NIKOLA TESLA: Kwa nini watu kama hawa dunia ni nadra kuwapata?

Tesla , amethibitisha na kuweka wazi wazo langu ambalo naliamini hadi kura , kuwa " Wazungu ni Wanafiki Zaidi ya Nyoka!!

Ona, sasa walichomfanya , kwa kuchukua kila kitu chake (Mawazo) na kisha kushindwa hata kumpa heshima kuwa mawazo hayo yalikuwa yake. Ila tatizo ni kuwa tu yeye hakuwa mzungu halisi.

Maana asili ya nchi yake kuna wazungu wengi sana jadi leo hio huwa wanasema wale siyo wazungu ila wamebadilika tu na kuwa na rangi ya ngozi hiyo.
 
Achaga ubishi...no research no right to speak...
 
Tesla motors ipo kwa kumbukumbu ya Nicola Tesla..
 
Mkuu huyo tesla hafai,kwani einstain aligundua nini tofauti na bomu la nyukilia
Mkuu una mess up Kumfananisha Tesla na Eisten unakosea Hao watu ni tofauti kabisa Albert Einstein yeye ni Theoretical Physicist wakati N Tesla ni Experimental physicist, Albert Einstein Hakutengeneza Bomu la nyukilia isipokuwa Equation zake zilisaidia kuformulate, Wote Walikuwa Njema mno, Albert muweke na wakina Hawking,Marie curie
 

Mkuu Wanasayansi tunatambua Mchango Wa Nikola Tesla ukifika Niagra Hydroelectric power station utakuta sanamu kubwa ya Bwana Tesla pili mnamo mwaka 1960 Baraza international la Vipimo SI liliamua kumpa heshima Tesla kwa kuipa S I unit ya Magnetic flux Density kuitwa Tesla ambayo ni Webber per Metre sasa inaitwa Tesla, Ni kweli Kwa kiasi fulani Wazungu Wameficha historia ya mbobezi huyu Wa Inshu za Umeme ukiwaangalia Watu kama Michael Faraday au Guglielmo Marconi kawaida sana ila wamepewa sana airtime mpaka leo vitabuni kwa vile tu ni wa British , Tesla alikuwa Msebia alihamia tu marekani kupata uraia Pale ukiangalia Ugunduzi wa Radio demonstration baada ya Hertz Anakuja kupewa patent Marconi wakati Tesla ndio wa kwanza kugundua useful transmitter walikuwa na Kesi na Marconi juu ya patent ya Radio
 
Mkuu kilichofanya workshop yake ipigwe kiberiti ni ile idea yake ya "free energy". Na hii sio issue ya wireless transmission of electricity BUT alikaa akafikiria " kama air ni rich in positive ions and ground ni rich in negative ions" then kuna posibility ya kugenerate umeme kwa kupitia dhana hiyo na ndio sababu alijenga ile tower!. Na kwenye workshop yake serikali ya marekani haikuchoma "document" zozote but walikomba document zote then wakachoma workshop as an alibi.
 
intellectuals solves problems but Geniuses prevents them...
nicola tesla had contact with extraterestrial Alliens...


To the people around him this was simply incredible. Tesla had unusual amounts of energy and would get complete schematics in an instant. All this and much more points to two possible conclusions: Tesla was an E.T. or Tesla was able to contact them and the invisible realms and that is how he would get his ideas and energy.
Probably the most famous Tesla quote regarding his communication with other realms is:
Tesla openly stated that his brain was a receiver and that the knowledge came from a core. Was he trying to mask the fact that he was communicating with an E.T. race that many say he was a part of?
It is possible, but it is certainly much easier to explain his incredible work to the public in this way, saying that he was doing something that Da Vinci and Einstein were also famous for – communication with other realms.
Another quote is very interesting:
The whole process explained in his words, an invention in his brain without any drawing, experiments, something most people can only dream of, yet so natural to Tesla. Was it possible because he communicated with E.T.’s, other realms, the core as he called it?
Nikola Tesla built a laboratory in Colorado Springs, Colorado, in 1899, to experiment with high frequency electricity and other phenomena. In that laboratory he received and recorded cosmic radio waves on his sensitive instruments.
He announced that he received extraterrestrial radio signals. The scientific community in 1899 did not believe him, because knowledge of cosmic radio signals did not exist at that time.
 
exactly....nipo na ww....akili ya tesla haikuwa ya kawaida...alikuwa na uwezo wa kuongea na Alliens....aise this man had been implanted outsider brain...real...
 

This is one of the hypocrisy of whitemen, several times, they have said the same statement against Obama.

But the fact is, they don't like to see other races to develop new ideas, or to do what they can't at the moment.
 
many pipo claimed that the man had contact with an extraterestrial Alliens...

Is not true , ni uongo wa whites they don't like other races to discover unique items. Hata Obama, they have been airing out the same messages
 
exactly....nipo na ww....akili ya tesla haikuwa ya kawaida...alikuwa na uwezo wa kuongea na Alliens....aise this man had been implanted outsider brain...real...

If you need to understand that it's not true that, Tesla, never contacted the Alliens just try to train your brain and your heart to think deeply avoid any other thoughts you will develop your brain hence you will manage to bring out great ideas.

For most of the people , they have filled their brains and hearts with rubbish and gibberish so, its difficult for them to develop or innovate such ideas.

Although, it's purely possible to have such great brains and hearts filled with knowledge if we will stay a bit away from different interruptions such as sex and relationship, avoiding multiple activities and so forth.
 
Tesla ideas of AC came after meeting Edson's DC or he had the idea before and started looking for the climbing stone?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…