Wewe ni mmoja wa bendera fata upepo.
Muongozo mkuu wa waislamu ni Quran na Sunna.Ushoga pamoja na kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile katika Quran ndio dhambi kubwa kuliko zote katika kipengele cha zinaa.
Utahangaika sana kutafuta reference ambayo haipo kutetea hiyo hoja yako,eti uislamu unahimiza ugaidi?Nenda katafute kwenye Quran na Sunna.
Ni kweli waarabu kipindi wanasambaza uislamu walipigana vita(jihad) kwani wale waabudu sanamu wasingeikubali dini ya MWENYEZI MUNGU bila kwa ncha ya upanga.Currently hakuna Jihad ili wanafalsafa wa kiarabu na hao magaidi wanavisasi na nchi za kimagharibi kwa kuona hawafai kuishi kwa kua hawafuati misingi ya kiislamu kama vile wanawake kuvaa nguo ndefu,kutokunywa pombe,kutozini,n.k
Hivyo kaa ukijua ugaidi haujahimizwa na Mwanyezi Mungu katika uislamu bali ni fikra na mitazamo ya wanadamu wenyewe yaani hao magaidi.Jua kua magaidi sio waislamu kwa sababu katika Quran MWENYEZI MUNGU amesema;ukienda katika nyumba za ibada za wanaowaabudu wengine isipokua Mimi basi waacheni na wala usiwadhuru.Hivyo kujilipua misikitini au makanisani ni kinyume na maagizo ya MWENYEZI MUNGU hivyo mtu anatoka katika uislamu.
Kitu cha kuchekesha sasa [emoji23][emoji23] utawakuta wasio waislamu wanakuambia uislamu sio dini ya MWENYEZI MUNGU kisa na mkasa eti uislamu ulisambazwa kwa vita na mauaji.Nataka mtu ajibu swali hili ;hivi katika agano la kale MWENYEZI MUNGU alikua anatumia mbinu gani kufanya watu wamuabudu Yeye?Kumbuka Musa alipowaua wana wa Israel baada ya kumuabudu ndama chini ya mlima Sinai.Najua wakristo mtaniletea agano jipya mkisema currently tunaishi under the mercy na eti katika agano la kale Mungu alikua anahasira na hivyo akaona watu hawawez kufata sheria zake akamleta Yesu.Sasa ninyi mnasema Mungu ni Alpha na Omega kwa hiyo mpaka anatoa sheria 10(amri) hakujua mtashindwa)kwa hiyo Mungu alikosea?ALLAH is perfect Sasa wewe fanya uzinzi utegemee Yesu akufutie dhambi zako eti mnasema yeye Mungu.
NAKAZIA:Mungu agano la kale alishasema kila mtu atabeba dhambi zake na Yesu alisema anabeba dhambi zenu.Mungu akosei na wakati anaweka amri alijua Kuna watu watazifata tuu hata wakiwa wachache na hao ndio watakaoingia mbinguni.Sasa ninyi wakristo mnaomfuata Yesu Kama Mungu endeleni kuzini,kunywa pombe,kufanya ushoga,kuingilia wanawake kinyume na maumbile,wizi,uongo n.k kwa sababu Yesu alishafuta dhambi zenu hivyo ninyi ni wambinguni na kukaa sehemu moja na Mungu.Na mwenye akili achague cha kufuata,kama wewe unaamini uzinzi(ushoga,kulaiti,kubaka n.k) bado ni dhambi,kuua bado ni dhambi,uongo bado ni dhambi n.k basi unaamini Yesu akufa kwa ondoleo la dhambi zako!!!