Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

Ww ndo ungekuwa mkomboz wa familia yao
 
OMBAA MUNGU ASIBETI NDUGU
KENYA KUNA MWAANAUME KALMBA M1.3 KSH JANA..ANADAI ALIACHWA KISA UMASIKINI AKADILI NA KUBET...MUNGU ANAWAPAGA NEEMA HAWA
UKIMWONA ANAPOKEA CHEKI HATA HUITAJI KUJUA DNA YA UMASKINI...IMEMWACHA RASMIII
 
Ipo shida
Ipo shida kubwa sana kuoa kwenye familia maskini sana kweli.Sababu ziko nyingi,ila tatu kubwa outstanding ni uelewa mdogo,kutojiamini na kuwa na maono madogo ambayo huwa nayaita ya Kuku.Kila kitu yeye sijui,it is so boring,Haya matatizo matatu yanawafanya Wanawake wanaotoka kwenye familia maskini kushindwa kabisa kuwa na msaada kimaisha kwenye familia zao.Mara nyingi wanabaki kuwa tegemezi na mzigo mkubwa kwenye familia.Ila wakiwa wamesoma inapunguza tatizo kwa kiwango kikubwa sana.
 
Mkuu huyo mwanamke ungepambana naemwanzo mwisho umeshindwa kumalizia hicho choo au kupeleka kitanda..
Hata mibaraka ingekufata na labda mafanikio yao yanapitia kwako..
Unaoa tajiri ila wewe ndio unaolewa na ukoo mzima
Mshukuru mungu sana hamna aliyeomba kuwa maskini
 
You are better than this, why would you bite his trap?
Kaz yangu ni kupokea na kupima kimtokacho MTU mdomoni mkuu,then nafanya maamuz kwa wakati sahihi...ni bora uishi mwenyewe kuliko kuolewa au kuoa MTU anaekuchukulia poa.Hautokuwa pekeyako hata ivo ...ni wengi wanaitafuta furaha wakiwa peke yao
 
Ukimwona
Akishikaa cheki siku utakojoaa usaa wa damuu..anza kuwarudia..alafu maombi yao hawa makali sana Mungu anawasikia hataree

utabadilsha njuru upate mtooto kumbe aaashaondoka na vichajio vyako...
 
Kuna leo kuna sasa pia kuna kesho, mshukuru Muumba kwa jinsi alivyokubaliki iwe katka uchumi au afya, hakuna mtu anaependa kuzaliwa katka umaskini ww n kijana bde utazaa mtoto wa kike na mtoto wako ataangukia ktka penzi zito la maskini
 
Huo ni mtazamo pia sikupingi.
Ila mi naamini umasikini ni pepo
Yesu ana pepo!?

"Amin amin nakuambia mimi hamnami siku zote lakini maskini watakuwepo hata ukamilifu wa dahari"

Maskini WAPO watakuwepo Hadi Mwisho wa Dunia!

CHUKUA hiyo itakusaidia!

Halafu kuna HUU ujinga unaitwa "tafuta pesa" kana kwamba ukipata pesa utapata ridhiko la nafsi na Roho ni ujinga sana mkuu!!

Unajisikiaje unapotambua Kuwa huyo mwenzi ulienae alikupendea pesa au uwezo fulani!unajisikiaje!?kwani we ni roboti la kuchapisha noti!?yaani WEWE huna cha maana ulichomvutia huyo ulienae ni pesa tu,yaani pesa ina thamani kuliko muonekano na utu wako!?

Binafsi huwa nahisi mnyonge Sana nikigundua Kuwa nakubalika kwasababu ya materials badala ya my uniqueness!

Naumia sana mkuu, SIPATI ridhiko kwa mvuto wa materials!
 
Mungu aliyekupa utajiri,ndio aliyewapa umaskini wengine. As long as tupo duniani,huwa tunalia kwa kupokezana. Kwa kufuru hizo,ipo siku....me nna mke,mke wangu kwao ni masikini lkn tunafurahia maisha na tunakaribia utajiri sasa alihamndulilah...na kwao tunasaidia naamini ndio maana Mungu anatubariki. Utubu ndugu,ni bora ukae kimya.
 
Kama ni hivyo wanawake wote watubu,kuna wanaume wengi duniani wamekosa kuoa wake wa ndoto zao sababu ya umasikini wao,kwa nini iwe sawa kuoa mke masikini ila isiwe sawa mke kuolewa na mume masikini,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…