Mkungunero
JF-Expert Member
- Aug 13, 2023
- 401
- 569
Watanzania hawajui mana ya economic diplomacy. Wala hawajui uwekezaji maana yake nini umaskini wao wanaufurahia sana hata kama wanakufa poa tu.
Wanaamini sana Rais anayefoka foka ili wapate kwa kudhani kwamba ni relief kwao ili watanzania wote wafanane.
Ndo mana Hayati Magufuli alipenda na kada ya chini sana hasa wasiolewa kesho yao na wengi shule ni tatizo. Kwao tajiri akinyanyaswa ndo relief kwao.
Sasa mama kaja kivingine wamepoteana hawajui walalamikie kipi imebaki ni matusi tu basi ilimradi wameongea.
Mama kaziba hoja zao zote kwa kuwaachia waropoke tu na polisi wamewaacha tu wanatafuta wa kuwakamata lakini wapi. Mdude anatafuta angalau wa kumpiga risasi hata ya paja lakini amekosa amebaki kumtukana tu.