Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Nilijenga ukweni nyumba ya kawaida ya rooms tatu na kuikarabati ile ya zamani.
Pia nilisaidia kusomesha wadogo zake mke wangu wote watano, wawili tokea wapo primary na watatu tokea wapo secondary, chuo kikuu wako wawili mmoja SUA na mmoja KCMC na hao watatu wako ufundi wote wapo VETA.
Kwanza wakwe zangu wananipenda hadi kero ukija kwa hawa mashemeji zangu wananiheshimu na kunithamini kama baba yao.
Mkuu tumebarikiwa afya na mali ili tuwe msaada na faraja kwa wahitaji.