Niliacha kwenda kanisani baada ya kuona makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha human rights, huku yakipinga ndoa za mitala

Maneno ya Mungu yanakua na maana pana Sana hebu niwekee Sawa baina ya haya maneno mawili "wafiraji" na "wenyekulawiti"

Baada hapo hebu nukuu ktk kitabu cha Waislamu jinsi Mungu wao anavyohamasisha vurugu na umwagaji WA damu
Kulawiti ni kumuingilia Mwanaume kinyume na maumbile bila ridhaa yake, ila ufiraji ni kumuingilia Mwanamke au Mwanaume kinyume na maumbile kwa ridhaa yake mwenyewe au kwa kumlaghai kwa vinywaji vyenye ulevi
 
Maneno ya Mungu yanakua na maana pana Sana hebu niwekee Sawa baina ya haya maneno mawili "wafiraji" na "wenyekulawiti"

Baada hapo hebu nukuu ktk kitabu cha Waislamu jinsi Mungu wao anavyohamasisha vurugu na umwagaji WA damu
Unfortunately mimi sio mjuvi wa kiswahili ila nina hakika vitendo vya ushoga vinafall kwenye category moja wapo kati ya hivyo.

Suala la kuweka reference zinazochochea umwagaji damu hakuna sababu ya kuquote popote kwa sababu hakuna anayebisha kuwa ni kweli.Anayesema sio kweli nitamtafutia reference akajifunze zaidi.
 
Kulawiti ni kumuingilia Mwanaume kinyume na maumbile bila ridhaa yake, ila ufiraji ni kumuingilia Mwanamke au Mwanaume kinyume na maumbile kwa ridhaa yake mwenyewe au kwa kumlaghai kwa vinywaji vyenye ulevi
Umefafanua vyema vilivyo. [emoji122][emoji122]
 
Wewe ni mmoja wa bendera fata upepo.
Muongozo mkuu wa waislamu ni Quran na Sunna.Ushoga pamoja na kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile katika Quran ndio dhambi kubwa kuliko zote katika kipengele cha zinaa.
Utahangaika sana kutafuta reference ambayo haipo kutetea hiyo hoja yako,eti uislamu unahimiza ugaidi?Nenda katafute kwenye Quran na Sunna.

Ni kweli waarabu kipindi wanasambaza uislamu walipigana vita(jihad) kwani wale waabudu sanamu wasingeikubali dini ya MWENYEZI MUNGU bila kwa ncha ya upanga.Currently hakuna Jihad ila wanafalsafa wa kiarabu na hao magaidi wanavisasi na nchi za kimagharibi kwa kuona hawafai kuishi kwa kua hawafuati misingi ya kiislamu kama vile wanawake kuvaa nguo ndefu,kutokunywa pombe,kutozini,n.k

Hivyo kaa ukijua ugaidi haujahimizwa na Mwenyezi Mungu katika uislamu bali ni fikra na mitazamo ya wanadamu wenyewe yaani hao magaidi.Jua kua magaidi sio waislamu kwa sababu katika Quran MWENYEZI MUNGU amesema;ukienda katika nyumba za ibada za wanaowaabudu wengine isipokua Mimi basi waacheni na wala usiwadhuru.Hivyo kujilipua misikitini au makanisani ni kinyume na maagizo ya MWENYEZI MUNGU hivyo mtu anatoka katika uislamu.

Kitu cha kuchekesha sasa 😂😂 utawakuta wasio waislamu wanakuambia uislamu sio dini ya MWENYEZI MUNGU kisa na mkasa eti uislamu ulisambazwa kwa vita na mauaji.Nataka mtu ajibu swali hili ;hivi katika agano la kale MWENYEZI MUNGU alikua anatumia mbinu gani kufanya watu wamuabudu Yeye?Kumbuka Musa alipowaua wana wa Israel baada ya kumuabudu ndama chini ya mlima Sinai.Najua wakristo mtaniletea agano jipya mkisema currently tunaishi under the mercy na eti katika agano la kale Mungu alikua anahasira na hivyo akaona watu hawawez kufata sheria zake akamleta Yesu.Sasa ninyi mnasema Mungu ni Alpha na Omega kwa hiyo mpaka anatoa sheria 10(amri) hakujua mtashindwa)kwa hiyo Mungu alikosea?ALLAH is perfect Sasa wewe fanya uzinzi utegemee Yesu akufutie dhambi zako eti mnasema yeye Mungu.

NAKAZIA:Mungu agano la kale alishasema kila mtu atabeba dhambi zake na Yesu alisema anabeba dhambi zenu.Mungu akosei na wakati anaweka amri alijua Kuna watu watazifata tuu hata wakiwa wachache na hao ndio watakaoingia mbinguni.Sasa ninyi wakristo mnaomfuata Yesu Kama Mungu endeleni kuzini,kunywa pombe,kufanya ushoga,kuingilia wanawake kinyume na maumbile,wizi,uongo n.k kwa sababu Yesu alishafuta dhambi zenu hivyo ninyi ni wambinguni na kukaa sehemu moja na Mungu.Na mwenye akili achague cha kufuata,kama wewe unaamini uzinzi(ushoga,kulaiti,kubaka n.k) bado ni dhambi,kuua bado ni dhambi,uongo bado ni dhambi n.k basi unaamini Yesu hakufa kwa ondoleo la dhambi zako!!!
 
Vita ya wazungu kwa watu weusi ni ya mda mrefu sana, toka enzi za misri huko.. hii ni generational beef after generational beef. Msidanganywe kua vita ilianza juzi tu hapa. Ni mda sana. Na wazungu waliwatumia wasaliti wa kiafrika kushinda vita. Mzungu kama mzungu hajawahi kishinda vita dhidi ya muafrika peke yake

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Umeandika vizuri ila punguza mhemko mdogo angu, kuhusu mambo ya uzinzi, uasherati, mapenzi kinyume na maumbile na ushoga, wizi, uongo nk, waislamu ndo wanaongoza ktk hilo wala hakuna ubishi.

Sijataka kugusia ktk Quran na sunnah, wala bible ktk agano zote mbili. Ko usiniletee hivyo. Nimezungumzia wanadamu hapa waislam ndo wanaongoza kwa hayo mambo. Na ushahidi uko wazi kweupeee.
 
Basi dada tupe sababu kwa nini waislamu wanaongoza kwa vitendo hivyo kama na wewe haujaongea kwa mhemko.Utafiti gani umefanya?Kwa sababu hata Mimi ninaweza kusema wakristo wanaongoza kwa vitendo vibaya.Aya bhasi toa ushaidi vilevile tumia takwimu kama inawezekana ili tulinganishe.
 
Unajuaje kama na wao ndiyo michezo yao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said. Mazungu yabhubi sana
 
Mimi nimepata kanyumba ndogo kukusupport.
 
Ebu shusha maushahid dadaangu nakukubali

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Jibu lako limenifahamisha kuwa huifahamu dini yako vizuri.Nimependa sana ulivyohamaki.Swali langu ni kuwa Je nikikuletea reference kutoka kwenye Quran na hadithi utakuwa tayari kukiri kuwa Uislam unachochea ugaidi?Au nisipoteze muda wangu?
 
Jibu lako limenifahamisha kuwa huifahamu dini yako vizuri.Nimependa sana ulivyohamaki.Swali langu ni kuwa Je nikikuletea reference kutoka kwenye Quran na hadithi utakuwa tayari kukiri kuwa Uislam unachochea ugaidi?Au nisipoteze muda wangu?
Lete reference
 
Buji buji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…