NIKOLA TESLA: Kwa nini watu kama hawa dunia ni nadra kuwapata?

Yaah tesla aliiweka Sawa. Huyu Tesla mchawi
 
Nakubaliana na wewe kaka. Tesla hakuwa binadamu wa kawaida kabisa. Licha ya yeye mwenyew kujisema. Mambo karibu yote yanayotumika aliyaacha yeye
 
taifa la israel!!
 
 
Baada ya kusoma huu uzi, nimekaa na kujiuliza "hivi mimi nimekuja kuongeza idadi ya watu hapa duniani kumbe"!!?
Ni vema na inapendeza kujitathmini, ila haifai kujizarau kwa kuwa kila kiumbe kimeletwa ama kimekuja kwa sababu yake kwa iyo kina maana kuwepo ulimwenguni, kwani katika stori yote hii inayomuhusu huyu nguli ulishasikia kuwa ana mtoto au anasifika kwa ucha mungu. Kwa iyo kila kiumbe kina umuhimu wake kuwepo duniani
 
mkuu katika ubora wako,
 
mzee wa the venus project amefariki mwaka huu R.I.P Jacque Fresco
 
Duuh, hawa wahenga walikuwa kivitendo zaidi, big up sana. Huyu jamaa niliwahi kumsikia kwa mara ya kwanza kupitia rafiki yangu, mwaka 2007 tukiwa CHUO kikuu Dar.

Rafik yangu Aliniambia kuwa Tesla ni SI unit ktk somo la fizikia, na kuwa ni moja ya wanasayansi vichwa sana kuwahi kutokea.

Sikuwahi kupata historia zaidi kuhusu huyu jamaaa, imekaa powa yani. Ahsante Sana Mkuu
 
Daah..Kusoma kwamba Einstein anamchukulia Tesla km role modeL,nikaona hyu Jamaa si wa KAWAIDA KABISA,sema Dunia haiko fair kabisah,Ktk Issues za current bwn edison thomas nDio kapewa priority sn kuliko ht Hyu Jembe,masuala ya Nationalism hayo si ajabu ht maabara yke ni mipango ilisukwa watu wakai"Restisha in peace.,Hii ndio s'bu kuna upotoshaji mwingi sanaa ktk historia ya mwafrika kwakua mzungu nDio katawala ktk Elimu,we Historia ya mtu mweusi inaandikwa na mtu mweupe??..All in all he didnt Die,He passeD away n kaacha vitu vitakavyo tumika vizazi na Vizazi,ila kulala saa 4 kwa siku!??The man was a REAL DEAL,REAL DEAL.
 
Hivi kwanini watu wa aina hii wengi huwa masikini, yani pamoja na IQ zao kuwa kubwa zikiambatana na ubunifu lakini utakuta history nyingi sana zinaonyesha maisha yao huwa yakawaida sana.
 
taifa la israel!!
Watu wengi tunaongelea Israel na nguvu zake bila kutaka kutambua ukweli kwamba, wamepewa talanta ambazo hawajafukia chini. Babu Abrahamu alipewa ahadi baada ya kuthubutu kumtoa Isaka kama sadaka....Jacob aliwazaa watoto akiwemo Yusuph...baada ya njaa kali walienda Misri ambako walifundishwa kwa bakora na maguvu kufanya kazi na kujifunza ustaarabu....hata hawa waisraeli wa leo, ni mateso na kunyanyaswa ndio kumewapa ukumbusho kwamba nchi ya maziwa na asali maana yake kujituma kwa hali na mali kuhakikisha mnaweza kujimudu na kusonga mbele.

Sisi wengine tunapenda kusimulia baraka za Israel bila kujiuliza kama na sisi hatujabarikiwa. Tunafikiri ni kitu automatic
 
Watu wote muhimu,lakini kuna watu wamekuwa muhimu zaidi kwa sababu uwepo wao hapa duniani umeleta matokeo chanya kwa asilimia mia moja.
 
Shikamoo mkuu napenda sana kufuatilia mambo hayo hafu waonekana unajua mengi and you sound like Jf member called Juve2012..
Mkuu naomba ufunguke yote kuhusu huyu Da Vinci maana simuelewagi kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…