Niliagiza chakula, ilivyokuja bili nusura nikimbie niwaache watoto. Umewahi kukumbana na fedheha hii?

Hii ilinitokea ledger plaza kule bahari beach. Breakfast ya tuvitu vitu tu halafu sasa bei... Sema sikomi kwenda huwa kuna mazingira mazuri ya kupunguza stress ila sithubutu kwenda na nyomi hata mara moja.
Maeneo kama hayo tunaenda na familia tumeshakula. Kwenda kupunga upepo tu na elfu 30 mfukoni ya kununulia Icecream ya bakhresa.

Watoto wanafurahi jioni mnageuza.
 
Kitu cha kwanza ukifika mahali , omba menu au kama hamna uliza bei kwa wahudumu !
Yaan mimi bora mnione bahiri ila ni muhimu sana !!
Unaweza umbuka vibaya sana !
Hiyo tena sio starehe yakuanza kuuliza bei....wee kama unataka kwenda enjoy unajipima na eneonu alotaka kwenda.
Wee ukifika una oda tuu unajuanhapa kuku hawezi zidi 50k.

Leo ukinda zako pale rotana sii unakuwa na million mfukoni unajua kabosa ata nile nini haiwezi zidi million
 
😘😘😘twende zetu Johari kesho
 
Harafu ukirudi urudi nyumbani na awazo?
Kwani hiyo starehe umeenda kushindana na watu?
Pesa zako mwenyewe harafu huna uhuru wa kuuliza bei?

Nashukuru nimeishi na wazungu. Akifika hotel hapokei huduma yoyote bila kujua price kwanza.
Sio kwamba hana hela bali analinganisha value for money.

Hizo hela hajaziiba serikalini au kupokea rushwa so lazima ajali huduma anazopewa na thamani ya pesa yake aliyovuja jasho
 
Back
Top Bottom