Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

Case in point
 
Attachments

  • IMG-20221230-WA0016.jpg
    IMG-20221230-WA0016.jpg
    131.9 KB · Views: 6
Wasambaa mshazoea kuoana ninyi kwa ninyi ili muongee kilugha muda wote, ni wabinafsi tbh. Mnyatunzu usingemuweza ww!! Usijali huyo dada atapata hata ngosha wa kumsitiri.

Wewe ni gold digger!!
Sio mnyanturu,kuna kabila wanaitwa wanyisanzu wako singida wilaya ya mkalama,.
Wasambaa hatuna ubaguzi ila hatupendi uvivu na umasikini ,wanatuharibia wadigo na wabondei watu wa tanga wote tunaonekana wavivu
 
Sijapata msimamo wako kitaalam katika hili Robert Heriel

Mwanamke akishakuwa Wife material (MKE Bora/Mwema) hicho ndio kigezo kikubwa cha kumfanya Aolewe.

Umaskini wa kwao haumhusu na hauhusu ndoa yenu ikiwa hauathiri U-wife material wake.

Sidhani kama Mtoa mada anazungumzia tukio halisi. Ila anachojaribu kukifanya ni kuwaambia Wanawake waache Tabia ya kuangalia wanaume Kwa kigezo cha Mali na utajiri wa nyumbani kwao.
Bali waangalie kama Mwanaume anavigezo vya kuwa Mume Bora(husband material) basi waolewe naye.

Mtoa mada anajaribu kueleza kuwa hata Sisi wanaume tunaouwezo wa Kutumia kigezo cha umaskini na kukosa Pesa Kwa Wanawake kuwabagua na kutokuwafanya kuwa Wake zetu. Kama vile baadhi ya Wanawake wanavyobagua wanaume Maskini.

Na hili likifanyika na tayari siku hizi linafanyika, basi Wanawake wengi watajikuta kwenye Wakati Mgumu kwani kiasili Wanawake hawakuumbwa kuwa watafutaji.

Msimamo wangu;
Sisi wote ni binadamu, tuna makundi yetu yanayotutofautisha, kimaumbile, kifikra, kiuchumi, kivipaombele, kiutamaduni n.k
Kila MTU atafute wakufanana naye linapokuja suala la Ndoa. Hiyo ndio huitwa Familia.

Maskini Kwa Maskini
Matajiri Kwa matajiri
Wazuri Kwa wazuri
Wabaya Kwa wabaya
Watawala Kwa Watawala
Watawaliwa Kwa watawaliwa.
Waovu Kwa waovu
Wema Kwa Wema.
Werevu Kwa Werevu
Wajinga Kwa wajinga

Kama MTU anataka kuvunja boundaries basi awe na chaku-offer
Mfano, MTU ni masikini anataka kuolewa na Tajiri. Basi itampasa awe Mzuri au mwenye Akili Sana.
Lakini tofauti na hapo ni kutafuta machafuko, kunyanyasana, na kubaguliwa.

Mwanaume anaoa Mwanamke anayefanana naye. Ukiona mwanaume anafanya uchaguzi katika kuoa, akapata Mwanamke vile umuonavyo Mwanamke huyo ndivyo alivyo Mumewe bila kujali yupoje.
Sasa hapo ndipo kipengele kilipo

Mwanzo 2:24
18 BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye. . 20Adamu akawapa majina yao kila mnyama wa kufugwa, na ndege wa angani, na kila mnyama wa mwituni; lakini hakuonekana wa kumsaidia Adamu aliyefanana naye.

Mambo ya Walawi 19:19 SRUV
Mtazishika amri zangu. Usiwaache wanyama wako wa mfugo wakazaana kwa namna mbalimbali; usipande shamba lako mbegu za namna mbili pamoja; wala usivae mwilini mwako nguo ya namna mbili zilizochanganywa pamoja
 
Robert Heriel
Nakutunuku shahada ya heshima katika fasihi.
Umeweza kusoma mawazo yangu,
Wale waliosoma sayansi wameishia kutoa mapovu tu
Tena wengine ni wanaume ambao waliwahi kutoswa na wanawake waliowapenda kisa umasikini wao.
Mara ngapi tumesikia nyimbo za wasanii wanaume wakilia kwenye nyimbo kuwa walitoswa sababu ya umasikini,au mara ngapi tumeona filamu masikini akoporwa mke na tajiri.
Kwa nini iwe sahihi kwa upande mmoja ila sio pande zote

Kwa andiko lako uzi ufungwe umemaliza kila kitu.

Tutafute pesa tukate mnyonroro wa umasikini katika familia na koo zetu

Vipi bibi umemjengea choo lakini?
 
Sa hela alonunua cm kaliii si angejenga choo atumie kitochi
Umasikini huanzia kichwani kwenye fikra
Si kweli kwamba wanaoishi maisha duni hawakuwahi kushika hela maishani mwao,wapo walioshika ila hawakujua wazizungusheje kujitoa hapo walipo zikaisha wakarudi square one
 
Wanawake tafuteni hela mtakosa wachumba.

Nilikutana na huyu mwanamke miaka ya nyuma huko.

Akawa abakuja gheto anapika, anafua, usafi anafanya na moto nampelekea.

Hakuwa na makuu kivile ila alikuwa na simu kali kuliko yangu, akivaa anapendeza sana nikasema mke ndio huyu twende kwenu.

Tukaenda kwao Singida, kutoka Singida mjini hadi kwao ni masaa sita, kata inaitwaje sijui ila ni kabila la Wanyisanzu.

Nilichokiona sikuamini, kwanza kijiji hakina mtandao wa simu mpaka upande kichuguuni, maji ya kunywa yana rangi ya chai ya maziwa, choo cha shimo hakina mlango ukisikia mtu anakuja unakohoa ili ageuze

Kitanda cha kamba, kajumba kenyewe ukipiga teke kanadondoka.

Baada ya kurudi mjini nilifuta namba yake palepale.

Mimi ninaamini umasikini kama sio laana basi ni kitu fulani hivi cha kurithi

Wanaume masikini kuachwa ruksa ila wanawake masikini kuacha utaambiwa ni kukufuru Mungu...

Wanawake tafuteni hela. Na nyie makamanda mnaoa watoto masikini mbinguni moja kwa moja
Mkuu mdukuzi, that was a mistake!, kumpata Mwanamke wife materials, thamani yake ni kubwa kuliko fedha zote za dunia hii!. Ulfanya kosa kubwa kumuacha wife materials kwasababu ya umasikini wa kwao!. Mtoa rizki ni Mungu, ungemuoa huyo demu saa hizi ungekuwa kama Mengi au Mo!. Ungemaliza umasikini wao na wewe ungekuwa tajiri mkubwa!. Mke mwema kima chake chapita marijani!. Kuna wanawake ni baraka!.
P
 
Umasikini huanzia kichwani kwenye fikra
Si kweli kwamba wanaoishi maisha duni hawakuwahi kushika hela maishani mwao,wapo walioshika ila hawakujua wazizungusheje kujitoa hapo walipo zikaisha wakarudi square one
Hapo kwenye kuzungusha hela hapoo
 
Mkuu mdukuzi, that was a mistake!, kumpata Mwanamke wife materials, thamani yake ni kubwa kuliko fedha zote za dunia hii!. Ulfanya kosa kubwa kumuacha wife materials kwasababu ya umasikini wa kwao!. Mtoa rizki ni Mungu, ungemuoa huyo demu saa hizi ungekuwa kama Mengi au Mo!. Ungemaliza umasikini wao na wewe ungekuwa tajiri mkubwa!. Mke mwema kima chake chapita marijani!.
P
Pascal,
Da umenipa somo kubwa sana .unajua mpaka kufikia maamuzu hayo na mimi niliwahi kutoswa na binti mmoja kwao wako vizuri sana.
Hakusema sababu ila najua aliniona sio level yake .
kuanzia hapo niliathirika kisaikolojia kuhusu msimamo wangu kwenye swala la mahusiano na ndoa.
Nilishuhudia kombe la dunia 1986 lakini mpaka leo sina mke ,japo nina watoto.
Mniombee
 
Back
Top Bottom