Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu mkuu huelewi maana ya "Ndoa!"Muoane midume mitupu ilhali wanawake wamejaa tele
Dah we muda wote unanukia nya nya tu[emoji2307][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] harufu ya nn? Kupenda kwangu haimaanishi wote wapende, au kutopenda kwako haimaanishi wote wasipende.
Kila mtu afanye vile atakavyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi unaumia? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
walahi bilahi....Apia
Mwenye kuelewa na aelewe ila mwenye mzuka wa kuendelea kuchati naye ruksa kuendelea.Mbona Yesu Alikwisha Tufundishwe kwamba hao ni magugu!
Na kutuelekeza namna ya kuyashughulikia!
Angesema Tufanye kama ww au tuwageuze kibla mbona pangechimbika!
Yesu Anakupa Jibu
[emoji116][emoji116]
Mathayo 13
25 lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake.
26 Baadaye majani ya ngano yalipomea na kuzaa, yakaonekana na magugu.
27 Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, Bwana, hukupanda mbegu njema katika konde lako? Limepata wapi basi magugu?
28 Akawaambia, Adui ndiye aliyetenda hivi. Watumwa wakamwambia, Basi, wataka twende tukayakusanye?
29 Akasema, La; msije mkakusanya magugu, na kuzing'oa ngano pamoja nayo.
30 Viacheni vyote vikue hata wakati wa mavuno; na wakati wa mavuno nitawaambia wavunao, Yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita mkayachome; bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu.
Na uovu unakuwa kwa kasi ya ajabuUlaya uislamu unakuwa kwa kasi mno kuliko dini nyingine yoyote
Ngoja zitto na fatuma karume wakusikie utajua hujuiWazungu waliotuletea dini, huko kwao makanisa yanageuzwa kuwa bar.
Wengi wameacha kusali, hawaendi tena makanisani, ule moto wa injili uliokuwa ukiwaka ndani yao sasa umepoa kabisa, na jivu lake limekuwa la baridi kabisa.
Huku kwetu Tanzania, wengi hawaendi kanisani labda kwasababu ya ubize na sababu nyingine.
Nikiwa mu Anglikana, nilisikitika kwa kitendo cha kanisa langu la Uingereza kufungisha ndoa mashoga, huku wakikataa mtu kuwa na wake wengi, eti ni dhambi.
Wanatetea ndoa za mashoga na kuziita eti ni kielelezo cha haki za binadamu.
Nikaona tusikwazane, tusikerane.
Unataka nikue mara ngapi? Au unataka uthibitisho gani kujua kuwa nimekua?wewe acha utoto, hata mimi nilipokuwa mtoto asilimia 100% nilijua mwanamke anazalia matakoni.
Nilikuja kugundua ukweli baada ya kuingia darasa la sita kwenye topic ya mfumo wa uzalishaji (reproduction system).
Wewe ni utoto unakusumbua, ukikua ndo utaelewa vzr.
Waingereza waliiteka sana Dodoma na Anglican Church.Hivi Jobh anasali wapi? Kule Mirembe Anglikana imetamalaki
Eeeeh tena ile ya kuvutia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah we muda wote unanukia nya nya tu[emoji2307]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waingereza waliiteka sana Dodoma na Anglican Church.
Watetezi wa haki za 💩💩💩Ngoja zitto na fatuma karume wakusikie utajua hujui
Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
Tembelea magereza wafungwa wengi ni kutoka tawi hilo la imani, hata waharibifu wengi mtaani ni kutoka huko. Rejea wimbo wa Mambo ya Pwani wa Solo ThangHalafu mkuu huelewi maana ya "Ndoa!"
Ndoa ni kati ya Mwanaume na Mwanamke tu, si zaidi ya hapo wala pungufu!
Hao wanao pumuliana watamnyoshe kwa jina jingine!
Hivi mkuu huku uswazi mchezo huo kwa nini unaitwa mchezo wa kiisilamu?
Wasitupangie maishaInafikirisha sana. Mpaka mwisho binafsi naona dini ni sehemu ya utamaduni wa pahala fulani, Kwanini wakatae ndoa za mitara ila wakubali ndoa za jinsia moja. Jibu rahisi kiutamaduni ubeberuni utamaduni wao ni mke na mume mmoja.
Ni lazima na sisi tukubali kuishi kwenye uhalisia wetu. Tuzingatie tamaduni zetu nzuri
Ni timu ya sokaUkristo si dini tumia akili yako vyema
Mafundisho ya Ukristo yanapinga ushoga , ushoga ni maagizo ya binadamu na sio ya KimunguYupo kiongozi alisema mkiona wazungu wananipigia makofi mjue nimewasaliti!.. tuliacha tamaduni zetu nakukimbilia tamaduni za hovyo,ilitakiwa tuboreshe vyakwetu. Hivi sasa tumeshikwa macho na hatuoni wapo wachache wameshafunguka macho naandika tena hata hizi dini ni utawala umbao umejichimbia kwa uzalimu fulani mtakuja kuyaona haya kwa kuchelewa hii sio nadharia.
Kweli. Lakini kwanini ushoga unakuwa promoted kwa gharama kubwa?Mafundisho ya Ukristo yanapinga ushoga , ushoga ni maagizo ya binadamu na sio ya Kimungu
SawaWaingereza waliiteka sana Dodoma na Anglican Church.