Niko Singida hapa, nimeshangaa hadi leo hii huu mkoa sio jiji

Huyu jamaa inawezekana alipitia kale ka mtaa ka ile biashara ya ile kitu akachanganyikiwa walivyo wazuri na wanavyoita kwa kubembeleza akajikuta anaandika post kama hii
 
Mtu yeyote akitokea Babati akafika Singida hudhani ni mkoa wenye maendeleo kuliko mikoa yote Tanzania. Na kama umeshalishwa mishikaki ya punda ndio akili inadumaa kabisa..

Ukiingia hapo Rhode club ukapata mama ya Kinyaturu au ya Kirangi hamna mtu ataweza kukuambia kuna mkoa bora zaidi ukuelewa.
 
Hongera sana Sing Gidder!
 
Duh
 
Huyu jamaa inawezekana alipitia kale ka mtaa ka ile biashara ya ile kitu akachanganyikiwa walivyo wazuri na wanavyoita kwa kubembeleza akajikuta anaandika post kama hii
hujamuelewa
 
hahahaaaa hujamuelewa
 
Umelishwa limbwata weee!! na wanawake wa singida sasa umeamua kuja kutapika humu!! siyo bure weye!! hizi ndo athari za limbwata la singida!
 
Mkuu lile ghorofa la ccm wameshamalizia kulijenga? Singida kuna ghorofa 3 tu. Labda sikuhizi zimeongezeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…