Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

Umasikini sio laana na utajiri sio baraka.

Unaweza ukawa tajiri na bado ukawa na laana ya Mungu na unaweza ukawa masikini na ukapewa baraka na Mungu and vice versa !!

Hakuna mwanadamu anapenda umasikini ila kuzaliwa ktk familia duni au yenye utajiri ni mipango tu ya Mungu. Mungu humpa na kumnyima amtakae kutokana na elimu na hekma yake..
 
Tukija kwa ngazi ya Taifa huoni umasikini wa waafrika au tanzania kuwa ni laana.
Kwa nini Mungu anaruhusu hili,niko mkoa fulani december walikuwa wanashindia maembe wakisubiri mahindi yakomae
 
Bora umekimbia, hiyo familia kama sio kukuroga bas wangekuuwa ama wakufanye msukule chizi la kusaidia ukoo wa mwanamke, yaan unakuwa huambilik kwa familia ya mke unawajari kulko unavyowajari ndugu zako.

Kataa umasikin, kataa mwanamke masikin asiye na upambanaji, kataa kupelekeshwa..mwisho wa yote kataa ndoa za mchongo
 
Sasa mnatuchanganya. Mnataka wenye kujitafutia au ?si tulikubaliana mwanamke yoyote mwenye uwezo hafai kuwa mke ni feminist😂 hamjielewi
Back ground yake ni muhimu,hata kama yeye hana kitu ila aditoke familia choka mbaya
 
Usemalo n kweli unaoa mwanamke alie kuzid shida kiukweli dem ambae hana hata mia kwang hana nafasi maana wao kila uchwao n kuomba pesa tu unadate na omba omba
 
Mwaka mpya na mambo mapya [emoji23]
Mwaka Mpya na zuzumagic mpya. Angekuwa na pesa, siku angefungasha ma ya kupeleka ukweni. Ukweni kashindwa kwenda hata na Catton moja ya maji. Huyu ni zuzu kabisa, walifanya vyema sana kumnywesha maji yenye rangi ya asali
 
Back
Top Bottom