Niliacha kwenda kanisani baada ya kuona makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha human rights, huku yakipinga ndoa za mitala

Dah we muda wote unanukia nya nya tu[emoji2307]
 
Mwenye kuelewa na aelewe ila mwenye mzuka wa kuendelea kuchati naye ruksa kuendelea.
 
Tangu mwanzo ulikuwa unasali kwenye dini iliyoanzishwa ili tu Mfalme Henry VIII aweze kuoa mke mwingine kwa ndoa baada ya mke wa kwanza kutozaa mtoto wa kiume. Papa alitishia kumfungia sakramenti na Ukatoliki ukawa ni sehemu ya upinzani kwake. Yeye pamoja na uzao wake uliotokana na Anglikana ukipigana vikali na Ukatoliki na mpaka ikasimama kuwa dini kuu ya nchi.

Bila hivyo the Church of England isingekuwepo. Then wakaileta Tanzania kutuibia. In short dini zote zina makandokando mengi
 
Ngoja zitto na fatuma karume wakusikie utajua hujui

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Unataka nikue mara ngapi? Au unataka uthibitisho gani kujua kuwa nimekua?

Unapotoa hoja acha kuleta personal attacks, unadhihirisha ufinyu wa fikra zako. Poleeeeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu alisha toa mwongonzo so yakitukia msishangae

Warumi 1:26
Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;
Warumi 1:27
wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
Warumi 1:28
Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
Warumi 1:29
Wamejawa na udhalimu wa kila namna, uovu na tamaa na ubaya; wamejawa na husuda, na uuaji, na fitina, na hadaa; watu wa nia mbaya, wenye kusengenya,
 
Halafu mkuu huelewi maana ya "Ndoa!"
Ndoa ni kati ya Mwanaume na Mwanamke tu, si zaidi ya hapo wala pungufu!
Hao wanao pumuliana watamnyoshe kwa jina jingine!
Hivi mkuu huku uswazi mchezo huo kwa nini unaitwa mchezo wa kiisilamu?
Tembelea magereza wafungwa wengi ni kutoka tawi hilo la imani, hata waharibifu wengi mtaani ni kutoka huko. Rejea wimbo wa Mambo ya Pwani wa Solo Thang
 
Wasitupangie maisha
 
Mafundisho ya Ukristo yanapinga ushoga , ushoga ni maagizo ya binadamu na sio ya Kimungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…