cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ww jamaa una akili kweli?
Yaani unasema wanapenda hela alafu wakati huo unasema huwaoni wanawake wanao jiuza?
Kwahiyo ww ulitaka wajiuze kwa kutaka maembe na sio hela?