Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

Um.bwaa moja hii ukute hata wewe n kwa neema tu umekuta nyumba wazazi walijenga we mwenyewe age ishasoma mileage za basi namba B huna ata kiwanja bado uko kwenu.......@mdukuzi nakufuata pm mwenyewe tuyajenge
Karibu sana best
 
Kwahiyo mzee unatunywesha chai wanao na wajukuu zako.

 
Tatizo liko wapi nimeeleza katika paragraph ya pili kuwa ni kisa cha zamani shehe
Kwahiyo hiyo simu kali aliyokuwa nayo binti ilikuwa ni zile simu kubwa kama tofali au? Ambazo hata hivyo nadhani zimekuja Bongo miaka ya 90 na mtu aliyekuwa nazo enzi hizo si rahisi awe maskini unayemzungumzia.

Hakuwa na makuu kivile ila alikuwa na simu kali kuliko yangu, akivaa anapendeza sana nikasema mke ndio huyu twende kwenu
Hata hivyo kwa akili ya kawaida tu, ukizingatia umri wako uliowahi kuutaja, hiki kisa chako ima ni cha miaka ya 70 au 80 ambayo hizo "simu kali" sio tu hazikuwepo Bongo bali hazikuwepo duniani.

Hiki kisa nahisi ni chai.
 
Maisha ya jf ukiyachukulia siriaz utapoteza dira ndugu
 
Hivi miaka nane sio zamani?
Hivi kuoa mwisho miaka mingapi?
Wazee haturuhusiwi kuoa?
 
Mhhh haya sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…