Nilibisha sasa nimeamini, FIFA wanataka Messi ashinde hili Kombe la Dunia

Kwa hiyo Mechi ya Argentina na Uholanzi Van Jiki na mwenzake walivyopiga penalty na kipa akapangua ni FIFA walipanga iwe hivyo ili Messi amzidi Pele ubora?

Mechi ya jana mpaka dakika ya 70 croatia hakuwa na Shot on target hata moja...hapa napo ni FIFA walipanga ili Messi amzidi pelle??

Wakati mwingine kuna vitu vya hovyo mtu mzima kama wewe hupaswi kuandika...yaani hata mtoto mdogo anakuona una hasira na ushabiki wa Kitoto.

Kama hujui chochote kwenye mpira ni afadhali ukakaa kimya.
 
Ile penalty waliyopewa dhidi ya Netherlands haikuwa ndani ya box ilikuwa nje ya box
 
Bas tufannye hivi.....

Goli LA kwanza Alvarez alimchezea rafu kipa ila yeye ndo akapata penati

Goli LA pili Alvarez alikua offside ila refa akapeta

Goli la tatu messi alli dribble mpira mpaka nje ila refa akapeta

Jipozeni hapo sasa msije kutufia bure
 
Wewe unasema wengine kuwa wamejawa na ushabiki na wakati wewe mwenyewe comment yako mwanzo mwisho ni ushabiki huo huo.Wewe weka tu wazi kuwa siyo shabiki wa Messi ueleweke kuliko kuzunguka na maneno mengi.
 
Ni Leakey sio hiki kifipa ulichoandika
Umeelewa ndiyomaana umenukuu, kizuri zaidi umechemka kujibu hoja ukahamia kudili na mashambulizi binafsi [emoji3]

Nilitaka kushangaa unashabikiaje mchezaji aina yule afu usiwe na akili fupi kama zako [emoji28]
 
Mimi niwape tu pole mashabiki wa Ronaldo, ni Mungu tu atafuta mchozi yenu.
Si kila anayemkataa Andunje ni mshabiki wa CR 7.

Unawapangiaje Watu wote duniani wamshabikie huyo Andunje [emoji848]

Ninyi ndiyo huwa mnawaita Watu kuwa ni Waislamu wasiofungamana na sera za USA na EU kusapoti Ukraine kupambana na Russia kisa tu hawamkubali Zelensky (Ukraine), au kuwaita Watu mashoga wanaowakubali USA na EU kisa tu kumkataa (Putin) Russia [emoji16]

Watu tupo duniani zaidi ya B 8 kasoro M 200 afu unataka sote tumkubali Andunje, kweli itakuwa dunia ya Watu wenye akili, si itakuwa ni dunia ya Mazezeta tu [emoji848][emoji1732][emoji1787]
 
Ni Mungu atawafuta machozi mkuu,
 
Kumne ni malalamikl ya wachezaji wa ureno na ninyi mashabiki wa ureno.

Haya tumesikia
 
Ni Mungu atawafuta machozi mkuu,
Endelea kukaza fuvu kama bado hujaelewa hoja safi kama hizo na mifano juu, kweli mahaba ni upofu (upumbavu) ndiyomaana tumeambiwa na Muumba kila jambo tuwe na kiasi [emoji38][emoji124]
 
Nimeikopi mahali

Argentina despite Messi’s age, built there team around him. Croatia did same with Modric despite the fact that Modric is over 37. Portugal had the opportunity to have one of the best players of all time in their squad, but chose to go with Media lies and benched Ronaldo, expecting boys to win Men’s World Cup, they won against a weak Switzerland team,and believe it’s possible without him. The rest is history... I sincerely appreciate Argentina and Croatian coaches for putting faith in Messi and Modric. World Cup is not for boys. If you doubt it, ask Spain that left out Ramos and Alcantara in their squad….

Congratulations to Argentina, they really worked hard after the lost their first game to Saudi.✊
 
Endelea kukaza fuvu kama bado hujaelewa hoja safi kama hizo na mifano juu, kweli mahaba ni upofu (upumbavu) ndiyomaana tumeambiwa na Muumba kila jambo tuwe na kiasi [emoji38][emoji124]
Mi napenda uchezaji wa Messi, ila simaanishi kuwa Ronaldo hajui hapana, ni kwamba tu kazidiwa kiwango.

Ni kama mandonga na Anthony Joshua wapigane
 
Mbuzi ni marehemu Mama yako. Uwe na heshima wewe choko.
 
Acha uongo, haukuangalia mpira wewe. Kipa aliucheza mpira? Au nyie wa TBC huwa mnaonyeshwa mechi tofauti?

Alvarez aliuchop mpira, akamvesha "kanzu" kipa wa Croatia, then kipa akamvagaa Alvarez ambae tayari alikua anaenda kumalizia kufunga baada ya kumvisha "kanzu" kipa wa Croatia.

Kipa hakuugusa mpira hata kidogo!

Nakuwekea na picha hapo chini uoshe macho kidogo. Maana inawezekana TBC huwa inawaonyesha vitu tofauti!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…