Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wanakula genji kisha mchongo unaendelea kama kawaHapo kamati ya ulinzi na mwenyekiti wake wataelewana na mwenye ukumbi maisha yataendelea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakula genji kisha mchongo unaendelea kama kawaHapo kamati ya ulinzi na mwenyekiti wake wataelewana na mwenye ukumbi maisha yataendelea.
Ni ushamba wa kiwango cha lami kwenda kuzuia watu kuvaa mavazi ya Beach kwenye sehemu ya starehe iliyo eneo la beachAlisema mwamba John Pombe Magufuli mkamkatalia.... na mtakubali tuu
Rest well mwamba John Pombe Magufuli
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Magufuli sasa anahusiana na nini kwenye hii mada? Kipindi cha Magufuli si ndio marufuku ya kufungua baa ilianza? Na huu upuuzi wa kuingilia maisha binafsi ya mtu kwa kisingizio cha maadili?Alisema mwamba John Pombe Magufuli mkamkatalia.... na mtakubali tuu
Rest well mwamba John Pombe Magufuli
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Mkuu unaijua lakini $18milioni??? Isije ukawa unasema dollar ambazo thamani yake Kwa tz ni 18milioni?Bata zingine sasa hivi ni za "Wauza Unga" na dalili zinaonyesha fedha chafu za Unga/ madawa ya kulevya zimerudi kwa kasi ya mwanga( speed of light).
Eti jitu linapeleka Cash Dola Milioni 18 Bank ?!!
Kweli Hayati Magufuli alikuwa Mwamba!
Wanakariri kazi ni asubuhi.
Hakuna tofauti ya mtu mweusi na giza.
Bata zingine sasa hivi ni za "Wauza Unga" na dalili zinaonyesha fedha chafu za Unga/ madawa ya kulevya zimerudi kwa kasi ya mwanga( speed of light).
Eti jitu linapeleka Cash Dola Milioni 18 Bank ?!!
Kweli Hayati Magufuli alikuwa Mwamba!
Wanakariri kazi ni asubuhi.
Hakuna tofauti ya mtu mweusi na giza.
Utakufa masikini sasa kama MTU ni muuza madawa si mumpeleke mahakamaniBata zingine sasa hivi ni za "Wauza Unga" na dalili zinaonyesha fedha chafu za Unga/ madawa ya kulevya zimerudi kwa kasi ya mwanga( speed of light).
Eti jitu linapeleka Cash Dola Milioni 18 Bank ?!!
Kweli Hayati Magufuli alikuwa Mwamba!
Sahihi kabisaUkiona taifa viongozi wanaenda kupiga marufuku sehemu ya starehe iliyopo ufukweni inayolipa kodi na kuingiza mapato, iliyoajiri watanzania na kuwalipa mishahara inayowawezesha kuhudumia familia zao kufanya biashara asubuhi basi ujue hiyo sehemu shida ni akili za watu.
Wewe hizo pesa unazo?Bata zingine sasa hivi ni za "Wauza Unga" na dalili zinaonyesha fedha chafu za Unga/ madawa ya kulevya zimerudi kwa kasi ya mwanga( speed of light).
Eti jitu linapeleka Cash Dola Milioni 18 Bank ?!!
Kweli Hayati Magufuli alikuwa Mwamba!
Hela unatafuta wew afu ukitumia mtu inamuuma ..cjui wanatakaje wabongoHii nchi ina watu wa hovyo sana. Hawajui starehe ni chanzo kikubwa sana cha mapato
Ni ujinga wa kiwango cha mwendokasi. Alafu wanalalamikia mapato kukusanywa chini ya kiwango. Duniani huko starehe ni moja ya vyanzo vikuu vya mapatoHela unatafuta wew afu ukitumia mtu inamuuma ..cjui wanatakaje wabongo
Mada kama hizi zimekuzidi sana uwezo mjinga kama weweHuna lolote ulilogundua, bali ni kujilisha upepo tu mwenyewe na kutojua namna nzuri ya kutumia akili ulizojaaliwa na Mwenyezi Mungu.
Unabaki tu kukariri yasemwayo na wengine hata kama hayana manufaa kwako na jamii inayokuzunguka.
Ona hii nangaTuna SGR, Bwawa la umeme, ndege, flyover, uchumi wa kati tuliachiwa na Magufuli unataka maendeleo gani?
Bongo ni ngumu sana kubadilika