Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

Mwamba kaongea ukweli usiotakiwa kusikika. Japo kiukweli kupanga ni kuchagua ila usioe sehemu ambayo mnapishana sana hali ya maisha. Sio umaskini au utajiri lazima pazingue tu maana mna mifumo tofauti ya maisha na malezi.
Kuna wadau naona hawajamuelewa mtoa mada
Suala sio kuoa mtoto wa tajiri au kuoa ili mke akusaidie hapana
Mtoa mada ana maanisha ukweni kuwe kuna angalau hali fulani hivi sio umaskini ulio topea
 
Um.bwaa moja hii ukute hata wewe n kwa neema tu umekuta nyumba wazazi walijenga we mwenyewe age ishasoma mileage za basi namba B huna ata kiwanja bado uko kwenu.......@mdukuzi nakufuata pm mwenyewe tuyajenge
 
Back
Top Bottom