Unatakiwa ubredi mwaka mzima wewe ndiyo kula vya watu utaachaMm nimeanza kazi 2018. Nilipofika tu kuna mwanaume mtu mzima akaanza kunitokea. Baada ya kunisumbua kwa muda mrefu nikampa masharti kuwa sitaki sex mpk ndoa, akakubali.
Amekuwa akishinikiza kunioa lkn mm nimekuwa nikimkatalia na kumwambia asubiri niweke mipango yangu sawa.
Mwaka huu nimempa ahadi ya kuwa atanioa mwakani. Jamaa yuko excited sana akidhani namaanisha kumbe mm nina mtu wangu ninayempenda.
Jamaa anaendelea kunipa huduma za kunijazia gesi, kunilipia kodi, kuninunulia nguo, kusuka nywele, kuniwekea kifurushi cha king'amuzi, n.k.
Sasa mwakani ikifika nitafanyeje? Maana sina mpango kabisa wa kuolewa na mtu mzima huyu.
Chakufanya hiyo sambusa mmegee tu akaishi nayoMm nimeanza kazi 2018. Nilipofika tu kuna mwanaume mtu mzima akaanza kunitokea. Baada ya kunisumbua kwa muda mrefu nikampa masharti kuwa sitaki sex mpk ndoa, akakubali.
Amekuwa akishinikiza kunioa lkn mm nimekuwa nikimkatalia na kumwambia asubiri niweke mipango yangu sawa.
Mwaka huu nimempa ahadi ya kuwa atanioa mwakani. Jamaa yuko excited sana akidhani namaanisha kumbe mm nina mtu wangu ninayempenda.
Jamaa anaendelea kunipa huduma za kunijazia gesi, kunilipia kodi, kuninunulia nguo, kusuka nywele, kuniwekea kifurushi cha king'amuzi, n.k.
Sasa mwakani ikifika nitafanyeje? Maana sina mpango kabisa wa kuolewa na mtu mzima huyu.
Gunia mbili za mkaa zinakuhusu amnaga free lunch kwenye hii duniaMm nimeanza kazi 2018. Nilipofika tu kuna mwanaume mtu mzima akaanza kunitokea. Baada ya kunisumbua kwa muda mrefu nikampa masharti kuwa sitaki sex mpk ndoa, akakubali.
Amekuwa akishinikiza kunioa lkn mm nimekuwa nikimkatalia na kumwambia asubiri niweke mipango yangu sawa.
Mwaka huu nimempa ahadi ya kuwa atanioa mwakani. Jamaa yuko excited sana akidhani namaanisha kumbe mm nina mtu wangu ninayempenda.
Jamaa anaendelea kunipa huduma za kunijazia gesi, kunilipia kodi, kuninunulia nguo, kusuka nywele, kuniwekea kifurushi cha king'amuzi, n.k.
Sasa mwakani ikifika nitafanyeje? Maana sina mpango kabisa wa kuolewa na mtu mzima huyu.
Wakati huyo workamte wako anabeba majukumu yote hayo , huyo mtu wako wa ukweli amekufanyia nini so far ?Mm nimeanza kazi 2018. Nilipofika tu kuna mwanaume mtu mzima akaanza kunitokea. Baada ya kunisumbua kwa muda mrefu nikampa masharti kuwa sitaki sex mpk ndoa, akakubali.
Amekuwa akishinikiza kunioa lkn mm nimekuwa nikimkatalia na kumwambia asubiri niweke mipango yangu sawa.
Mwaka huu nimempa ahadi ya kuwa atanioa mwakani. Jamaa yuko excited sana akidhani namaanisha kumbe mm nina mtu wangu ninayempenda.
Jamaa anaendelea kunipa huduma za kunijazia gesi, kunilipia kodi, kuninunulia nguo, kusuka nywele, kuniwekea kifurushi cha king'amuzi, n.k.
Sasa mwakani ikifika nitafanyeje? Maana sina mpango kabisa wa kuolewa na mtu mzima huyu.
Mrudishie Mali zake zote ulizotumia. Na ndio Mana siamini katika kuhudumiaMm nimeanza kazi 2018. Nilipofika tu kuna mwanaume mtu mzima akaanza kunitokea. Baada ya kunisumbua kwa muda mrefu nikampa masharti kuwa sitaki sex mpk ndoa, akakubali.
Amekuwa akishinikiza kunioa lkn mm nimekuwa nikimkatalia na kumwambia asubiri niweke mipango yangu sawa.
Mwaka huu nimempa ahadi ya kuwa atanioa mwakani. Jamaa yuko excited sana akidhani namaanisha kumbe mm nina mtu wangu ninayempenda.
Jamaa anaendelea kunipa huduma za kunijazia gesi, kunilipia kodi, kuninunulia nguo, kusuka nywele, kuniwekea kifurushi cha king'amuzi, n.k.
Sasa mwakani ikifika nitafanyeje? Maana sina mpango kabisa wa kuolewa na mtu mzima huyu.
Subira yangu ndiyo iliyonipoozaMm nimeanza kazi 2018. Nilipofika tu kuna mwanaume mtu mzima akaanza kunitokea. Baada ya kunisumbua kwa muda mrefu nikampa masharti kuwa sitaki sex mpk ndoa, akakubali.