Niko njiapanda: Mwaka wa 3 huu nampa ahadi za uongo lakini hachoki kunihudumia

Bwege huyu wee kula tuu hela zake ndio anachokitaka. Wajinga ndio waliwao
 
Baadae tukisikia mtu kamuua mpenzi wake aliemuahidi ndoa hewa tutabaki midomo wazi kweli kweli. Au naongopa ndugu zangu?
 
Reset in peace in advance
 
Mnawaponza wanawake wenzenu ndo maana wanaishia kuzalishwa na kuachwa. Maana mwanaume unavumilia Kila aina ya uongo wa mwanamke, ila siku akijilengesha ni kupiga na mimba juu na mahusiano yanaishia hapo
 
Wakati huyo workamte wako anabeba majukumu yote hayo , huyo mtu wako wa ukweli amekufanyia nini so far ?
Hilo ndo swali nilikua najiuliza.
Au yeye na huyo mtu wake wanamchuna mzee.
 
My appologies to let you know that, wewe ni malaya kama malaya wengine tuu tofautini mazingira..af una roho ya kimasikin japo unajimudu ndio maana unapenda kula vya watu
 
Kuna nyuzi unakuwaga mwanaume nyingine mwanamke.Weye ni shemale?
 
Wewe si unajiitaga Mwanaume, kumbe Shoga
 
.... mijanamke ya hivi ndo ile unakuta ikikuvulia utadhani panya kavunda kwa hiyo inajijua kabisa ikikupa mali utakata umeme. Binafsi yangu mwanamke akizungusha wiki hatoi naachana naye nakata umeme kila kitu naendelea na mambo mengine halafu siku za mbele huwa anakuja kunitafuta mwenyewe na kunipa kesho yake.
 
Kuna muda mambo yetu yanakuwa hayanyooki kwasababu kuna watu wengi sana wanavinyongo juu yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…