Niko Singida hapa, nimeshangaa hadi leo hii huu mkoa sio jiji

Nduguze madelu mzee wa tozo mna shida sana , yani mnaanzaje kuupigia mkoa wenu aka kijiji kiwe Jiji? muwe na akili jamani wakati mwingine
 
Umesahau wana ziwa (Singidani), pia ka mji ni kadogo kama jiji la Dar (kama inafanana na Dar why yenyewe isiwe jiji?)

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mungu akusaidie pepo la bange likutoke
 
Ni kweli Singida inapita Arusha na Mwanza hata Dar es Salaam kweli? Hebu tembea kidogo uone labda mimi macho yangu hayapo vizuri.
 
Ule utafiti katika kila watanzania wa nne mmoja kichaa, nimeukubali kupitia porojo zako. Singida iipite Dar? SINGIDA haifikii hata kijijini kwetu.
 
Ukiona unaanza kuota ndoto za mchana ujue karibu utakuwa chizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…