Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kuna wakati inabidi uweke pamba masikioni ili kuepuka gubu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kosa la namna gani ila mwanaume kumpiga mke mbele ya watoto Ni upungufu wa akiliNimekuwa nikishuhudia mama anadundwa vilivyo na mshua kiukweli ilikuwa inaniuma sana pia, hata mimi nilimchukia sana mzee sema ndo nilikuwa namtegemea kwa kila kitu
ia
Sasa mkuu, hoja yako ni nini?...Kwamba amedhalilishwa au imekuwaje?...Na atakuwaje na uhakika kama ni yeye 100%..Je kama nimeweka codes ili kuificha, we unajuaje?...Hii hoja imeletwa lengo kuu ni kujifunza na kupeana ushauri na siku zote tunajifunza kupitia yale yanayotokea katika jamii zetu either kutukuta sisi wenyewe au kwa kuona na kusikia yanayowakuta wengine...story zote humu ndani za mafunzo ni either zinaletwa na watu husika au watu walioambiwa au kuona kutoka kwa wahusika wenyewe...kwahiyo nao ni wambeya au wapuuzi?Sasa wewe unadhani ni jina au ID inayo-matter hapa au content ya kuwa unatoa siri za watu. Unajuaje kama jamaa yupo humu unadhani atakuchukulia wewe ni rafiki wa namna gani?
Mtu hamjaonana miaka leo mnaonana anakupa siri za familia yake unazimwaga mitandaoni. Hivi unadhani humu hakuna tuliosoma nao au waliokuwa wanaishi nao mtaa au jamii moja. Unadhani watu hawawezi kuonganisha dots kwa namna moja au nyingine. unadhani hiyo siri ya kutomjali mzee wake unajua wewe tu? Haya umeyatapika kuwa mama yake alikuwa anadundwa. Unadhani jamaa anakuchukulia vipi?
kifupi wewe ni rafiki mpuuzi
Kwahiyo ulitaka afurahie achekelee kupigwaTatizo wanawake wengine unapiga kofi huko chumbani badala ya kulia kimyakimya atapiga kelele kama amechomwa na kisu mpaka watoto wanaamka
Kufikia mwanamke unapigwa pia ni ukosefu wa akili (hekima) umekosea kili kosa omba kusamehewa na usirudie tena kosa hilo uone kama utakuwa unapigwaHata kosa la namna gani ila mwanaume kumpiga mke mbele ya watoto Ni upungufu wa akili
😂😂😂 nikucheke tu maana mwanaume anaepiga mke Ni tafsiri ya uoga na upumbavu na wasukuma wengi mpo kundi hili, kalagabao, jioni njemaKufikia mwanamke unapigwa pia ni ukosefu wa akili (hekima) umekosea kili kosa omba kusamehewa na usirudie tena kosa hilo uone kama utakuwa unapigwa
Yaani ukoseee nikuambie why umefanya vile then uje juu, my friend utajuta kuolewa na mimi
Sisi usukumani ukikosea wewe mama na mtoto kakosea mda huo huo mnaadhibiwa wote pamoja
Yaani mama yupo sehemu ya himaya ya baba, baba kama kiongozi
Ukweli ndio huo. Watoto wanaweza kudhani baba Ni mnyanyasaji lakini nyuma huko Kuna mengi yakiwemo usaliti na kuchepukaNimekuwa nikishuhudia mama anadundwa vilivyo na mshua kiukweli ilikuwa inaniuma sana pia, hata mimi nilimchukia sana mzee sema ndo nilikuwa namtegemea kwa kila kitu
Shule anilipie ada yeye, Mavazi yeye Chakula kiufilupi kila kitu yaani, hata mama mwenyewe pia alikuwa ni mama wa nyumbani tu, kuna siku mzee alimchalaza mama tena mbele ya washikaji kabisa wamekuja home kunitembelea iliniuma sana, ikawa wimbo school watu wote wakaelewa nilimchukia sana mzee japo sikuacha kumuomba mahitaji
Siku zote mama alikuwa anadundwa bila sisi (watoto) kuijua sababu ya ugomvi wao, na wakati huo watoto wote tulijikuta upendo upo kwa mama, alikuwa akudundwa tunamfariji sana, ilitokea siku moja nimeenda home kusalimia nikakuta ugomvi pia
Nimeshakuwa sasa simtegemei tena mshua, nikaona isiwe tabu ngoja leo niwakalishe wazee, nikamshika mzee nikamuomba akae tuongee nikamuita mama pia niliongea nao kama vile mimi ndo mzazi vile kiukweli nashukuru hawakuniona nimewakosea heshima baada ya mazungumzo nikaelewa mpaka leo sina kinyongo tena na mshua aiseee kwanza ana roho ngumu sana,
Ipo hivi kulikuwa kesi kama tatu hivii, kwanza mama kaenda kuvuna mazao shamba kauzia huko huko gunia nne za mpunga bila mzee kujua, pale home kuna dogo wa kike yupo kidato cha nne ni mwanakwaya sana (mtu wa dini) sasa mzee hakutaka aimbe alimruhu kusali ila sio kuimba kwaya maana alikuwa anapoteza sana mda badala ya huo mda kuutumia kusoma mama alipoona dogo anazuiwa kuimba wakashauriana na dogo, dogo akahamia kwa mchungaji wao tena bila hata mshua kujua
Mpaka mda huu mzee ndo anahudumia kila kitu home, ila mama kachukua madogo wawili wa kanisani kawaleta home wanaishi tu na mzee hakujulishwa pia
Aiseee washa mshua atie adabu watu wake, yaani mama anamzingua mzee anamnyima nyapu harafu mzee akitumia madaraka yake nijifanye kumchukia
Mimi sio msukuma, lakini naweza his sababu ya kula kichapo toka kwa mumeo! Una kauli chafu aisee.😂😂😂 nikucheke tu maana mwanaume anaepiga mke Ni tafsiri ya uoga na upumbavu na wasukuma wengi mpo kundi hili, kalagabao, jioni njema
Waooooh 😂😂😂😂 Kuna lingine!Mimi sio msukuma,lakini naweza his sababu ya kula kichapo toka kwa mumeo! Una kauli chafu aisee.
Hahahahhahah! harafu ana kibamia, akikupeleka sehemu hafiki anaishia njiani, na hapo masikini wanapenda sana kuomba mbususuMi nipigwe na MTU moyo umempenda na anahhudumia familia vizuri wala sina shida,ila inipige kitu tumeamua tu tuishi wala moyo haupo kwake na mkwanja hana.Aisee,hiyo mechi humo ndani mbona ataomba poo au kuamua kuniua kabisa.Maana mi bila kunikata mikono nitakurudishia vibao mpaka watoto wataamulia.
Ha ha haaHahahahhahah! harafu ana kibamia, akikupeleka sehemu hafiki anaishia njiani, na hapo masikini wanapenda sana kuomba mbususu
Baada ya ugomvi shooo shooooo
Ulipiga wangapi ukadumu nao mkuu! Unafananisha nyakati za wazazi wetu na kizazi chetu kweli? Zama zimebadilikaMwanamke wa kibongo bila makofi ndoa haifiki mbali, hivyo vibao ndio vimesaidia wazazi wetu hata wazazi wa huyo jamaa kudumu kwenye ndoa, piga makofi tafadhali utakuja kunishukuru