Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Tafuta mwalimu au upo pande zipi nikuelekezeHapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta mwalimu au upo pande zipi nikuelekezeHapana
Msasani mkuuTafuta mwalimu au upo pande zipi nikuelekeze
Yesu alipewa kitabu ?
Tupe source ya taarifa zako .
N:B Source isiwe kitabu kilichokuja miaka 600 baada ya Yesu
Lakin mimi ni basha mzuri sana kwa watu kama wewe tembea kenya uliza maana ya jina hiloJina lako lenyewe linasadifu unavyochokonolewa, utaongea lipi la maana?
Comment bora mno kwa mwaka huu!Wewe muislamu, Mimi mkristo ni imani mbili tofauti. Tushirikiane ktk kutenda mema, mengine tuzidi kujifunza.
Miafrika ni mipumbavu haina utamaduni. Kila asemalo mzungu ni kizuri kwa MwafrikaYani kitu ambacho kipo dunia nzima inakuaje unasema kiliundwa kwa ajiri ya waafrika tu?
Ndoa yao imejaa maviWee ndo wasema, wenzio wako huko wanaishi ktk ndoa yao.
Unateseka ukiwaa wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]