Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Kama yule ndugu yake yulee😂😂😂Walimuona msukuma ndiomana wakampa hiyo bill 😹😹😹
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yule ndugu yake yulee😂😂😂Walimuona msukuma ndiomana wakampa hiyo bill 😹😹😹
KiujwelHela hata kama unayo ni vema ukawa umeridhika na kile unachoenda kula.
Kiukweli sikuridhika na hiyo chai, yaani hovyo tu!Hela hata kama unayo ni vema ukawa umeridhika na kile unachoenda kula.
Hutaki amani kabisaaa 😹😹😹Kama yule ndugu yake yulee😂😂😂
Maeneo kama hayo tunaenda na familia tumeshakula. Kwenda kupunga upepo tu na elfu 30 mfukoni ya kununulia Icecream ya bakhresa.Hii ilinitokea ledger plaza kule bahari beach. Breakfast ya tuvitu vitu tu halafu sasa bei... Sema sikomi kwenda huwa kuna mazingira mazuri ya kupunguza stress ila sithubutu kwenda na nyomi hata mara moja.
Nashukuru Xmas imeisha uraiani,sasa hatihati hapo new year😂Hutaki amani kabisaaa 😹😹😹
Hiyo tena sio starehe yakuanza kuuliza bei....wee kama unataka kwenda enjoy unajipima na eneonu alotaka kwenda.Kitu cha kwanza ukifika mahali , omba menu au kama hamna uliza bei kwa wahudumu !
Yaan mimi bora mnione bahiri ila ni muhimu sana !!
Unaweza umbuka vibaya sana !
Mwenzio mwaka jana tarehe km hizi nilikuwa lockup 😹😹😹Nashukuru Xmas imeisha uraiani,sasa hatihati hapo new year😂
🤣🤣🤣🤣Nikutafutie wa kuanza nae?Mwenzio mwaka jana tarehe km hizi nilikuwa lockup 😹😹😹
Hii nipo uraiani yani sijui naonaje kama kuna kitu kimemiss sina raha kabisaa.!! 🤣
😘😘😘twende zetu Johari keshoHiyo tena sio starehe yakuanza kuuliza bei....wee kama unataka kwenda enjoy unajipima na eneonu alotaka kwenda.
Wee ukifika una oda tuu unajuanhapa kuku hawezi zidi 50k.
Leo ukinda zako pale rotana sii unakuwa na million mfukoni unajua kabosa ata nile nini haiwezi zidi million
Harafu ukirudi urudi nyumbani na awazo?Hiyo tena sio starehe yakuanza kuuliza bei....wee kama unataka kwenda enjoy unajipima na eneonu alotaka kwenda.
Wee ukifika una oda tuu unajuanhapa kuku hawezi zidi 50k.
Leo ukinda zako pale rotana sii unakuwa na million mfukoni unajua kabosa ata nile nini haiwezi zidi million
Usijali hili limeisha. Nina ka laki 5 kangu hapa kanatutosha kula chips kuku za rotana😘😘😘twende zetu Johari kesho
Na change inabakiUsijali hili limeisha. Nina ka laki 5 kangu hapa kanatutosha kula chips kuku za rotana
😹😹😹🤣🤣🤣🤣Nikutafutie wa kuanza nae?
Upige na leggings na crop top ninyegeke vizuri zaidiNa change inabaki
Kumekucha we na nyegeziUpige na leggings na crop top ninyegeke vizuri zaidi
Labella kaniambia na wewe eti nyegezi ni karibuKumekucha we na nyegezi
🤣🤣🤣hutaki kuvunja belaire na hennessy?Basi tumtafute mwafula,mbona kapoa sana kwema?😂😂😂😹😹😹
Najua unakotaka kunipambanisha nako, hiyo meza ina vinywaji vya gharama sigusi 🤣