Ngoja nikuweke sawa.Ukristu muongozo wake ni Biblia na hakuna hata sehemu moja inayoruhusu au kuchochea ushoga in fact kuna makatazo rasmi kabisa yameainishwa mule
1 Wakorintho 6:9-10
[9]Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
[10]wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.
Sasa nije upande wenu ndugu zangu mnaomwaga damu za watu usiku na mchana kwa kisingizio cha kumcha Mungu.Dini kuruhusu mauaji ya kujilipua na kuchinjana we unaona ni sawa? Mnanishangaza mnapoona ushoga ni dhambi kubwa kuliko ukatili mnaoufanya kwa jina la dini