Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Hata ungekuwa ni wewe ndio msemaji wa serikali, ungekubali nchi yako imeingiza silaha?Hakuna mwenye majibu sahihi humu kwenye hayo maswali
Ikulu pekee ndiyo yenye majibu, na bahati mbaya msemaji wa Serikali huwa hana kawaida ya kujibu maswali magumu π
Hizo ni sirikali π€ͺHata ungekuwa ni wewe ndio msemaji wa serikali, ungekubali nchi yako imeingiza silaha?
Rambirambi tunampa nani?Kama ni kweli je, huenda kifo chake kinahusiana na waliompa tenda ili kufuta ushahidi wa moja kwamoja?
Vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi ya Tanzania vina mengi ya kujitafakari.
Kosa lilianzia pale walipo ruhusu bandari yetu ichukuliwe mbele ya macho yao kizembe kabisa.
Samia wa kizimkaziRambirambi tunampa nani?
Rambirambi tunampa naniKama ni kweli je, huenda kifo chake kinahusiana na waliompa tenda ili kufuta ushahidi wa moja kwamoja?
Vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi ya Tanzania vina mengi ya kujitafakari.
Kosa lilianzia pale walipo ruhusu bandari yetu ichukuliwe mbele ya macho yao kizembe kabisa.
Bado yupo EdaSamia wa kizimkazi
Wewe tulia watu waokote nukta butu nyie okoteni nukta nundu kama ilivyo kawaida yenu.Sio Bashite Wala Abduli au Mu 7 tena?
Chadomo mnatangatanga sana
Soma kwa utuo.Sio Bashite Wala Abduli au Mu 7 tena?
Chadomo mnatangatanga sana
Basi mambo ndiyo hayoUkijidai unaweza kujibu maswali yote kwa ufasaha, jiandae kukutana na wasiojulikana
Ndiyo hivyo MkuuBasi mambo ndiyo hayo
AMENNdiyo hivyo Mkuu
Mungu atupe maisha marefu tujionee mwisho wa hayo
πππAMEN
Huna habari? Chivayo sahivi yuko sehemu anasomewa hukumu kabla ya kupelekwa jehanamu. Maana mbinguni hawezi kwenda katuuu.Mmmmm! Huyu jamaa amefariki lini? Basi dunia haina mbabe.
Una uhakika gan mkuu?Huna habari? Chivayo sahivi yuko sehemu anasomewa hukumu kabla ya kupelekwa jehanamu. Maana mbinguni hawezi kwenda katuuu.
ππππ