmoja kulalamika "Mbona nimefunga"

Kwasasa sijui si-exist kwenye phone book zao..!! Niko kudata balaaa yaani waliokuwa wakinipigia simu usiku nao hawapigi hata mchana..!!!

Kazini sijaenda wiki maana kichwa ni cha moto balaaa.

Nipeni mawazo wajasiliamali wenzangu.
Nipeni mawazo wafanyabiashara wenzangu.

Nishapitia msoto mkubwa sanaa kwenye maisha ya uyatima, kazini, kwenye ujana wangu ila Jambo gumu linapogusa biashara NADATA KABISAAAA.

Nahitaji kuacha Kazi na hili ndio TOBO LANGU.

MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI?

#YNWA
Bro unasahau kitu kimoja sio bidhaa tu zina expire dukani , hata na duka lenyewe ' wewe mwenyewe una expire na muuzaji au wauzaji wana expire. Biashara nyingi kwa sasa mwanzo sio mgumu tena ila zinatrend kwa muda mfupi. Ishu ni expire date , kuna mpya kaingia na wewe hukujua ukaendelea kawaida badala ya kuapdate kila kitu na wewe kuwa mpya. Mkuu kabla yako alikuwepo mwingine au wengine ila ujio wako ukawafunika kwa mbinu , basi usishangae imekuwa zamu yako bila kujiupdate utapata sonona bure
 
Sijaelewa....

Hayo uliyoandika Yana uhusiano gani na Biashara yangu?
NB:- Madhambi yangu anaihukumu biashara, "Business is separate legal entity" Kwani Allah halijui hili?

#YNWA
Kkiburi Kitakuponza na ukumbuke kama huwezi ongea kiarabu huyo allah hawezi kukuelewa
 
MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI.

INTRODUCTION:

Mimi ni mtumishi wa umma Ila pia nina ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa sanaa...

Na nikiri NAPENDA HELA SAA.
Yaani ukitaka niwe na Amani basi laki kadhaa ziwe kwenye wallet yangu.

Katika kukimbiza ndoto zangu niliamua kufungua biashara ya vinywaji ya Jumla na rejareja (jina la mtaani tunaita Depo).

Nilikusanya mtaji nikiwa tayari nina idea na ilipofika mil 9 nikafungua depo.
Mil 6 bidhaa na mil 3 sunk cost kama kodi, Matengenezo frame na mengine yale ya maandalizi ya biashara.

Nauza vinywaji vyotee vikali na baridi, kwa jumla na reja reja, na kwasasa biashara yangu ina mtaji wa mil 25.

SCENARIO
Biashara ilianza vizurii mpaka nikawa nadata, yaani wateja walikuwa wengii.

Hawa wakani-force kukuza mtaji fasta mpaka kufika hizo mil 25.

Pia nikawa na vijana wa3 wa dukani, yaani ni fast delivery. Yaani mteja akikata tu simu basi bidhaa ipo mlangoni mwake.

Aisee nilipata jina fasta na kubwaa sanaa.

Mauzo yangu yalikuwa makubwa ya mil 3 Kwa siku na siku nisipouza yalikuwa hayashuki mil 1.

Kwasasa Nina Miaka kadhaa kwenye biashara (from July 2020).

Ila ndugu sasa biashara sielewi..

PROBLEM
Tokea January 2023 BIASHARA IMEKUWA NGUMU mnooo.

Mauzo mil 1 Tena jana ndio Majanga, nimefunga na laki 5..!!!

Pia hapa Nina miamala ya simu, na juzi (01/02) nililipwa commission ya 150k kwa mitandao yotee mi 4.

Wakati nilifika commison ya laki 5 kwa mitandao yote mi4.

Wateja simu sizioni, wakati Kuna kipindi walikua wanapiga simu mpaka saa 7 usiku kuniomba niwauzie bidhaa.

Hiyo saa 7 usiku watakukodia boda utakuja kufungua store utawauzia, wanakulipa na boda inakurudisha gheto kwa gharama zao.

Nina masters na bachelor ya mambo ya biashara, hivyo nimejaribu marketing skills kibao kama za kutuma sms kila asubuhi kuomba order kwa wateja, kupost status za WhatsApp ila 2023 bado ngumu kwenye biashara.

Sasa nimeshauriwa na raia NIENDE KWA MTAALAMU NIKAPIKWE.

Naambiwa, nilikua na nyota kalii hivyo competitor wameona waizime ili wao wauze.

DILEMA
Nimedata mwenzenu, ukicheki hii biashara ndio naitegemea kuwa ndio tobo la kunifanya nije kuachana na ajira za serikali ya CCM ila MBELE NAONA GIZA.

Nina mengi aisee siwezi kuandika yote, mfano: siku hizi nafungua saa 1 kamili asubuhi na kufunga saa 5 usiku.
Na hata kazini (halmashauri) nimepasusa naona pananichanganya tu (wiki yotee hii (Tokea 30/01)SIJAFIKA KAZINI.

KUHUSU VITABU-
Hivi vitabu sijui vya Robert koyasaki na wengine NIMESOMA SANAAA.
Tokea 2020 nishasoma vitabu kama 30 hivi vya mambo ya biashara na fedha na Robert Koyasaki pekee yake ni vitabu vi5 kuanzaia Rich Dad mpaka Money Quadrant.

Vingi vinazungumzia "Kwenye financial world Usikate tamaa, pambana"" ila nahisi Kuna kamba ipo nyuma ya mapambano yangu inanivuta nyuma.

NAPAMBANA NYIE...
1. Muda wote duka nalifanya safi
2. Rangi zinavutia (mashelf na ukuta)
3. Kama elimu, Nina degree mbili za biashara (bachelor + masters)
4. Kama ni experince, nishauza sanaa biashara za watu Tena bila mshahara (kipindi najifunza biashara)
5. Kama ni ukarimu, basi ni mkarimu sanaa. Humu Kuna watu wawili tulishaongea sanaa Japo kwa simu (kama wako comfortable wanaweza thibitisha hapa).

Kifupi nafanya mengii ila 2023 imekua ngumu.
Imefikia mpaka kupunguza wafanyakazi dukani kutoka 3 mpaka 1..!!!

Na kilichonifanya nipost ni baada ya commision kushuka kutoka 500k mpak 150k kwa Jauary/2023.

Huwezi amini:-
Jumapili ya wiki hii sikufungua, ili tu nione upepo wa wateja, ila chakusangaza mpaka unaingia usiku sijapokea simu hata ya mteja mmoja kulalamika "Mbona nimefunga"

Kwasasa sijui si-exist kwenye phone book zao..!! Niko kudata balaaa yaani waliokuwa wakinipigia simu usiku nao hawapigi hata mchana..!!!

Kazini sijaenda wiki maana kichwa ni cha moto balaaa.

Nipeni mawazo wajasiliamali wenzangu.
Nipeni mawazo wafanyabiashara wenzangu.

Nishapitia msoto mkubwa sanaa kwenye maisha ya uyatima, kazini, kwenye ujana wangu ila Jambo gumu linapogusa biashara NADATA KABISAAAA.

Nahitaji kuacha Kazi na hili ndio TOBO LANGU.

MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI?

#YNWA
Boss kila mtu atakushauri hatawasifanya biashara. Nisikilize mm mfabya biashara mwenzako. Iko hiv, tangu januari hadi sasa march, biashara zote zimeshika. Sio wewe tu, mm nafanya biashara ya nguo dodoma. Juzi kati nilikua naangalia trend ya biashara yangu tangu mwaka uanze maana huwa natunza kumbukubu za mauzo kwa software kabisa. Aisee mauzo yameshjka kwa zaidi ya asilimia 30 kwa miez ya jan, feb hii mar, ukilinganisha na miezi ya oct, nov na dec 2022.

Sio mm tu hata majirani zangu hali sio sawa na mwaka jana. Kuna jitani yangu hapa yeye huwa anauza spea za pkpk na bajaj. Mwaka jana alikua bize sana muda wote ila tangu mwaka huu uanze, analala sana dukani, muda mwingi anachat tu.

Yaan uliposema tu tangu msaka huu uanze nikakuelewa. Usiemde popote, hujarogwa. Ni pesa tu imeadimika kitaa. Pia ujue kuwa biashara yako na hii yangu sio basic need. Mtu atakunywa na kuvaa kama ana pesa na watoto wameshiba. Nei za vyakula na mahitaji mengine muhimu zimepanda sana hivyo vipato vya watu haviruhusu kufanya vitu vya ziada.

Mm niko mpole tu kwa sasa. Tulia hali itarudi tu. Kila la heri
 
Back
Top Bottom