[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ww jamaa una akili kweli?
Yaani unasema wanapenda hela alafu wakati huo unasema huwaoni wanawake wanao jiuza?
Kwahiyo ww ulitaka wajiuze kwa kutaka maembe na sio hela?
Mnachekeshaaaa nyiee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanajiuza ndani ya Mahusiano
Utaelewa Tu mwanangu na kama Demu kapanga Utaenjoy Tu
Ni heri udate na Demu anayekaa kwao kuliko Hawa wanaopanga utakuwa na majukumu kumzidi babaako
Wa IFM na MNMA? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila mademu wa chuo wengi wanafake sana maisha hasa hawa wanaopanga kama kigamboni, ukimuona chuo anaonekana toto la kisha na ki iPhone kumbe hata vocha hana hapo bado sijazungumzia alipopanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbavu zangu mie, WoiiiiiiihUsijekuwa SEKUCO ukachanganya na vyuo wakati huko mademu wote wanavaa masketi ya malinda kama wanakwaya wa kisabato. Njoo IFM dogo nikupeleke Tips
Bora Nyerere, IFM komesha sijui kwavile papo town basi ndio wanafosiWa IFM na MNMA? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ipo sexy sana hadi udenda unanitokahapana wangu, hata sijui mkuu[emoji58]