FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mama Samaia ana muono wa mbali sana tena sana, niliwahi kuandika hivi:Watanzania hawajui mana ya economic diplomacy. Wala hawajui uwekezaji maana yake nini umaskini wao wanaufurahia sana hata kama wanakufa poa tu.
Wanaamini sana Rais anayefoka foka ili wapate kwa kudhani kwamba ni relief kwao ili watanzania wote wafanane.
Ndo mana Hayati Magufuli alipenda na kada ya chini sana hasa wasiolewa kesho yao na wengi shule ni tatizo. Kwao tajiri akinyanyaswa ndo relief kwao.
Sasa mama kaja kivingine wamepoteana hawajui walalamikie kipi imebaki ni matusi tu basi ilimradi wameongea.
Mama kaziba hoja zao zote kwa kuwaachia waropoke tu na polisi wamewaacha tu wanatafuta wa kuwakamata lakini wapi. Mdude anatafuta angalau wa kumpiga risasi hata ya paja lakini amekosa amebaki kumtukana tu.
RRRR ya Rais Samia Watanzania wengi wanaoishi kimazoea hawatoielewa haraka
RRRR za falsafa ya mama Samia ina manufaa makubwa sana, tena sana kwa kila Mtanzania na kwa Tanzania kwa ujumla. R hizi 4 za mama Samia zina fursa kubwa sana ndani yake, kwetu sote. Nawaasa Watanzania tusikurupuke na tusibaki kutawaliwa kimazowea na wala tusiwe na fikra za mama Samia kuwa...