ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Jibu swali hao wote Kwa nyakati tofauti wametajwa na Chadomo,hayo ya Imani ya chama chako Utajua mwenyewe.Usisingizie Chadema, kuna watanzania wazalendo kuliko wewe, tena wana CCM.
Hao ulio wataja unawajua wewe, lakini imani na wajibu wa mwana CCM, (kama unaikumbuka) inasema, Nchi hii italindwa na kila mwananchi, kila mzalendo na hasa kila mwana CCM
Kama unawafahau si useme?Jibu swali hao wote Kwa nyakati tofauti wametajwa na Chadomo,hayo ya Imani ya chama chako Utajua mwenyewe.
Nani ni nani?
Niseme nini? Nimeuliza swali Chadema watuambie nani ni nani maana wote hao wanawataja Kwa nyakati tofauti.Kama unawafahau si useme?
Unajificha nini?
Ukweli hauhusiani na chama chochote kama umeiba umeiba, chama chako hakitabadili ukweli huo.
Kwa nini umewauliza Chadema, kwani wao wako customs?Niseme nini? Nimeuliza swali Chadema watuambie nani ni nani maana wote hao wanawataja Kwa nyakati tofauti.
Ukiniuliza Mimi nitakwambia kwa nini silaha ziingie kwani huoni Polisi was silaha siku zote na wanazitumia Kwa wahalifu?
Ndio wanatoa madai na wewe unashabikia.Kwa nini umewauliza Chadema, kwani wao wako customs?
Kuwa na IQ ya kukusaidia!
Wazee wa conspiracy theories, mada za kijiweni kwenu baada ya kukosa kazi za kufanya umezileta hadi ukuKama ni kweli je, huenda kifo chake kinahusiana na waliompa tenda ili kufuta ushahidi wa moja kwamoja?
Vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi ya Tanzania vina mengi ya kujitafakari.
Kosa lilianzia pale walipo ruhusu bandari yetu ichukuliwe mbele ya macho yao kizembe kabisa.
Punguza kucheka cheka ovyo basi kwenye posts zakoHuna habari? Chivayo sahivi yuko sehemu anasomewa hukumu kabla ya kupelekwa jehanamu. Maana mbinguni hawezi kwenda katuuu.
😂😂😂😂
YBWYBWazee wa conspiracy theories, mada za kijiweni kwenu baada ya kukosa kazi za kufanya umezileta hadi uku
Mkuu hakuna lifanyikalo gizani likashindwa kuwa hewani watu wana mpaka picha za contena na namba zake pia na liliingia na mali gani pamoja na gari ilioenda kulichukua na kwa mara ya kwanza zimepakuliwa wapiHakuna mwenye majibu sahihi humu kwenye hayo maswali
Ikulu pekee ndiyo yenye majibu, na bahati mbaya msemaji wa Serikali huwa hana kawaida ya kujibu maswali magumu 🙌
Tatizo lako ni kutaka facts ziwe colroured kwa msimamo na jicho lako.Ndio wanatoa madai na wewe unashabikia.
Hata bila hoja ya custom,ni lini Polisi walikosa silaha?
It makes a lot of sense!. Una jicho kali sana!.Nawaza nawaza na kuwazua!
The state kazini,mtajwa (aliepewa muda aandike katiba mpya akashupaza shingo)imekua too late kwake!wanayakata matawi yake ili iwe too easy to go for it!
Natarajia kuona washirika wake waaminifu huku kwetu nchi kavu watawafuata waliotangulia hivi karibuni,
Tusubiri tuone!
Duh!Mkuu hakuna lifanyikalo gizani likashindwa kuwa hewani watu wana mpaka picha za contena na namba zake pia na liliingia na mali gani pamoja na gari ilioenda kulichukua na kwa mara ya kwanza zimepakuliwa wapi
Jamaa fala sana huyo.Wewe kummk subiri zamu yako,adhabu ya kumteka polepole iko palepale.
Dogo kuna kitu unatafuta wewe? Sio buree.Punguza kucheka cheka ovyo basi kwenye posts zako
Wote hao walishirikianaSio Bashite Wala Abduli
Ndiyo maana mauaji yalikuwa makubwa, kumbe watu wana silaha mpya 🙌Mkuu hakuna lifanyikalo gizani likashindwa kuwa hewani watu wana mpaka picha za contena na namba zake pia na liliingia na mali gani pamoja na gari ilioenda kulichukua na kwa mara ya kwanza zimepakuliwa wapi
Acha kabisaa acha watoane maini kwa sasa ila ushahidi upo wa kutosha na ulishakusanywa na wazelendo wanasubiri mda ufike tutafuria ila kwa leo wacha iwe ni ndoto nakuhakikishia kabla hujazikwa utakuwa umeshuhudia vile Tanzania inaingia kwenye record ya kuwa nchi yenye uongozi bora tena huku walaghai wote wakijaa magerezani na kufilisiwa piaNdiyo maana mauaji yalikuwa makubwa, kumbe watu wana silaha mpya 🙌
Ningependa hayo mabadiriko yatokee nikiwa bado sijafa, maana ni matumaini yangu ya muda mrefuAcha kabisaa acha watoane maini kwa sasa ila ushahidi upo wa kutosha na ulishakusanywa na wazelendo wanasubiri mda ufike tutafuria ila kwa leo wacha iwe ni ndoto nakuhakikishia kabla hujazikwa utakuwa umeshuhudia vile Tanzania inaingia kwenye record ya kuwa nchi yenye uongozi bora tena huku walaghai wote wakijaa magerezani na kufilisiwa pia