Niliamua Kuitest Nissan Dualis barabarani

Heshima kwenu wakuu.

Wiki iliyopita niliamua kuifanyia nissan dualis majaribio ya mbio barabarani.( nilikua natafuta ligi kwa udi na uvumba)

Nilitenga hela ya faini 150,000.00 kwa safari ya kutoka Dsm to Singida. Ilipigwa 100,000 nikabaki na 50,000.

Nilianza ligi na Vanguard, crown, subaru. Crown alikuwa ni mjeshi yeye anapita tuu

Ila hadi tunaingia morogoro crown na subaru tumeziacha nyuma sana.

Kufika Moro, vanguard na mimi na Nissan patrol (DFP)

Vanguard mziki ulimshinda akakaa nyuma nahisi aliogopa trafiki,

Nilifika Mbande ilibidi nikachungulie dereva wa Nisan Patrol ni nani, yule mzee anaendesha gari kama pikipiki anaovertake sehemu hatari balaa

Alikuwa anakimbia aseee, huyu ndio alinipa challenge kwakuwa alikuwa haniachi 500m.

Nissan Dualis ni mnyama sana, hata nikisema nipate gari, narudi kwa Dualisi tena.

Hongereni sana trafiki mnafanya kazi ipasavyo.
Nissan SUV yoyote (tofauti na mi-Toyota) nyepesi Sana Highway labda upate dereva kanyaboya, kichwa maji.
 
Meister Naruse umri ulikuwa umeenda alikuwa 60+, alikuwa ana kauli tata akipewa test drive "gari hii inaweza kutorudi tena ilipotoka."

Nurburg unalipia kulingana na circuit utayotaka kuendesha gari.

Kuna biker mmoja alivunja record na piki piki 12yrs old yamaha R1 alitumia dk 7 na sekunde 10 na alisema anaweza vunja hiyo barrier ya 7min kama akitolewa hio trafic means awe mwenyewe kwenye saket...kuna watu wakeshajarbu oiki piki mpya ila iilishindikana...kuna siku wakajipanga washaomba kibali then 1 day to go wakakataliwa na uongozi wa ule uwanja sijui hawaruhusu tena piki piki

Yule jamaa pakinyooka kidogo kufika 140mph kitu cha kawaida sana sawa na 225kph
 
Nurburg kuna sakiti zimekaa kihatari sana ndio maana wamemkatalia.

Ila wakina Marc Marquez wanatumia hizo sakiti hata zile za hatari kutest pikipiki mpya.

Huyo dogo wa 12yrs yupo vizuri inabidi akakae na Marc Marquez maana na yeye alianza kuchezea bike akiwa mdogo Zaidi.
 
Dsm - Manyoni ndio 550km, sasa kuna kakijiji cha wale wenye Ukoma tangu Mkoloni kipo 540km kabla ya Manyoni sikikumbuki jina labda Google, lkn km alikuwa na zile reserve baada ya taa kuwaka kuna lita 10 inawezekana kwa lita 60 x 12km/l ni 720 (kwa gari za cc1490 au Dualis iwe ina Vvti kwa hizo cc1990)
nakubali jamaa alifika

Hata noah barabaran napata 12km/l
 
Huu mtindo wa ligi si upend kabisaa, unaweza kufa kwa pressure iv iv,
Kuna likizo nlkua natoka home Songea kuja shule Pwani, sasa shemeji yeye ana gari lake V8, nae alikuwepo kule ndo alikua anarud home kwake Moro,

Jaman kweny gari tulikua me na yeye tu, tobaaaaah nilihis sitafika shule yaaan anaburuza gari utadhan anafukuzwa na kiumbe hatari,
Ndan ya gari nakesha kuomba na kusali, yeye wala hajari.
Kona za njombe ana mimina tyuuuh,. Yaan analala nazo,
Yaaan ana overtake hat pasipotakiwa,.

Songea tumetoka SAA 10 alfajir, Moro tumeingia 7 na dk 50,, stasahau kamweeeh, shule nliumwa sku 3 nalala tyuuuh.
Sitak tena kupand gari yake. Khaaaaaah.
 
Nurburg kuna sakiti zimekaa kihatari sana ndio maana wamemkatalia.

Ila wakina Marc Marquez wanatumia hizo sakiti hata zile za hatari kutest pikipiki mpya.

Huyo dogo wa 12yrs yupo vizuri inabidi akakae na Marc Marquez maana na yeye alianza kuchezea bike akiwa mdogo Zaidi.

No bike ndo ina 12yrs toka inunuliwe....
 
Huu mtindo wa ligi si upend kabisaa, unaweza kufa kwa pressure iv iv,
Kuna likizo nlkua natoka home Songea kuja shule Pwani, sasa shemeji yeye ana gari lake V8, nae alikuwepo kule ndo alikua anarud home kwake Moro,

Jaman kweny gari tulikua me na yeye tu, tobaaaaah nilihis sitafika shule yaaan anaburuza gari utadhan anafukuzwa na kiumbe hatari,
Ndan ya gari nakesha kuomba na kusali, yeye wala hajari.
Kona za njombe ana mimina tyuuuh,. Yaan analala nazo,
Yaaan ana overtake hat pasipotakiwa,.

Songea tumetoka SAA 10 alfajir, Moro tumeingia 7 na dk 50,, stasahau kamweeeh, shule nliumwa sku 3 nalala tyuuuh.
Sitak tena kupand gari yake. Khaaaaaah.
Wewe kilichokutia homa ni Kona za Madaba,Lilondo, milima ya Lukumburu na Kona za kuitafuta Njombe.

Itakuwa ulitapika sana kwenye rolling za kwenye Kona na kuhama kwenye siti hata kama Una mkanda.
 
Jinsia gani wewe
 
Huyo angeharibu rekodi na reputation ya bike model za karibuni Kwa uwezo wake binafsi.

Nahisi ndo mana walimbania tena ...ukicheki Ile video kuna watu wanamwekea tu jam unajua kwenye kona ukiwa mwenyewe unajua namna ya kubalance ila kwenye kona unamkuta mtu kajaa barabara nzima hapo anakuchelewesha
 
Inawezekana ni kweli mkuu..

Km540 ÷ Lita 55 unapata 9.8 tukikadiria imakuwa 10...

Hii inamaana kila KM10, alitumia lita 1 ya mafuta vile alikuwa anafanya ligi..

Ingekuwa si ligi huenda angepata Km 12 mpka 14 kwa lita 1..
Dar to Singida 540km? Umepata wapi hizo data?
Dar -Dodoma ni wastani wa Km452-458
Dodoma-Singida ni 244 km
Hivyo kufanya umbali wa Dar Singida kuwa angalau kilometa 700
 
Jamani Dar-es-salaam mpaka Singida ni 700km lazima angeongezea mafuta hata Dodoma maana pale ni 450km toka Dar halafu pana 100km Manyoni ongeza Manyoni singida 145km kama kilomita 695 kwa Google Map.
mm nilichoka tu zile faini za 100,000/ kwa penalty za Traffic nikaomba ndimu niweke kwenye chai yangu sasa mgari una cc2000 hata uwe kama Tesla au Vvti kilomita 540 hutoboi lita 55

View attachment 1649759

View attachment 1649761nge
Ni 700km kama ulivyosema. Singida to Mwanza wastani wa km500
 
Huu mtindo wa ligi si upend kabisaa, unaweza kufa kwa pressure iv iv,
Kuna likizo nlkua natoka home Songea kuja shule Pwani, sasa shemeji yeye ana gari lake V8, nae alikuwepo kule ndo alikua anarud home kwake Moro,

Jaman kweny gari tulikua me na yeye tu, tobaaaaah nilihis sitafika shule yaaan anaburuza gari utadhan anafukuzwa na kiumbe hatari,
Ndan ya gari nakesha kuomba na kusali, yeye wala hajari.
Kona za njombe ana mimina tyuuuh,. Yaan analala nazo,
Yaaan ana overtake hat pasipotakiwa,.

Songea tumetoka SAA 10 alfajir, Moro tumeingia 7 na dk 50,, stasahau kamweeeh, shule nliumwa sku 3 nalala tyuuuh.
Sitak tena kupand gari yake. Khaaaaaah.
Tufanye tathmini. Saa 10 alfajiri hadi saa 7 dk 50 ni wastani wa masaa 9dk 50.
Kutoka Songea hadi Mororogoro ni umbali gani?
Twende sawa:
Songea-Makambako Km292
Makambako-Iringa 160km
Iringa-Moro Kilometa 305(soma 301km)
Jumla 753Kilometa.
Hata kama angetembea 100kph, angetumia masaa 7 na nusu. Kwa hiyo, alikua speed ya kawaida, labda kama mulisimama sehem kwa muda mrefu
 
Dar to Singida 540km? Umepata wapi hizo data?
Dar -Dodoma ni wastani wa Km452-458
Dodoma-Singida ni 244 km
Hivyo kufanya umbali wa Dar Singida kuwa angalau kilometa 700
Mwenye uzi ndiyo amesema alisafiri km 540...Huenda hizo km alikuwa ndani ya mkoa wa Singida ila si Singida mjini..
 
Wewe kilichokutia homa ni Kona za Madaba,Lilondo, milima ya Lukumburu na Kona za kuitafuta Njombe.

Itakuwa ulitapika sana kwenye rolling za kwenye Kona na kuhama kwenye siti hata kama Una mkanda.
Tena mie huyu huwa natapika nkiskia harufu ya mafuta, bas siku hyo nilitapika nusu utoke utumbo, shemej nae hakua anajari, ila kafika home anamsmulia dada kua me mchafu natapika hovyo.
Aaaaah nlikereka San, yaan stak tena kupanda gari yake.
 
Tufanye tathmini. Saa 10 alfajiri hadi saa 7 dk 50 ni wastani wa masaa 9dk 50.
Kutoka Songea hadi Mororogoro ni umbali gani?
Twende sawa:
Songea-Makambako Km292
Makambako-Iringa 160km
Iringa-Moro Kilometa 305(soma 301km)
Jumla 753Kilometa.
Hata kama angetembea 100kph, angetumia masaa 7 na nusu. Kwa hiyo, alikua speed ya kawaida, labda kama mulisimama sehem kwa muda mrefu
Tulisimama San mafinga, niliomba tupumzke wee tungetembea bila kupumzka, waallah leo ningekua nimekumbatia ardhi,

Jamaan ile kitonga anavurumusha gari, utadhan hajui sehem ya hatari.
Mmmmmmh hapan, kwa kweli swez tena kupanda gari yake
 
Nikutumie na picha yangu unijue mkuu[emoji23][emoji23]binadamu hatufanani tunaridhika na tulivyopewa uwezo wa kuvihandleView attachment 1647569View attachment 1647571

Na nyimbo za kijerumani wapi na wapi mzee..tuacheni uongo..em tuma picha ikiwa na plate number [emoji23][emoji23][emoji23]..maana nimezoom kwenye screen naona miziki ya kidautch...[emoji1787][emoji1787]
 
Tulisimama San mafinga, niliomba tupumzke wee tungetembea bila kupumzka, waallah leo ningekua nimekumbatia ardhi,

Jamaan ile kitonga anavurumusha gari, utadhan hajui sehem ya hatari.
Mmmmmmh hapan, kwa kweli swez tena kupanda gari yake
Pengine alikuwa anakuwahisha hospitali halafu katikati ya safari ukapata nafuu😊
 
Back
Top Bottom