Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

Binafsi I depict kwamba afadhali huyu mleta mada kamdump huyu dada. Inshort mbingu hazikupanga wawe pamoja. Huyu dada angeteseka sana kuolewa na mleta mada. Kuna aina flani ya mwanaume anayoihitaji huyu dada ila sio aina ya huyu mleta mada.

Na hii ni kwa sabbu ya past ya mleta mada, amekuwa affected kisaikolojia na past relationships. Msitegemee huyu dada angepata raha maishani..never. So mimi nakupa heko mkuu..afadhali umemuacha akapate a better man anaeweza kumpenda na kubeba kila udhaifu uliokuwemo kwao.

Lakini pia mleta mada ame-express kilichomo moyoni mwake. Namna alivyowasilisha ndo amekosea. Kasema hataki mwanamke masikini coz ndo msimamo wake. Maneno ya kejeli na magumu alotumia kwenye kuileta hii thread ndo kakosea maana amemponda dada wa watu which was not ok. Sometimes if you have nothing better to say or write ama type, better not say anything. Kama ukiongea ama kuandika unaona utamuumiza mtu heri ukae kimya. Its wisdom..not a rule..wisdom. He made his choice, make yours...
 
Uko sahihi mkuu nimejifunza kitu kwako
 
Wanawake tafuteni hela mtakosa wachumba.

Nilikutana na huyu mwanamke miaka ya nyuma huko.

Akawa abakuja gheto anapika, anafua, usafi anafanya na moto nampelekea.

Hakuwa na makuu kivile ila alikuwa na simu kali kuliko yangu, akivaa anapendeza sana nikasema mke ndio huyu twende kwenu.

Tukaenda kwao Singida, kutoka Singida mjini hadi kwao ni masaa sita, kata inaitwaje sijui ila ni kabila la Wanyisanzu.

Nilichokiona sikuamini, kwanza kijiji hakina mtandao wa simu mpaka upande kichuguuni, maji ya kunywa yana rangi ya chai ya maziwa, choo cha shimo hakina mlango ukisikia mtu anakuja unakohoa ili ageuze

Kitanda cha kamba, kajumba kenyewe ukipiga teke kanadondoka.

Baada ya kurudi mjini nilifuta namba yake palepale.

Mimi ninaamini umasikini kama sio laana basi ni kitu fulani hivi cha kurithi

Wanaume masikini kuachwa ruksa ila wanawake masikini kuacha utaambiwa ni kukufuru Mungu...

Wanawake tafuteni hela. Na nyie makamanda mnaoa watoto masikini mbinguni moja kwa moja

Kuna tofauti kati ya wanaume na wavulana, watu na binadamu pia ni tofauti.
 
Tajiri Na Mali Yake, Masikini Na Mkokoteni
By Dkt Remmy Ongala
 
Robert Heriel
Nakutunuku shahada ya heshima katika fasihi.
Umeweza kusoma mawazo yangu,
Wale waliosoma sayansi wameishia kutoa mapovu tu
Tena wengine ni wanaume ambao waliwahi kutoswa na wanawake waliowapenda kisa umasikini wao.
Mara ngapi tumesikia nyimbo za wasanii wanaume wakilia kwenye nyimbo kuwa walitoswa sababu ya umasikini,au mara ngapi tumeona filamu masikini akoporwa mke na tajiri.
Kwa nini iwe sahihi kwa upande mmoja ila sio pande zote

Kwa andiko lako uzi ufungwe umemaliza kila kitu.

Tutafute pesa tukate mnyonroro wa umasikini katika familia na koo zetu

Vipi bibi umemjengea choo lakini?

Ndio tunashughulikia Choo cha Bibi. Mapema tutatimiza hilo
 
Umeyumba sana na kupuyanga kabisa, umasikini unahusiana vipi na mapenzi yake kwako. Wewe hukuwa na shida ya kumuoa ulikuwa ushapata kifaa kingine, ulikuwa unatafuta sababu tu ya kumpiga chini

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Elewa kabla ya ku"quote"
Wewe si umesema mambo huwa yanabadilika, tumuschie Allah? Kwa maana ya kwamba yawezekana tajiri wa leo kesho aweza kuwa maskini na kinyume chake.

Ndiyo maana nami nimekujibu kuwa Hilo ni dua la kuku. Inaweza isitokee
 
Nimesoma maoni ya wadau na nimejifunza mengi sana!

Mdukuzi unaonekana ni zaidi ya mtu na nusu! Kama umetazama World Cup 1986 mimi ndyo nazaliwa hongera sana kwa kula chumvi.

Lakini je,hujawahi kukutana tena na huyo Binti wa Singida ukatupatia Mrejesho aidha wa majuto au wakuthibitisha kile ulichokifanya kilikuwa ni sahihi kwako.
 
Back
Top Bottom