Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Huyo wa Subaru aliogopa fine tu. Forester ya mwaka 2009 tu kwa mfano, Dualis haiwez kupambana nayo asilani!
 
Mkuu samahani kidogo hyo subaru ulio ichapa ni ipi.maana subaru ni mziki mzito au dere mchovu
Dualis haiwez kuipita Subaru Forester,mimi nakataa. Ingekua Nissan Fuga, anaweza kupambana na kidogo na Subaru kama Forester. Inawezekana dereva wa Subaru hakua na haraka au hakutaka ligi.
 
Huyo mnyama achana nae, tulipishana nae tukiwa na Audi, tulikuwa tunaenda mtwara,barabara nyeupe mixer pori asee jamaa alitoka huko alikotokea in a minute Alikuwa ashapotea kwenye anga zetu. Tulikuwa tunatembea 160-180/kph
Alikua huyu jamii wa DED Geita?.VXR ni moto wa kuotea mbali. Bei ni Tsh 460m/-
 
Jumatatu naitest Wish, Dar Mbeya
 
Vanguard ina HP nadhai 170 au ina ngapi mkuu?
CC sio sababu ila Dualis hawezi kumuacha Vanguard. 2AZ ina nguvu sana, angalau kwenye Vanguard naweza kushuhudia, na gearbox yake gia 7 si mchezo
 
Alikua huyu jamii wa DED Geita?.VXR ni moto wa kuotea mbali. Bei ni Tsh 460m/-
Ni jamii hiyo. Sasa tumefika Mtwara hotel tuliyofikia ndo tukaikuta ile gari imepaki maana nao walifikia hapo pia na dreva yuko kwa nje ndani ya ile hotel na ilionekana kama wamefika muda mrefu sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787],tukamwambia asee ulitupita kama upepo sehemu fulani akacheka sana!!
 
Rav 4 L kilitime inakukalisha chini jombaa.
 
Na mwanaume unajisifia unaendesha dualis,ist, mwanaume anaendesha manual hzo automatic achien dada zetu
Hayo ni mabadiliko ya teknolojia, na dhumuni la teknolojia ni kurahisisha shughuli za binadam za kila siku, sio automatic tu bado tutakuja kuona uzalishaji mkubwa wa magari yanayojiendesha yenyewe.
 
Nissa Nissan Dualis engine power yake haina uwezo wa kuishinda toyota crown ama subaru either forester ama legacy. Ukweli ni kwamba ww ulikuwa unashindana mwenyewe. Mwenye Crown na Subaru hawakuwa wanashindana. Yaani Dualis imuache Crown.. Maweeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…