Niko njiapanda: Mwaka wa 3 huu nampa ahadi za uongo lakini hachoki kunihudumia

Kwakifupi chchte unacho fanya maishani ni mbegu una panda .... muda ni mwalimu mzuri .... kumbuka huyo ni mtu mzima hana chakupoteza yajayo yanafurahisha
 


Kwenye Uzi hapo ulisema unataka uanze kutongoza wanaume maana huna mtu mpaka sasa. Leo hapa unakuja kutwambia unadated na mbaba kwa miaka 3,at the same time upo na mtu wake mwenye malengo nae.

Unakichwa cha panzi?
 
Yaani ndani ya wiki upewe na vya ndani? Imekuwa pipi hiyo?
... wiki nayo ni mbali sana sababu tokea siku ya kwanza naomba vitu vyangu ushajua akilini mwako kuwa hutatoa au hutoi sasa ya nini kuzidi kupotezeana muda.
 
Itabid tu akuoe hakuna namna
 
Utalipwa unachostahili, wala mwamba hana shida anafanya kwa mapenzi wewe mapenzi yake umeyageuza sehemu ya wewe kujipatia kipato. Karma !!
 
Boyfriend wako unayempenda akijua unaudumiwa na mtu mwingine huoni hyo tatizo.
 
Vifo vingine mnajitafutiaga tu ....tamaa mbaya mwee
 
umri wako
 
Kama wewe hutaki kuolewa MPE jamaa Hugo bwanako amuoe maana anagharamia na mnakula ote vitu

USHAKULA VYA MBWAAA
 
Subir zawadi ya bomu siku ya harusi yako na umpendae..
Relax
 
Katika mkosa watu wanafanya ni kutoa ahadi ya uongo kwa mapenzi, hivi kwa nini unamwongopea? haya ndo yanayoleta mauwaji yasiyo na msingi kwenye jamii, we ungemwambia tu kuwa huwezi kuwa nae na una mtu wako.

Mambo ya kukubali kuhudumiwa na kutoa ahadi za uongo yatamuumiza mtoaji na atatafuta namna ya kulipiza kisasi, omba awe mcha Mungu asitake kisasi.

Hapo ukute kashaanza wambia watu wake wa karibu kuwa mwakani anaoa, afu kashaanza kuseti bajeti yake na maandalizi madogo madogo. Afu baadae ndoa isiwepo, fikiria ungekuwa ww ungemfanyaje alokupa ahadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…