Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Wakuu .
Ukiachana na kuwa Tanzania Elimu yetu imekaa kimkakati Sana.
Ila bado watoto wetu wanaharibikia mshuleni huko.
Hapa nitatoa hints kadhaa kuhusu hili swala.
Nina ndugu yangu yeye Ana watoto watano wakike wanne na wakiume mmoja.
Watoto wake amekuwa akiwasomesha shule za boarding muda mrefu .
Ila wakwamza kaishia form four huyu kapewa mimba na mlinzi wa shule Biashara ikawa imeishia hapo.
Na anayefatia huyu tayari ameshanganikiwa anapenda maisha ya juu materials things , outing n.k na yupo form six.
Huyu akili yake inaweza kuomba hela Kwa kila mtu sasa nawaza jinsi watu watakavyomchakaza Kwa kitumia udhaifu wake.
Kuna na hawa waatatu wapo form three wote hawa ukikaa nao unaona hamna kazi kabisa.
Ushauri niliompatia ndugu yangu nimemwambia ajitahidi awe anasoma mambo ya sikolojia na malezi ili angalau yamsaidie kulea watoto.
Watoto wakiwa mashuleni wanapeana fantasy nyingi ambazo wanataka kuziingiza katika reality ndo hapo wanachanganikiwa na kuwa useless.