Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Sijasoma mada ila nasapoti mwanamke kupigwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hivyo ndiyo umelelewa kwenye taswira hiyo.Mwanamke wa kibongo bila makofi ndoa haifiki mbali, hivyo vibao ndio vimesaidia wazazi wetu hata wazazi wa huyo jamaa kudumu kwenye ndoa, piga makofi tafadhali utakuja kunishukuru
Hivi unajua kipigo cha mume kwa mke hakinaga huruma ye anapiga ilimradi amkomeshe aue asiue, vyote sawa, imagine unashuhudia mama ako mzazi anapigwa vile afu baadaye we ndo unamkanda maji moto, na mijanaume mingine mikorofi tu mtoto anakosea afu anapigwa mamaHuyo chalii yako bado mvulana, ngoja akinyooshwa na mkewe akili zitamrejea.
😎😎😎😕 utakuja ua mwanangu, uozee jela. Vibao sio suluhisho la kadhia za ndoaMwanamke wa kibongo bila makofi ndoa haifiki mbali, hivyo vibao ndio vimesaidia wazazi wetu hata wazazi wa huyo jamaa kudumu kwenye ndoa, piga makofi tafadhali utakuja kunishukuru
Amejiapiza hatakuja kumpiga mkewe mbele ya watoto
pole sana Mungu akujalie kipato ww ushasamehe ila mambo yako bado magumu. Mwenzio nishanyimwa hela lkn nilshasamehe na nikawasomesha madogo na bado natekeleza wajibu kwake na familia yangu kwa kdg hichohicho. Nimejifunza kuwa baba ni issue sana.Kuwa kiongozi wa familia kuwa mkali, mtiifu, mnyenyekevu,mvumilivu, mtulivu, busara bila kuumiza. wazee wanakumbuka but no point of return maji yashamwagika. Samehe sahau songa mbele A humble and stronger man character. All the best.Binafsi na mimi niko na hii hali,simkubali kabisa mzee wangu kwani sijawahi kuyajua mapenzi yake kwangu wala malezi yake ningali mdogo...mama hakuniambia mambo mengi kuhusu baba ila nilipomaliza darasa la saba na kwenda kwake ili ikiwezekana aniendelele kielimu ilitosha kabisa kunionyesha baba yangu ananichukuliaje.
Alisomesha watoto wake wengine na kuwajali pia...mambo yake yalipoanza kuyumba aliamua kuuza nyumba yake (Tandale) na akawapa watoto wake wengine (wadogo zangu) almost 2M kila mmoja but mimi sikukumbukwa hata kwa buku.
Watoto aliowathamini leo hii hawamjali,mzee ameamua kurudi kwangu na kuhitaji msaada kila leo..mimi mwenyewe sina kipato cha kutosheleza maana nakomaa na wanangu wapate elimu iliyo bora.
Inafika mahali sipokei kabisa simu zake,najitahidi kusahau na kusamehe lakini kutokana na niko na kipato duni inakuwa ngumu sana kusahau aisee.
mwanaume akikuta msg tu ya mahusiano kwa mkewe anahisi hata watoto sio wake...!! ndoa nyingi watu wanaishi kwa kuvumilia tu kikweli moyoni zilishakwisha au kufa....watoto ni machache sana mnayoelewa kwa wazazi wenu....kiwaheshimu wazazi ndio agizo Mungu aliloacha...ili upate siku nyingi za kuishi duniani. Kubalance mambo ndoani kazi sana...Mkuu pole kwa unachopitia. Mara Fulani wanaume pia wanafanyiwa vitu vibaya na wanawake kiasi Cha kuchukia rohoni. Inawezekana kabisa mama yako alifanya usaliti uliomfanya baba yako awe na wasiwasi na uhalali wa kizazi chake. Hapo ndio shida inapoanza kwa mwanaume. Mtoto anakuwa muhanga wa kukosa kupata upendo na malezi kutokana na huo wasi wasi na hasa anapokosa kufanana na baba.
issue nyingi wazee hawasemi ila wanapitia changamoto nyingi watoto mnakuja shuhudia kibano tu..mzee hawezi sema nimemfumania mama yenu....!!Nimekuwa nikishuhudia mama anadundwa vilivyo na mshua kiukweli ilikuwa inaniuma sana pia, hata mimi nilimchukia sana mzee sema ndo nilikuwa namtegemea kwa kila kitu
Shule anilipie ada yeye, Mavazi yeye Chakula kiufilupi kila kitu yaani, hata mama mwenyewe pia alikuwa ni mama wa nyumbani tu, kuna siku mzee alimchalaza mama tena mbele ya washikaji kabisa wamekuja home kunitembelea iliniuma sana, ikawa wimbo school watu wote wakaelewa nilimchukia sana mzee japo sikuacha kumuomba mahitaji
Siku zote mama alikuwa anadundwa bila sisi (watoto) kuijua sababu ya ugomvi wao, na wakati huo watoto wote tulijikuta upendo upo kwa mama, alikuwa akudundwa tunamfariji sana, ilitokea siku moja nimeenda home kusalimia nikakuta ugomvi pia
Nimeshakuwa sasa simtegemei tena mshua, nikaona isiwe tabu ngoja leo niwakalishe wazee, nikamshika mzee nikamuomba akae tuongee nikamuita mama pia niliongea nao kama vile mimi ndo mzazi vile kiukweli nashukuru hawakuniona nimewakosea heshima baada ya mazungumzo nikaelewa mpaka leo sina kinyongo tena na mshua aiseee kwanza ana roho ngumu sana,
Ipo hivi kulikuwa kesi kama tatu hivii, kwanza mama kaenda kuvuna mazao shamba kauzia huko huko gunia nne za mpunga bila mzee kujua, pale home kuna dogo wa kike yupo kidato cha nne ni mwanakwaya sana (mtu wa dini) sasa mzee hakutaka aimbe alimruhu kusali ila sio kuimba kwaya maana alikuwa anapoteza sana mda badala ya huo mda kuutumia kusoma mama alipoona dogo anazuiwa kuimba wakashauriana na dogo, dogo akahamia kwa mchungaji wao tena bila hata mshua kujua
Mpaka mda huu mzee ndo anahudumia kila kitu home, ila mama kachukua madogo wawili wa kanisani kawaleta home wanaishi tu na mzee hakujulishwa pia
Aiseee washa mshua atie adabu watu wake, yaani mama anamzingua mzee anamnyima nyapu harafu mzee akitumia madaraka yake nijifanye kumchukia
Ahsante sana mkuu...pole sana Mungu akujalie kipato ww ushasamehe ila mambo yako bado magumu. Mwenzio nishanyimwa hela lkn nilshasamehe na nikawasomesha madogo na bado natekeleza wajibu kwake na familia yangu kwa kdg hichohicho. Nimejifunza kuwa baba ni issue sana.Kuwa kiongozi wa familia kuwa mkali, mtiifu, mnyenyekevu,mvumilivu, mtulivu, busara bila kuumiza. wazee wanakumbuka but no point of return maji yashamwagika. Samehe sahau songa mbele A humble and stronger man character. All the best.
Usilolijua ni sawa na usiku wa kiza. Ndoa haina cheti cha kuhitimu. Ina cheti cha upimaji wa awali usio na ithibati. Kua uyaone mwanangu.Kuna mambo yanafanyika ila athari zake huja huonekana baada ya muda mrefu sana..Ukifatilia asilimia kubwa watoto wanakuwa na migogoro na baba zao kuliko mama zao. Yaani ukisikia mtoto ana bifu na mzazi mmoja au amemtelekeza, basi asilimia 99% ya mzazi aliyetelekezwa anakuwa ni Baba. Moja kwa moja hisia za wengi huwa tunawaza kuwa mtoto amelishwa sumu na mama yake, au baba alikataa ujauzito na majukumu. Huenda huwa tupo sahihi kwa hypothesis zetu lakini sio mara zote huwa tunakuwa sahihi. Leo nimegundua sababu nyingine.
Nina rafiki yangu ambae tumekua wote na tulisoma wote hadi kidato cha nne. Baada ya hapo tukapotezana hadi tulipokutana wikendi iliyopita. Tukaanza kupiga story na kukumbushana matukio ya nyuma hasa hasa pale shuleni kwa wajeda...waliosoma hizi shule watanielewa.
Ilikuwa moment nzuri kukutana na rafiki yangu na tulifurahi sana kukumbuka past zetu..Tulivyoanza serious talk, nikagundua jamaa hana time kabisa na baba yake mzazi. Yeah, mshikaji yuko well off kimaisha na yupo kitengo kizuri sana. Sikutarajia kukuta jamaa anamchukia baba yake kwa jinsi ambavyo naijua familia yao kumbe kuna vitu vingi sana sivijui..Nikamdadisi jamaa kwa hiari yake kama hatojali anaweza share na mimi then niweze kumpa ushauri..Aliamua kufunguka na kuniambia sababu kuu ya kumchukia Baba yake.
Kipindi anakua, ameshuhudia mara kibao Baba yake akimpiga mama yao..Yaani Mzee alikuwa anampiga mama mbele ya watoto..Ile hali imemtesa sana jamaa kisaikolojia kiasi kwamba hadi leo amekua bado anamchukia Baba yake na hana time nae..Amejitahidi kusahau na kusamehe ila zile taswira za kilio cha mama huwa zinamrudia na kumuumiza sana nafsi..Amejiapiza hatakuja kumpiga mkewe mbele ya watoto maana impacts zake ni kubwa sana..Ameniahidi kusamehe, kusahau na kujitahidi kumpa heshima mzee wake.
Nakuja sasa kwenu wakuu. Hivi unaanzaje kumpiga mkeo mbele ya watoto wenu. Unadhani watoto wanajisikiaje? Aisee, chuki na visasi vyao huwa zinadumu muda mrefu sana. Hata kama ni hasira basi kuna namna mnaweza tafuta solution ila sio mbele ya watoto. Basi stress zikiziwazidi sana Hamieni Yanga.
Mimi nashukuru sijawahi kushuhudia haya matukio.
Nawasilisha.
Mzee Mpili na Rais watakuwepo Kigoma tarehe 25.