Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Mashine ni M5 4.4 L twin turbo V8 engine, nimewahi kuendesha hii gari from Dar to Mbeya napita ilula jamaa yupo na cruiser HZ ilikuwa DFP yupo na mzungu akaanza ligi nikamfurahisha na cruiser lake alikuja kunikuta Igurusi akasimama akaja kuangalia ile gari hakuamini kama ingemfunika vile akaomba rematch mpaka naingia mbeya hakuniona nilipopita[emoji23] GERMAN CARS ARE THE BEST
 

Boss sehemu mbaya ni katikati ya gairo na dumila tuu ndio barabara imesagika sanaaa,.

Nimesema nilitenga kiasi cha faini 150,000 na nilipigwa 100,000
 
Crossrider naikubali
 
Ni kweli.

LC 200 zinawanyanyasa kina Harrier au Vanguard.

Ila ikikutana na proper german machine anatema ulimi.
Na uwezo wa kuhandle barabara mbovu ...lkn kuchanganya na speed ni kawaida sana sedan nyingi sana zinaeza tembea zaidi ya hapo...

Eg kuna siku tumesimama sehemu tukaona Prado j150 ya serikali li diesel limeshakolea ni hii engine ya miaka ya karibuni 1gd ftv ...ilikuwa inatembea ..ni kipande ambacho unaeza ona zaidi ya kilometa maana kuna ka mlima imekuja speed mno kila mtu alikuwa anashangaa bajaj zikakaa pembeni mwamba alipita na shimo hadi nilimpa saluti afu ngoma iko stable ....

Later ikaja brevis ilikuwa inatembea mno ila kupita kwa lile shimo pale dereva ilibidi apaki aanze kagua gari...ndipo nikaona utofaut wa gari dogo na kubwa ...ila wakiekewa runway yule wa prado anaachwa vizuri ila kwenye kona na mabonde ya kushtukiza yule mwamba alikuwa na more than 160 na kapita kama kakanyaga tu ka simu gari ipo stable...
 
Gari yangu bora kwa muda woote ni subaru,soon navuta Ford renger niwe imara mjini
Subaru ni balaa...hata kama haina turbo subaru ni gari ya mbio na mafuta haili sana, ligi za barabarani hua zinanoga sana na zinachamgamsha
 
Huyo ni tahira sasa hz linafika hata 180 kweli🤔 mwenye hz anaachwa na noah lami vizuri tu ...

Tushatoka na noah DT ...tulikuwa nane ile tumesimama sehemu ikapita cruza ule upepo hadi gari ikayumba ..huwezi amin less than a minute dere wa noah akaanza iomba cruza tukaipita
 
Subaru Legacy B4 na Forester SG5/SH5 zipo makini sana ziwe ma turbo zisiwe na turbo ni wanyama wa kuotea mbali mkuu, ila huwezi shindanisha gari kubwa na ndogo yenye engine hio
 
Acha ubish ww huijui xtrail,ile sio gar rafik kwa mazingira yetu,ugonjwa wake mkubwa kuchemasha na gia box
 
Hahah humu JF bana 80% sasa wanamiliki M3/M5/RS6/amg 63 etc

Yaani kila mtu utasikia oooh Germany Machine blah blah na hizo gari zao hatuzionagi hata huku kwny barabara zetu sijui wanaendeshea Mbinguni hahah,ndio JF hio bana.
 
ni haki yako,1HZ haina mwendo ila ina nguvu na namini haikuwa na turbo.....kutana na 1VD single turbo tu au 2UZ
 
kuna jamaa ilikuwa Hiyo ndo kazi yake,
toka alivyokula mzinga kitonga,
breki anakanyagia kisigino mafuta anakanyagia dole gumba

[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…