Niliacha kwenda kanisani baada ya kuona makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha human rights, huku yakipinga ndoa za mitala

Nini usawa na utofauti kati ya kanisa, hekalu na synagogue?
 
Nini usawa na utofauti kati ya kanisa, hekalu na synagogue?
 
Kudadeki
Yaani umemaliza kila kitu
Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga
Big up
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Huna hata unalolijua wee, bora ukae kimya tyuuh, aibu naona mie lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Choko dari, umeghadhibishwa? Na unajinasibu na 'kunya', maana harufu ile haiwabughudhi!
 
KIPI KIFANYIKE NIYO SWALI LA KUJIULIZA......HALAFU MBONA WAHINDI WAMETAWALIWAMIAKAZAII YA WAAFRIKA , MBONA WAO BADOWAPO NA TAMADUNI NA DINI ZAO? WHY SISI?
Unawajua wahindi kwa undani? Sidhani kama kuna jamii iliyosalimika! Huko uarabuni, walitawaliwa au kuingiliana vipi kidini na wazungu, mbona yapo pia?
 
Wazungu wengi hawana dini hata makanisani kwao wanajaa wazee tu hukuti vijana but ikifika xmas wote wanasherekea
 
Unawajua wahindi kwa undani? Sidhani kama kuna jamii iliyosalimika! Huko uarabuni, walitawaliwa au kuingiliana vipi kidini na wazungu, mbona yapo pia?
sijakuelewa mkuu, hebu fafanua hoja yako
 
Mkuu Silimu Uje kwenye Dini ya Haki ya MWENYEZI MUNGU mmoja asiye na mshirika na Tunawaamini mitume na manabii wote na kwamba mtume Muhammad ni mtume na mjumbe wa mwisho wa mwenyezi Mungu kwa Binadamu na viumbe wote na ulimwengu wote na tumewaamini Malaika zake wote na vitabu vyake vitukufu walivyokuja navyo mitume & manabii wake Torati-Nabii Musa ,Zaburi -Nabii Daud ,Injili -Nabii Isa (Yesu) ,Quran Tukufu -Nabii Muhammad Swallalahu walehyi wasalaam Karibu ktk Dini ya Uislam Yaani Amani na Unyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu Achana na imani za kutunga za kipagani .Asylam Alyekum Warahmatulahi Ta'ala wabarakaqtu
 
Angalia sehemu kwenye bible ambayo inaruhusu hilo kama hamna? acha kutafuta visingizio vya kuhalalisha kutokwenda kwako kanisani, Mi binafsi huwa siendi kanisani lakin point yako ni weak mno
 
Angalia sehemu kwenye bible ambayo inaruhusu hilo kama hamna? acha kutafuta visingizio vya kuhalalisha kutokwenda kwako kanisani, Mi binafsi huwa siendi kanisani lakin point yako ni weak mno
Hakuna kitabu cha Biblia ila kipo cha injili ambacho ndicho yesu alipewa ,Biblia ni nakala zilizochakatwa na wazungu kwa maslahi yao Binafsi fungua macho na moyo Uuone ukweli na Haki
 
Jina lako lenyewe linasadifu unavyochokonolewa, utaongea lipi la maana?
 
Angalia sehemu kwenye bible ambayo inaruhusu hilo kama hamna? acha kutafuta visingizio vya kuhalalisha kutokwenda kwako kanisani, Mi binafsi huwa siendi kanisani lakin point yako ni weak mno
Amri ya ngapi inatosema ni lazima uende kanisani?

Je Mungu anapatikana kanisani?
 
Huyo jamaa nae ni shoga, Kuna post alisema hilo na anadai eti wateja wake wengi Ni waislamu. Japo hakuweka uthibisho. Let him
 
Maneno ya Mungu yanakua na maana pana Sana hebu niwekee Sawa baina ya haya maneno mawili "wafiraji" na "wenyekulawiti"

Baada hapo hebu nukuu ktk kitabu cha Waislamu jinsi Mungu wao anavyohamasisha vurugu na umwagaji WA damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…