Niko njiapanda: Mwaka wa 3 huu nampa ahadi za uongo lakini hachoki kunihudumia

Usiyotaka ufanyiwe, nawe usiwafanyie wengine.
 
Utampa sumu ukimuandalia msosi akafie kwa mke wake au utamsagia chupa mwezi wa kwanza muwekee kwenye msosi zisage ziwe laini sana weka kwenye juice baada ya miezi 6 uje unishukuru
 
Vitu vyake unavipokea ingali wajua huna mpango naye?, why usimwambie ukweli ila ajue , why umpotezee muda wake hivo? Ndiyo mnapekekea wachukue maamuzi magumu. Kama upo na mtu wako hivo vitu si akuhudumie yeye au ni marioo?
 
Utampa sumu ukimuandalia msosi akafie kwa mke wake au utamsagia chupa mwezi wa kwanza muwekee kwenye msosi zisage ziwe laini sana weka kwenye juice baada ya miezi 6 uje unishukuru
Aaah mkuu usimpe huo ushauri wa kikatili, anaweza akafanya hivo kweli, dhambi jamani
 
Akili hauna, mkipigwa kipapai mnasema binadamu wabaya.
 
Kuna kosa kubwa pia wanaume wanafanya la kuamini kuwa mwanamke akisema 'hapana' hamaanishi. Wrong notion.

Na pia wanaamini pesa ni suluhisho la kila kitu. Mtu unamkatalia lkn bado anajidanganya kuwa akiendelea kukupa vipesa vyake moyo utafunguka na hatimaye kumpenda. No! No! No! Hell no.

Jibu unalopewa mwanzo na mwanamke unayemtokea ndiyo huwa ukweli wa moyoni..
 
Vitu vyake unavipokea ingali wajua huna mpango naye?, why usimwambie ukweli ila ajue , why umpotezee muda wake hivo? Ndiyo mnapekekea wachukue maamuzi magumu. Kama upo na mtu wako hivo vitu si akuhudumie yeye au ni marioo?
Ni king'ang'anizi. Na anaamini pesa na huduma zake vitabadili hisia zangu za moyoni
 
Kumbe ndio maan umepeleka Uzi kule yenye maudhuwi ya HV hv
 
Sijawahi amini katika kumhudumia mwanamke, nitampa pesa na mengine kama rafiki na kiwango ambacho hakitaweka kovu katika moyo wangu endapo atabadilika. Mtu mpaka unalipa kodi, kusuka, king'amuzi, nguo n.k na mwanamke hayupo kwako wengine wanatumia wewe unaambiwa mpaka ndoa, kazi kweli kweli.

Siku hizi mabinti wanatutumia sana vijana na wanachezea sana pochi zetu sababu tunawapaparukia sana na kuwaonesha tunawahitaji sana bila kuwa na jicho lakuona kama tunahitajika.

Kingine kinatugharimu ni kuhisi tukitumia sana pesa na kuhudumia kwingi tutapendwa. Hovyo kabisaaaa.
 
Kingine kinatugharimu ni kuhisi tukitumia sana pesa na kuhudumia kwingi tutapendwa. Hovyo kabisaaaa.
Kosa namba moja ndiyo hili. Wanawake tunapokea huku tukiwa tuneweka mioyo yetu kwa tunaowapenda
 
Usivipokee vitu vyake, uone kama ataendelea kukuletea, anajuaje kama gesi imeisha? Si unamuambia ndiyo sababu
Huwa anajiongeza mwenyewe kwa shobo zake. Akidhani kwa kufanya hivi atauteka moyo wangu
 
Umri wake Tafadhari na huja sema kama ana familia yake mke na watoto
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…