Nilianza kujitambua kuwa ni mgonjwa wa akili tangu mwaka 2021(msongo)

Madawa nimeanza kutumia baada ya kupata tatizo.
 
kwanza nitangulize kwakusema pole sana ndugu.
kuna dawa moja pekee ninayo weza kukupatia lakini lazima urukwe na akili wastani wa siku2 hadi3 baada ya hapo utakua umeflash kila kitu kichwani nakuanza upya kabisa.
Msaada mkuu
 
Hongera kwa kujitambua na hongera kwa jitihada ulizojaribu kufanya ili kujisaidia. Nashauri ufanye meditation, mazoezi na kula vizuri (punguza ama acha kabisa nyama). Meditation itakutuliza, na itafika hatua itakupa contentment fulani hivi ambayo unaipata kwenye drugs . Kama utaona meditation ni ngumu kwako, hebu jaribu breath work. YouTube kuna channel inaitwa Breath with Sandy, utasaidika pakubwa
 
Naweza kukusaidia mkuu ukapona kabisa asilimia 100,andaa laki 5 cash. Nusu utatoa kabla na nusu baada ya kupona...situmii dawa zozote,ntakuelekeza tu namna ya kufanya yoga na meditation kwa usahihi.
 
Unatumia madawa ya kulevya kama kokaina na heroin au
 
Mkuu kunakitu kikubwa unacho naweza kuwasiliana na wewe?
 
Naweza kukusaidia mkuu ukapona kabisa asilimia 100,andaa laki 5 cash. Nusu utatoa kabla na nusu baada ya kupona...situmii dawa zozote,ntakuelekeza tu namna ya kufanya yoga na meditation kwa usahihi.
Asante.
 
Naweza kukusaidia mkuu ukapona kabisa asilimia 100,andaa laki 5 cash. Nusu utatoa kabla na nusu baada ya kupona...situmii dawa zozote,ntakuelekeza tu namna ya kufanya yoga na meditation kwa usahihi.
Unataka kumtapeli mgonjwa...

Watu hamna huruma.... Yaani mafundisho ya meditation tu?

Pathetic....
 
Pole sana mkuu.
Uliyoyapitia yanaendana sana na niliyoyapitia. Binafsi nimeanza kuingia kwenye hali hiyo mwishoni mwa mwaka 2010. Lakini mambo ya msongo mkubwa wa mawazo na hata hemorrhoids lilianza rasmi mwaka 2016.Nilipigana silent battle kama wewe japo sikutumia pombe wala madawa mpaka nikaishinda kwa asilimia karibu 80. Usijali mkuu utakuwa sawa lakini acha madawa kwanza.
 
Unataka kumtapeli mgonjwa...

Watu hamna huruma.... Yaani mafundisho ya meditation tu?

Pathetic....
Meditation siyo rahisi kuielewa kama unavyo isoma..ndo maana mnaishia kuisikia tu..lakini hamnufaiki nayo.
 
Nimeanza matibabu mkuu,japo haikuwa rahisi...ninaimani nitashinda
 
Meditation siyo rahisi kuielewa kama unavyo isoma..ndo maana mnaishia kuisikia tu..lakini hamnufaiki nayo.
Binafsi nakubaliana na wewe ila kama unafanya meditation kweli basi mpaka sasa unajua manufaa yake na kwamba ni suala la kujitoa kumuelekeza mtu maybe kumsimamia kidogo then basi. Mimi ningeshauri usimchaji pesa mhusika maana tayari ana shida.
 
Naweza kumsaidia mkuu..kama atakuwa serious..Lakini kwa mapito binafsi ya Depression niliyo pitia kipindi hicho almost miaka 3..nilikuwa tayari kutoa hata mil5..ili niondoke kwenye lile janga.

Haikuwa rahisi aisee,Yoga na Meditation ni mkombozi endapo unaijua inavyo fanyika siyo kukariri...
 
Anasoma hapa. Hata mimi nilipata depression nikiwa binti, nilijitoa kwa Yoga sikuwa nimeanza meditation then. Sometimes naingia kwenye depression ila natoka. Tangu nianze meditation, ni kipindi kirefu Sana sana tangu kurudi hali ya sonona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…