Nani kakudanganya ,baba yangu hakuwa tajiri ila hakuwa masikini tulipata mahitaji yetu yote ya msingi,chakula,mavazi na tulilala sehemu murua kabisa,salute kwake,RIP dad.Wakati unaandika haya upo kwenye nchi uliyozaliwa na kukulia, nakufia pia, ambayo ni maskini kuliko hata umaskini wenyewe.
Mambo yanabadirika, tumuachie AllahHamna,ana haki pia.Ni kama mwanamke asivyopenda mwanaume maskini
Umesahau pia kifo nacho ni umaskini!Nani kakudanganya ,baba yangu hakuwa tajiri ila hakuwa masikini tulipata mahitaji yetu yote ya msingi,chakula,mavazi na tulilala sehemu murua kabisa,salute kwake,RIP dad.
Dogo hujui kanuni za hii Dunia, hicho kiburi ulichinacho huwa kinaisha ndani ya sekunde. Kwasababu upeo wako wa kufikiri upo chini sana huwezi kuelewa.Tafuta hela mjengee mzazi wako choo
AmenπMambo yanabadirika, tumuachie Allah
Amin amin nakwambia utakuja nikumbuka siku,hakuna wanawake pasua kichwa kama wanaotoka familia duni,labda ukae bae hukohuko porini,ukimleta mjini tu anasahau yote anaanza ujingaWatoto wa kishua hawana uvumilivu ndoani bora tukaoe hao maskini maana ni wajenzi wazuri wa kaya
Pitia kajaga masta hapaNa hizi ndio NDOA ZENU
Na hawa ndio WAUME ZENU..!!!
Ngoja nimalizie hii Hanson's Choice yangu Kubwa nikalale, Kesho kazini..!!!
πΆπΏββοΈπΆπΏββοΈπΆπΏββοΈ
#YNWA
Umekuja jf juzi ww[emoji23][emoji23] Liverpool vpn ni dada? [emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta hela dada utakosa mume
Kabisa mkuu,yaan sanaaUmasikini ni kitu kibaya sana
Nakazia au wanaume tunasemaje?.π€£π€£Wanawake tafuteni hela.
Na nyie makamanda mnaoa watoto masikini mna akili kweli,watoto wa kishua hamuwaoni?
Bora msema ukweli....kuliko atakaekuoa ivoivo na kukuanza kukudharau ndani coz of hali duni yenu.Yupo sahihi
Kuna kiwango cha kuona, ukiona kwa kiwango cha juu kabisa, ondoka kwa heshima, sio mapungufu ya watu ukayatangaze mtandaoniBora msema ukweli....kuliko atakaekuoa ivoivo na kukuanza kukudharau ndani coz of hali duni yenu.Yupo sahihi
Huo ni mtazamo pia sikupingi.Mkuu
Tubu ulimkosea Sana Mungu!
Umaskini wa kwao sio wake yeye Hata kama kwao wangekuwa matajiri sio wake pia!!!
Umaskini wa kwao ni wa WAZAZI wake sio yeye!
Kama ulimpenda ungechukua!
Halafu umaskini sio laana!Wala utajiri sio Baraka ni matokeo ya juhudi za mtu na majaaliwa ya mwenyezi!
So sad!
Wewe wa Pili kuzungumza,kuna MTU wa muhimu sana kwangu aliwahi sema ivo pia.Lakini mnaweza kutuacha kutuoa bila kutusimanga mkuu.Amin amin nakwambia utakuja nikumbuka siku,hakuna wanawake pasua kichwa kama wanaotoka familia duni,labda ukae bae hukohuko porini,ukimleta mjini tu anasahau yote anaanza ujinga
Tatizo la familia maskini wakiona kula ya hakika kwako watakuja kuhamia kama magaidi ππWatoto wa kishua hawana uvumilivu ndoani bora tukaoe hao maskini maana ni wajenzi wazuri wa kaya