Nilichekwa sana Style yangu ya malezi ila leo hii watu wanatamani kuniiga

Mkuu hivi high class ya watu wengine inaweza kukufanya na wewe uwe tajili?
 
Mkuu hivi high class ya watu wengine inaweza kukufanya na wewe uwe tajili?
Ukiishi eneo la high class ambao kila mtoto anapelekwa shule na school bus au na gari ya wazazi wa kwako ukimtembeza kwa miguu kwenda shule atajiskia kunyanyasika na kuona mzazi hampendi wala kumjali atajisikia vibaya mno lakini kama yako uswahilini low class ambao asilimia kubwa wanaenda kwa mguu shule ataona sawa tu
 
Hayo ni mawazo yako mzazi; mtoto anahitaji kueleweshwa akielewa hawezi kuwa hivyo!
Ujue shida kubwa ya wazazi huwa hatujibu majibu ya watoto kwa ufasaha! Hivyo watoto wengi hubaki na majibu yao kichwani yasiyo chakatuliwa
 
Nimesoma kwa umakini huu uzi, hongera mkuu, ila hapo bado hujamaliza kila age inachangamoto zake kwa malez ya watoto. Usijipe bigup sanaaa. Ila bravo.
 

Tuliozaliwa kijijini na Kisha kuja mjini ukubwani aloo tunayajua maisha kinoma.

Utotoni Kwanza full kucheza porini michezo ya kujificha, kombolela, rede, kuruka kamba, kuwinda ndege, kuwinda nyani, kuchoma misitu Moto (utukutu), kutafuta uyoga, kugema ulimbo wankutegea ndege, kutega kware na tetere kwa mitego.

Kuchonga PIA, kuchonga ngorogojo (sijui Ni kkswahili sahihi??) Kuchonga magari ya udongo na magunzi.

Kuchunga mbuzi porini masafa ya mbaaaaali huko milimani na mabondeni mnakutana kundi kubwa na wachungaji mnafurahi pamoja. Kuogelea mtoni na mabwawani, kuvua samaki kwa ndoano mtoni.

Kwenda kuvua samaki kwa nyavu mnakaa porini huko wiki nzima. Kufanya vibarua vya kulima maporini hukoo mnakuwa mnalala huko kama wiki nzima. Kuwinda nyani, sungura, swala n.k kwa mbwa!!


Daaah let me go to the village next year!!!!!!
 

Tuko pamoja
 
Matunda pori Sasa daah,

makusu
matunda damu
zambarau
mashindwi,
 
Sasa hivi fulu si ndo zinatoa maua eeh😀😀
 
Nafikiri hapo bora kumpa elimu
Kuwa akatae katu anything to do with kushikana mwili sehemu za siri ama kukaa sehemu asiyo na amani nayo.,na awe free kueleza yatakayomsibu mapema

mana ndo ashaanza kukua hivyo no turning back
 
Malezi si kitu cha mchezo ukilala waweza kuza toto zembe zembe. Likizo peleka bushi akafundishwe kutengeneza na manati kuvua samaki etc.
 
Naomba kuzijua hizo shule za serikali ambazo ni English medium. Mimi niko Arusha.
 
Safi kabisa, sisi kuna ps 4 hapa home.mdg wetu kamaliza diploma ya ualimu ila jamani akijifungia humo chumbani anaweza akaanza game saa 12 asbh anatoka jion yaan hata kula hali.hana socialize tionkabisaaaa
 
aisee mafulusad saf sana.sis na mengine yanaitws sasati chachu flan hiv.na mengine yanaitws matogo au matogho mlenda mlenda hiv likichanganya tam balaa na kuchezea minyaaa na mazambarau kula sana panda sana miti hio.watoto wa siku hiz kwa kwel lazima aende mkoa akale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…