Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Ili upate hela lazima uwe mjanja ila ukijilegeza unashughulikiwaMkuu chukua hiyo milioni moja irisk kwenye kukopesha kinyamera kwenye kila ten weka riba ya 2000 kwa mwezi alafu fanya kwa mwaka uone itaingiza kiasi gani.
Nb: The higher the risk the higher the return and vice versa
Wizara ya fedhaSawa iko chini ya wizara gani tasisi gani? Kua ya serikali haotoshi.
Kila mwezi kwa mwaka mzima ni hiyoUna maanisha kila mwaka bila shaka. Ina flactuate 9 to 12% kwa mwaka
Uliyoyaandika hapo juu ni sahihi ila kuna sehem nakurekebisha au kuongezeaUTT n mfuko wa hisa
✅Unatoa riba ya 12% kwa mwaka
✅kutoa pesa inachukua siku 3
✅Unaweza chukua pesa zako muda wowote
✅Riba yake haibadiliki kama mifuko mingine
✅Haina makato ya kila mwezi kama benk
✅Kutoa hela ni bure kabisa na kuweka ni bure
✅Unaweza kuuza na kununua vipande muda wote
🟥HESABU YA MILION 1
Ukiweka milion 1 utapata kwa mwezi
12% kwa mwaka kwa mwezi ni 1%
1,000,000 x 1%= 100,000
Hivo ukiwekeza milion 1 kwa mwezi utajipatia 10000
KWA MWAKA
12% X 1,000,000= 120,000
Kwa mwaka utapata lak na 20
🟥HESABU YA MILION 10
10,000,000* 1%= 100,000 kwa mwezi
10,000,000*12= 1,200,000kwa mwaka
Kwa kifupi ukiweka milion kumi unalipwa laki kila mwezi ni sawa na mshahara wa mtu sehemu fulani
Kaka hata anayechukua kila mwez kunaNaam mkuu,Compound interest ina maajabu makubwa sana..kwa kiswahili hujulikana kama faida jumuishi.
ikiwa na maana kuwa Mtaji unapo tengeneza faida kwa mwezi wa kwanza..ile faida itarudi kwenye mtaji na kuwa mtaji Anzia..ule mtaji anzia utatengeneza tena faida kwa mwezi unao fuata,ile faida itaungana na mtaji na kuwa Mtaji anzia tena,,hvyo faida itakuwa inabadilika kwa kukua kila mwezi...hivyo ukiachq kwa wastani wa miaka kumi utakuwa mbali mnoo..
Tofauti na anaye chukua faida kila mwezi,mtaji haukui na kile anacho kichukua kinabakia constant.
Yeah uko sahihi mkuu.Kaka hata anayechukua kila mwez kuna
Vi point vya % vinabaki. kukuza
Mtaji Kwenye mfuko wa kila
Mwez naweza kuthibitisha hili mtaji kuna mtu anachukua 900k kila
Mwez na kwa kipindi cha 3month alichoweka mtaji umekuwa kwa 400k mtaji wake ni 107M
Binafsi nmetupia mzigo huko,nliopt kuto kuchukua gawio. Lengo niendelee kutunisha mtaji.Kaka hata anayechukua kila mwez kuna
Vi point vya % vinabaki. kukuza
Mtaji Kwenye mfuko wa kila
Mwez naweza kuthibitisha hili mtaji kuna mtu anachukua 900k kila
Mwez na kwa kipindi cha 3month alichoweka mtaji umekuwa kwa 400k mtaji wake ni 107M
hii bro umeifafanua sana.Uliyoyaandika hapo juu ni sahihi ila kuna sehem nakurekebisha au kuongezea
Yes Riba ndio wastan wake huo kati ya 10 % hadi 12% na hii ni kwa kifuko yote waliyonayo ndan ya kupindi cha miaka 10 iliopita.. yaan maana yake kuna mwaka itapiga 10% na kuna mwaka itakwenda hadi 14% au 15% mfano mwaka jana kuna mifuko ilipiga 14% na kuna mifuko ilipiga 12% mwaka huu ile iliopiga 12 minginr imekwenda had 12.9% au 14% na ile iliopiga 14% imeshuka hadi 12%
So ili kuwa conservative we chukulia UTT inakupa 10%. Flat kila Mwaka.
Pili umeongelea kupata 1% kila mwez kwa maana ya kuigawa 12% ya mwaka.. kiuhalisia kama utajiunga na Bond au Jikimu utapata magawio ya kila mwez kwa bond na ya kila robo mwaka kwa Jikimu ILA HUPEWI 1% ya faida.. utapewa kati ya 0.7% hadi 0.86% maana yake kama umeweka miliona 10 kwa bond kila mwez utapata kati ya 80,000 hadi 90,000 na sio laki moja
Maana yake ni kuwa kwa mwaka mfuko unaweza kuwa umeingiza faida ya 12% ila wewe ukipiga hesabu ya magawio yako utaona umepokea around 8% hadi 9% hi ni sababu % zilizobaki zinakava vitu vifuatavyo
1. Gharama za uendeshaji. Maana yake kuna vipoint vya silimia ya faida UTT wanachukua kama service charges
2. Kuna vipoint vya asilimia ya faida
Vinarudishwa kwenye mtaji wako kukuza mtaji. Ndio maana ukiweka 10m pamoja na kuchukua faida kila
Mwez ila Mtaji wako bado unaongezeka utajikuta mwisho wa mwaka uko na 10M na laki kadhaa.. plus ile faida uliyokuwa unabeba kila mwezi
Kwa sasa ili upate faida ya 100k kila mwez we weka 12M na sio 10M
yote kwa yote mifuko ya aina ya UTT ni moja ya uwekezaji bora zaidi mtu anaweza akafanya.. kama taifa tumechelewa kuanzisha hii mifuko sasa hivi ndio inachipukia mingine ila ni mifuko ambayo ingewainua maskin wengi
by the way kwenye maisha tuna trade mda wetu kwa fedha.. mtu atasema kwa 10m ninaweza kuanzisha biashara ya kunipa 100k had 300k kwa siku ila utaona ameangalia mtaji wa pesa tu hajaangalia mtaji wa mda.
Kwa mfanyakazi mwenye ajira anayetafuta mrija wa kipato cha pili ..asikimbilie kuwekeza kwenye biashara itakayompa kipato sawa na mshahara anaopata akifanya hivyo ni lazima akubali upande mmoja uathirike mda ni ulele.. bora awekeze kwenye uwekezaji wa muda mrefu target ziwe 20 years baadae awe na uwezo wa kuishi kutokana na gawio.. sehemu ya mshahara itupe UTT afanye kama
Fixed deposit italinda thaman ya pesa yame
Kwaito mfano Liquid Utt haina ya kuchukua kila mwrziUliyoyaandika hapo juu ni sahihi ila kuna sehem nakurekebisha au kuongezea

Em tupeni madini zaidi katika hiliKuna kias kinabaki kwenye mtqji wako mkuu..angalia vizuri. Hawaingizi yote asilimia 12,lakini kuna amount inabakia kwenye capital yako ya uwekezaji
Hapana Kwa UTT ni mifuko miwili tu ndio inatoa dividends, Jikimu inakupa kila baada ya miez 3 lakini kama kumbukumbu zangu Iko sawa kigezo lazima uwe juu ya 5m na Bond inakupa kila mwez kwa same the same kigezo pia kwa bond chini ya 5m nafikiri utakuwa unapokea Bi-annualKwaito mfano Liquid Utt haina ya kuchukua kila mwrzi
Mil 5 utapewa kila baada ya miezi 6 mil 10 kila mweziHapana Kwa UTT ni mifuko miwili tu ndio inatoa dividends, Jikimu inakupa kila baada ya miez 3 lakini kama kumbukumbu zangu Iko sawa kigezo lazima uwe juu ya 5m na Bond inakupa kila mwez kwa same the same kigezo pia kwa bond chini ya 5m nafikiri utakuwa unapokea Bi-annual
Mifuko Iliobaki Ni ya kukuza mtaji 100%
liquid fund siku3Kutoa ndani ya siku 3 hadi 10 kulingana na aina ya mfuko
mbona kama nimeshajichanganya😌Hapana Kwa UTT ni mifuko miwili tu ndio inatoa dividends, Jikimu inakupa kila baada ya miez 3 lakini kama kumbukumbu zangu Iko sawa kigezo lazima uwe juu ya 5m na Bond inakupa kila mwez kwa same the same kigezo pia kwa bond chini ya 5m nafikiri utakuwa unapokea Bi-annual
Mifuko Iliobaki Ni ya kukuza mtaji 100%
hizo hati fungani za BOT ndo zikojeKuna mifuko tofauti na performance yake inatofautiana kulingana na aina ya mfuko … asilimia 12 sio lazima inaweza fika hadi 14, inategemea na sio mifuko yote inawekeza kwenye hisa kwa kiasi kikubwa mingine imejidhatiti kwenye hati fungani za BoT
Em tupeni madini zaidi katika hili