Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mdogo angu sijaolewa jamani 😁Uolewe mara ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdogo angu sijaolewa jamani 😁Uolewe mara ngapi
😀wewe wasemaMdogo angu sijaolewa jamani 😁
Utajuaje kwamba wewe hutageuka choo karibun na huyo manzi akawa msaada kwakoWe ndio masikini sasa,mtu mwenye akili hawezi kujenga nyumba bila choo bora,
Thawa asante pia.Kumbe,nilikuwa silijui hili asante kwa elimu
Uko sahihi mkuu nimejifunza kitu kwakoBinafsi I depict kwamba afadhali huyu mleta mada kamdump huyu dada. Inshort mbingu hazikupanga wawe pamoja. Huyu dada angeteseka sana kuolewa na mleta mada. Kuna aina flani ya mwanaume anayoihitaji huyu dada ila sio aina ya huyu mleta mada.
Na hii ni kwa sabbu ya past ya mleta mada, amekuwa affected kisaikolojia na past relationships. Msitegemee huyu dada angepata raha maishani..never. So mimi nakupa heko mkuu..afadhali umemuacha akapate a better man anaeweza kumpenda na kubeba kila udhaifu uliokuwemo kwao.
Lakini pia mleta mada ame-express kilichomo moyoni mwake. Namna alivyowasilisha ndo amekosea. Kasema hataki mwanamke masikini coz ndo msimamo wake. Maneno ya kejeli na magumu alotumia kwenye kuileta hii thread ndo kakosea maana amemponda dada wa watu which was not ok. Sometimes if you have nothing better to say or write ama type, better not say anything. Kama ukiongea ama kuandika unaona utamuumiza mtu heri ukae kimya. Its wisdom..not a rule..wisdom. He made his choice, make yours...
Win Win SituationHamna,ana haki pia.Ni kama mwanamke asivyopenda mwanaume maskini
MkuuUko sahihi mkuu nimejifunza kitu kwako
Wanawake tafuteni hela mtakosa wachumba.
Nilikutana na huyu mwanamke miaka ya nyuma huko.
Akawa abakuja gheto anapika, anafua, usafi anafanya na moto nampelekea.
Hakuwa na makuu kivile ila alikuwa na simu kali kuliko yangu, akivaa anapendeza sana nikasema mke ndio huyu twende kwenu.
Tukaenda kwao Singida, kutoka Singida mjini hadi kwao ni masaa sita, kata inaitwaje sijui ila ni kabila la Wanyisanzu.
Nilichokiona sikuamini, kwanza kijiji hakina mtandao wa simu mpaka upande kichuguuni, maji ya kunywa yana rangi ya chai ya maziwa, choo cha shimo hakina mlango ukisikia mtu anakuja unakohoa ili ageuze
Kitanda cha kamba, kajumba kenyewe ukipiga teke kanadondoka.
Baada ya kurudi mjini nilifuta namba yake palepale.
Mimi ninaamini umasikini kama sio laana basi ni kitu fulani hivi cha kurithi
Wanaume masikini kuachwa ruksa ila wanawake masikini kuacha utaambiwa ni kukufuru Mungu...
Wanawake tafuteni hela. Na nyie makamanda mnaoa watoto masikini mbinguni moja kwa moja
Robert Heriel
Nakutunuku shahada ya heshima katika fasihi.
Umeweza kusoma mawazo yangu,
Wale waliosoma sayansi wameishia kutoa mapovu tu
Tena wengine ni wanaume ambao waliwahi kutoswa na wanawake waliowapenda kisa umasikini wao.
Mara ngapi tumesikia nyimbo za wasanii wanaume wakilia kwenye nyimbo kuwa walitoswa sababu ya umasikini,au mara ngapi tumeona filamu masikini akoporwa mke na tajiri.
Kwa nini iwe sahihi kwa upande mmoja ila sio pande zote
Kwa andiko lako uzi ufungwe umemaliza kila kitu.
Tutafute pesa tukate mnyonroro wa umasikini katika familia na koo zetu
Vipi bibi umemjengea choo lakini?
Dua la kuku hiliMambo yanabadirika, tumuachie Allah
[emoji1787]Unakoelekea shemeji zako watakupaka mafuta kula ndogo hiyo.
Elewa kabla ya ku"quote"Dua la kuku hili
Wewe si umesema mambo huwa yanabadilika, tumuschie Allah? Kwa maana ya kwamba yawezekana tajiri wa leo kesho aweza kuwa maskini na kinyume chake.Elewa kabla ya ku"quote"