- Thread starter
- #21
Huyu hana kitu. Huwa nammegea vijisenti navyopata kwa huyu mtu mzimaWakati huyo workamte wako anabeba majukumu yote hayo , huyo mtu wako wa ukweli amekufanyia nini so far ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hana kitu. Huwa nammegea vijisenti navyopata kwa huyu mtu mzimaWakati huyo workamte wako anabeba majukumu yote hayo , huyo mtu wako wa ukweli amekufanyia nini so far ?
[emoji23][emoji23][emoji23]huyo mtu mzm kweli hajielew yan miak mi3 anasubir tu[emoji23][emoji23]ama kweli kuchelew kufa ndo kuon mengiHuyu hana kitu. Huwa nammegea vijisenti navyopata kwa huyu mtu mzima
Bwege huyu wee kula tuu hela zake ndio anachokitaka. Wajinga ndio waliwaoMm nimeanza kazi 2018. Nilipofika tu kuna mwanaume mtu mzima akaanza kunitokea. Baada ya kunisumbua kwa muda mrefu nikampa masharti kuwa sitaki sex mpk ndoa, akakubali.
Amekuwa akishinikiza kunioa lkn mm nimekuwa nikimkatalia na kumwambia asubiri niweke mipango yangu sawa.
Mwaka huu nimempa ahadi ya kuwa atanioa mwakani. Jamaa yuko excited sana akidhani namaanisha kumbe mm nina mtu wangu ninayempenda.
Jamaa anaendelea kunipa huduma za kunijazia gesi, kunilipia kodi, kuninunulia nguo, kusuka nywele, kuniwekea kifurushi cha king'amuzi, n.k.
Sasa mwakani ikifika nitafanyeje? Maana sina mpango kabisa wa kuolewa na mtu mzima huyu.
Reset in peace in advanceMm nimeanza kazi 2018. Nilipofika tu kuna mwanaume mtu mzima akaanza kunitokea. Baada ya kunisumbua kwa muda mrefu nikampa masharti kuwa sitaki sex mpk ndoa, akakubali.
Amekuwa akishinikiza kunioa lkn mm nimekuwa nikimkatalia na kumwambia asubiri niweke mipango yangu sawa.
Mwaka huu nimempa ahadi ya kuwa atanioa mwakani. Jamaa yuko excited sana akidhani namaanisha kumbe mm nina mtu wangu ninayempenda.
Jamaa anaendelea kunipa huduma za kunijazia gesi, kunilipia kodi, kuninunulia nguo, kusuka nywele, kuniwekea kifurushi cha king'amuzi, n.k.
Sasa mwakani ikifika nitafanyeje? Maana sina mpango kabisa wa kuolewa na mtu mzima huyu.
Mnawaponza wanawake wenzenu ndo maana wanaishia kuzalishwa na kuachwa. Maana mwanaume unavumilia Kila aina ya uongo wa mwanamke, ila siku akijilengesha ni kupiga na mimba juu na mahusiano yanaishia hapoMm nimeanza kazi 2018. Nilipofika tu kuna mwanaume mtu mzima akaanza kunitokea. Baada ya kunisumbua kwa muda mrefu nikampa masharti kuwa sitaki sex mpk ndoa, akakubali.
Amekuwa akishinikiza kunioa lkn mm nimekuwa nikimkatalia na kumwambia asubiri niweke mipango yangu sawa.
Mwaka huu nimempa ahadi ya kuwa atanioa mwakani. Jamaa yuko excited sana akidhani namaanisha kumbe mm nina mtu wangu ninayempenda.
Jamaa anaendelea kunipa huduma za kunijazia gesi, kunilipia kodi, kuninunulia nguo, kusuka nywele, kuniwekea kifurushi cha king'amuzi, n.k.
Sasa mwakani ikifika nitafanyeje? Maana sina mpango kabisa wa kuolewa na mtu mzima huyu.
Hilo ndo swali nilikua najiuliza.Wakati huyo workamte wako anabeba majukumu yote hayo , huyo mtu wako wa ukweli amekufanyia nini so far ?
Kuna nyuzi unakuwaga mwanaume nyingine mwanamke.Weye ni shemale?Mm nimeanza kazi 2018. Nilipofika tu kuna mwanaume mtu mzima akaanza kunitokea. Baada ya kunisumbua kwa muda mrefu nikampa masharti kuwa sitaki sex mpk ndoa, akakubali.
Amekuwa akishinikiza kunioa lkn mm nimekuwa nikimkatalia na kumwambia asubiri niweke mipango yangu sawa.
Mwaka huu nimempa ahadi ya kuwa atanioa mwakani. Jamaa yuko excited sana akidhani namaanisha kumbe mm nina mtu wangu ninayempenda.
Jamaa anaendelea kunipa huduma za kunijazia gesi, kunilipia kodi, kuninunulia nguo, kusuka nywele, kuniwekea kifurushi cha king'amuzi, n.k.
Sasa mwakani ikifika nitafanyeje? Maana sina mpango kabisa wa kuolewa na mtu mzima huyu.
Wewe si unajiitaga Mwanaume, kumbe ShogaMm nimeanza kazi 2018. Nilipofika tu kuna mwanaume mtu mzima akaanza kunitokea. Baada ya kunisumbua kwa muda mrefu nikampa masharti kuwa sitaki sex mpk ndoa, akakubali.
Amekuwa akishinikiza kunioa lkn mm nimekuwa nikimkatalia na kumwambia asubiri niweke mipango yangu sawa.
Mwaka huu nimempa ahadi ya kuwa atanioa mwakani. Jamaa yuko excited sana akidhani namaanisha kumbe mm nina mtu wangu ninayempenda.
Jamaa anaendelea kunipa huduma za kunijazia gesi, kunilipia kodi, kuninunulia nguo, kusuka nywele, kuniwekea kifurushi cha king'amuzi, n.k.
Sasa mwakani ikifika nitafanyeje? Maana sina mpango kabisa wa kuolewa na mtu mzima huyu.
.... mijanamke ya hivi ndo ile unakuta ikikuvulia utadhani panya kavunda kwa hiyo inajijua kabisa ikikupa mali utakata umeme. Binafsi yangu mwanamke akizungusha wiki hatoi naachana naye nakata umeme kila kitu naendelea na mambo mengine halafu siku za mbele huwa anakuja kunitafuta mwenyewe na kunipa kesho yake.Mm nimeanza kazi 2018. Nilipofika tu kuna mwanaume mtu mzima akaanza kunitokea. Baada ya kunisumbua kwa muda mrefu nikampa masharti kuwa sitaki sex mpk ndoa, akakubali.
Amekuwa akishinikiza kunioa lkn mm nimekuwa nikimkatalia na kumwambia asubiri niweke mipango yangu sawa.
Mwaka huu nimempa ahadi ya kuwa atanioa mwakani. Jamaa yuko excited sana akidhani namaanisha kumbe mm nina mtu wangu ninayempenda.
Jamaa anaendelea kunipa huduma za kunijazia gesi, kunilipia kodi, kuninunulia nguo, kusuka nywele, kuniwekea kifurushi cha king'amuzi, n.k.
Sasa mwakani ikifika nitafanyeje? Maana sina mpango kabisa wa kuolewa na mtu mzima huyu.
Yaani ndani ya wiki upewe na vya ndani? Imekuwa pipi hiyo?Binafsi yangu mwanamke akizungusha wiki hatoi naachana naye nakata umeme kila kitu
Kuna muda unakuwa mwanaume kuna muda unakuwa wa kike..au unajisahau kurudi kwenye parody lako?
Kuna muda mambo yetu yanakuwa hayanyooki kwasababu kuna watu wengi sana wanavinyongo juu yetu.Mimi nimeanza kazi 2018. Nilipofika tu kuna mwanaume mtu mzima akaanza kunitokea. Baada ya kunisumbua kwa muda mrefu nikampa masharti kuwa sitaki sex mpk ndoa, akakubali. Amekuwa akishinikiza kunioa lkn mm nimekuwa nikimkatalia na kumwambia asubiri niweke mipango yangu sawa.
Mwaka huu nimempa ahadi ya kuwa atanioa mwakani. Jamaa yuko excited sana akidhani namaanisha kumbe mm nina mtu wangu ninayempenda. Jamaa anaendelea kunipa huduma za kunijazia gesi, kunilipia kodi, kuninunulia nguo, kusuka nywele, kuniwekea kifurushi cha king'amuzi, n.k.
Sasa mwakani ikifika nitafanyeje? Maana sina mpango kabisa wa kuolewa na mtu mzima huyu.
Sasa mwakani ikifika nitafanyeje? Maana sina mpango kabisa wa kuolewa na mtu mzima huyu.
Kitu nilichogundua, humu JF 80% ni wanaume, ila wapo wenye mikato ya kike.Kuna muda unakuwa mwanaume kuna muda unakuwa wa kike..au unajisahau kurudi kwenye parody lako?