mwidaddy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2022
- 357
- 658
Nikiwa o level advanced level niliambiwa chuoni kuna wanawake wanajiuza
Mbona huku chuo siwaoni??
AU wanakuwa wapi??
Mbona kila nikitongoza nakataliwa?
Mbona mademu wanapenda
Maneno Haya si mageni jijini.
Labda kwa mgeni jijini
Ila kwa wenyeji wa jiji
Ni maneno yaliyozoeleka jijini.
😂😂😂
Dogo unamaisha mafupi mno jijini 😂🇹🇿