Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

Mkuu

Tubu ulimkosea Sana Mungu!

Umaskini wa kwao sio wake yeye Hata kama kwao wangekuwa matajiri sio wake pia!!!

Umaskini wa kwao ni wa WAZAZI wake sio yeye!

Kama ulimpenda ungechukua!

Halafu umaskini sio laana!Wala utajiri sio Baraka ni matokeo ya juhudi za mtu na majaaliwa ya mwenyezi!

So sad!
 
Bora msema ukweli....kuliko atakaekuoa ivoivo na kukuanza kukudharau ndani coz of hali duni yenu.Yupo sahihi

Kuna kiwango cha kuona, ukiona kwa kiwango cha juu kabisa, ondoka kwa heshima, sio mapungufu ya watu ukayatangaze mtandaoni
 
Mkuu

Tubu ulimkosea Sana Mungu!

Umaskini wa kwao sio wake yeye Hata kama kwao wangekuwa matajiri sio wake pia!!!

Umaskini wa kwao ni wa WAZAZI wake sio yeye!

Kama ulimpenda ungechukua!

Halafu umaskini sio laana!Wala utajiri sio Baraka ni matokeo ya juhudi za mtu na majaaliwa ya mwenyezi!

So sad!
Huo ni mtazamo pia sikupingi.
Ila mi naamini umasikini ni pepo
 
Back
Top Bottom