Nilichogundua mimi ni kwamba Rais Samia yuko mbele ya muda kwenye kuongoza

Hoja yako ingekuwa inamashiko kama usingeingiza vijembe dhidi ya Wapinzani.

Nilikuwa nimekupa like lakini niamua kuichukua.
 
Magu mkali wa kufoka mama mkali wa mashairi wote wanatoka bendi mmoja lakini hawakupendana.

Wote si waumini wa katiba,kusolewa kwao ni sawa na matusi,hizi ndizo tabia za kidikitekta.

Huwezi kutaka uwekezaji kwa kukabidhi chote kilicho Chako. Huo ni Umwinyi huenda Mila na tamaduni zake zinamruhusu,lakini alipaswa Tanzania ni ya Watanzania urais ni dhamana tu
 
Hao ndg zetu kwenye kuwa mbele kwa IQ sahau ww. Linganisha hata Class kwenu tu.
 
[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Usijione nadhifu katika kedi ,dharau na matusi kwa wengine.....

Unawezaje kuthubutu kusema "tamaduni zake ni za kukubali kumilikisha vyake kwa wengine" ?!!!

Hii nayo ni "mentality" duni na chafu ambayo wazee wa "bigotry" wamekuwa ana ADA nayo....

Matusi hayauzwi dukani[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Umesahau kuwa chini ya Samia nchi haiwezi kupiga hatua sababu ni rais haramu aliyetokana na wizi wa kura
 
Ukijiangalia, ukiringanisha naye unaishia kumuona yupo mbele ya muda. Haujui kuwa.
Unavyojiona wewe unaweza ukawa benchmark kweli? Au umeamua tu kudharirisha watanzania wenzako?
 
Du hii ngumu kumesa
 
Ukijiangalia, ukiringanisha naye unaishia kumuona yupo mbele ya muda. Haujui kuwa.
Unavyojiona wewe unaweza ukawa benchmark kweli? Au umeamua tu kudharirisha watanzania wenzako?
Pale "r" inapowekwa katika "l"...

Kuongea ni sawa...leo hadi kuandika ?!!!

Saaalaaleeee shule mlikwenda kusomea "ungeseeerrrrrr"?!! [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Labda kama kiswahili hukijui sawa. Tofautisha kupora au kuuza na kuwekeza. Shida kiswahili kinakupiga chenga. Elon musk amewekeza rwanda miradi kibao lakini haweseni kapora nchi
Mkuu hebu basi jitahidi usiandike kama mume wa Zamaradi.Ni kweli hujui majina ya watu au Nchi yanapaswa kuanza na herufi kubwa?
 
Magufuli alijua kucheza na akili za hawa mafukara na masikini,furaha ya masikini jamii ya kina Nyani Ngabu nikuona tajiri anapewa misukosuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…